Mahakama ya Kisutu yaahirisha kesi za Tundu Lissu kupisha Uchaguzi Mkuu

Rais wa bendi ya Twanga Pepeta,
Mkuu unamuonaje huyu mwamba lakini?,kumbuka kipindi kile cha uchaguzi Wa urais wa TLS,figisu alizowekewa na jiwe asichaguliwe.

Ila mwamba alichaguliwa na akatangazwa,mkuu lolote linawezekana..
 
Angekuwa yule "SHAHIDI" anayefanya kazi ya uhakimu pale kisutu asingekubali
 
Ni utaahira kudhani kwamba Chama Cha Mapinduzi kitaondoka mamlakani mwaka huu.Japo hata mimi ningetamani itokee hivyo
 
Dada hivi ushaolewa?
Mwabieni real men wanamsubiri, amuulize mbowe alikaa muda tu kidogo alitoka ndevu zimebadilika rangi. Beacuse lis is criminal anastahili kuwa huko kwa mens at work
 
kuna m
naona unaota mchana kweupe 🤣
 
Hizo ni ndoto tu za alinacha subiri ukweli uje mtaficha nyuso zenu kwa aibu.
 
Rais hashitakiwi
Baada ya matokeo kutangazwa hiyo 1/11/2020 hizo kesi zinajifia

ivi unadhan yeye mwenyewe hajui kwamba hashindi? si ameshasema mara kibao kuitoa ccm sio rahisi ama ulidhan anategemea kuapishwa mahakamani mfululizo
 
Uchaguzi ukiisha utasikia kuwa anakwenda kwenye matibabu .
Jiwe aende kwenye matibabu anaumwa nn? huyu atabaki hapahapa kujibu ufisadi wake alioutenda kwa kipindi cha miaka mitano

Lazima aoneshe risit halali za manunuzi ya ndege, aeleze alipopeleka korosho za watu na mengine mengi

Kama ni mgonjwa atatibiwa muhimbili huku akisubiri hatima yake
 
Swali la msingi akishinda Je urais inakuaje apo? Na upepo unavyoonekana anaelekea magogoni
 
Uchaguzi ukiisha tu akamatwe ili asitoroke kesi zake.
 
Hebu ona hii ng'ombe inavyofikikilia.!! Et awe Rais...!! Wa nchi ngani kwanza..? Endelea kuota hivohivo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…