Mahakama ya Kadhi "Ruksa" - Pinda

Mahakama ya Kadhi "Ruksa" - Pinda

Status
Not open for further replies.
Cha kusikitisha zaidi ni kuwa hawa Wasabato ambao ni wachache sana ukilinganisha na Waislamu nao wamepewa siku yao ya kupumzika (Jumamosi) kwa heshima tu ya Ukristo wao, upande wa pili Muislamu anaambiwa ni upuuzi kudai siku ya Ijumaa kuwa ni siku ya mapumziko.......tugawaneni tu hii nchi ili upuuzi huu uishe!

Sideeq,

..watu wakianza kulipwa kwa masaa, na siku za kazi zikianza kuzingatia mahitaji ya kibiashara, basi hayo yote yatafutika. watakaobakia kupumzika jumamosi na jumapili watakuwa ni watumishi wa serikali tu ambao hata hivyo watakuwa ni segment ndogo sana ya wafanya kazi.

..kwenye nchi za wenzetu kazi ni masaa 24 na siku 7 kwa wiki. kama mtu anataka kufanya ibada basi anaomba ruksa maalum asipangiwe kazi say ijumaa,jumamosi,au jumapili. kuna wengine wanapenda kufanya kazi hizo siku za weekend ili kujiepusha na anasa manaake anasa nyingi pia zinafanyika siku hizo 3.
 
Elfu ishirini ishirini zenu mnazotoa haziwezi kufanya tunayoambiwa na vyombo vya habari! nyuma yake kuna hela zaidi ya hizo elfu ishirini ishirini zenu! na si nyingine bali ni hela za MOU! shame on you!Nchi hii ina rasilimali za kutosha kabisa bila ya kuomba msaada wa wazungu, ni nyie Wakristo ndio mnaozifuja na kuziweka pesa za wizi kwenye akaunti za Switzerland na kwengineko! sasa kuna ubaya gani tukidai hilo fungu za pesa zetu tunazorudishiwa kwa aina fulani kutoka kwa Wazungu?
Ubaya wenyewe ni kuwa hata hizo nazo hatuzioni!

Mustapha mkulo ni mkristu?Idd Simba ni mkristu...nk
 
There is no universality in Islam!!! Ilitoka kwa waarabu, waafrika hatukuwa na uislamu wala ukristo. haya ni mambo ya waarabu!! warumi!!!!

Hujui unachokiongea, Waarabu wengi duniani wako wapi? hilo neno Afrika ni la kikabila gani? Kiswahili unachoongea kina asilimia ngapi ya kiarabu?

Wewe baki na unayosema dini yako ya Roma, mimi niwache na dini yangu ya UIslaam.

Tuna furaha kuwa mahakama ya kadhi ipo karibu kurudishwa, na hii miaka yote ambayo Nyerere aliifunga, hukumu yake hukohuko alipo.
 
Honestly I dont have a negative outlook with Islam. Naheshimu sana dini za wengine, lakini najiuliza kuna faida gani kuwa na mahakama hizi? Nimekuelewa, seems kuna faida, lakini wanawake wengi wanasema wanaonewa na sheria hizo!!!!!. Sijawahi kumsikia mwanamke wa kiislamu akiridhia kuwa mke mwenza!!! Kuna appelas nyingi sana Court of appeal za TZ kupinga mirathi ya kiislamu kuwa haki haikutendeka etc.
Anyway, kila mtu ana haki ya kuchagua dini anayoipenda bila kuathiri matakwa ya wengine. Nawatakia mafanikio mema.
Wala sidhani kama kuna mwanamke wa Kikristo anaependa Mumewe awe na Kimada, ni udhaifu wetu tu wanaume, kabla dini hizi ( Ukristo na Uislam) hazijaingia Afrika, jadi yetu ilikuwa ni Mwanamume kuwa na Wake wengi, hata kumi na zaidi. Ndio maana Waafrika wengi Wakristo hawajaacha mila hii, viongozi wengi wakristo akishafariki utasikia ameacha wajane wawili nk (eg Marehemu Sokoine aliacha wawili) kwa maelezo kuwa ndoa moja ya kidini na nyingine ya Kimila, angalia Rais wa SA Bw Jacob Zuma, kina Mswati? Katika Qur'an, Mwenyezi Mungu ametamka wazi kwamba ana prefer mwanamume awe na mke mmoja, ila under certain circumstances "IKIBIDI" ndipo anaweza kuoa wa pili hadi wa nne, lakini preferrence ya Mungu ni mmoja, zaidi ya hapo ni ruhusa tu ameitoa kwa kujua alivyotuumba. Kama Bwana Yesu alivyosema kuwa waliooana wasiachane hadi kufa ( lakini akaweka Option kuwa "ila kwa sababu ya Uzinifu, wanaweza kuachana") Matatizo uliyoyataja yanatokana na kukosekana chombo cha Kiislam chenye mamlaka ya kuzitafsiri sheria na kuzitolea hukumu sheria zinazo Govern masuala hayo, Wanaume wengi wa Kiislam wana abuse sheria hizi na kutake advantage above women, hivi una habari kuwa katika ndoa ya Kiislam Kisheria Mwanamke halazimiki kukupikia, kukufulia nguo zako, wala kwenda sokoni mpaka atake mwenyewe? Ni wajibu wa Mume kumuonesha mapenzi na kumsihi mpaka apende kukufanyia? Mahakama ya Kadhi haki itatendeka kwa mujibu wa sheria, sasa hivi ni vigumu kutendeka katika mahakama zilizopo.
 
Msidanganyane! mlipa kodi mkubwa wa nchi hii ni Waislamu kutokana na idadi ya uwingi wao (wekeni kipengele cha dini kwenye sensa) na ufanyabiashara.

Ha! Kumbe mko wengi ,chuo kikuu kimoja tu tena cha kupewa kwa huruma! Ongera kwa kupata hiyo mahakama itawakwamua kimaendeleo.
 
Lakini kumbuka kuwa wataziendesha kwa gharama zao
Hapa serikali inatupiga changa la macho tusio waislam. Haiwezekani waislam wakubali kuendesha hayo mahakama wenyewe kwa sababu hili ndilo walikuwa wanalikataa siku zote. Nini kimetokea leo wakubali. Tettesi zilizopo ni kwamba mahakama hizi zitafadhiliwa na serikali kwa siri! Si kweli kwamba waislam wataziendesha kwa grama zao. Tusubiri tuone!
 
Mustapha mkulo ni mkristu?Idd Simba ni mkristu...nk
Ni treni tu ambalo wao wamelidandia! sasa hivi si ngazi za juu tu bali hata za kawaida mmeshika kasi ya kuimaliza hii nchi! angalia jedwali za waliotafuna takriban millioni 200 za PPF ni watu kutoka dini gani:
[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD]Director General-William Erio[/TD]
[TD]360,000.00[/TD]
[TD]1.00[/TD]
[TD]20.00[/TD]
[TD]7,200,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Director of Human Capital Management-Julius Mganga[/TD]
[TD]250,000.00[/TD]
[TD]1.00[/TD]
[TD]35.00[/TD]
[TD]8,750,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Director of Legal services- MS Vupe Ligate[/TD]
[TD]250,000.00[/TD]
[TD]1.00[/TD]
[TD]35.00[/TD]
[TD]8,750,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Other 6 directors[/TD]
[TD]250,000.00[/TD]
[TD]6.00[/TD]
[TD]7.00[/TD]
[TD]10,500,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20 Managers[/TD]
[TD]190,000.00[/TD]
[TD]20.00[/TD]
[TD]7.00[/TD]
[TD]39,900,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]50 supervisors[/TD]
[TD]165,000.00[/TD]
[TD]50.00[/TD]
[TD]7.00[/TD]
[TD]69,300,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Senoir Officers[/TD]
[TD]150,000.00[/TD]
[TD]70.00[/TD]
[TD]7.00[/TD]
[TD]1,050,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Junior officers[/TD]
[TD]145,000.00[/TD]
[TD]90.00[/TD]
[TD]7.00[/TD]
[TD]1,015,000.00[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD]239.00[/TD]
[TD][/TD]
[TD]146,465,000.00 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hypothesis and wishful thinking wont help you guys.

Mods, peleka hii kwenye udaku, there is no imperical facts here, in contrast, hii thread is a dogma fallacy
 
Imekuwaje tumefika hapa tulipo? Nilisikia serikali yetu haina dini-isipokuwa watu wake ndio walio na dini. Kwa mtizamo wangu jambo ili lilikuwa jema na si hajabu limesaidia sana Tanzania na watu wake kuwa na amani. Kama nimeelewa mada hii vizuri ni kwamba mahakama za kadhi zimekubalika. Colleagues, Watawala wengi wanaujanja wa aina moja hasa pale utawala wao unapokaribia ukingoni. Wao utumia hoja zinazowagawa watu iliwabakie madarakani. Hili la mahakama ya kadhi ni janja ya CCM 2015 kupata kura (wakiwa wamewagawa wa-Tanzania) katika misingi 'yaliwalo na liwe'. Ushauiri wangu ni kuwa uhuru wa kuabudu ni haki ya msingi na ya kibinadamu. Kama mahkama za kadhi ni utaratibu wa ki-Islam ni vyema wakaendelea nao wao wenyewe lakini wasiusishe utaratibu huu na watu-wasio wa dini yao pamoja na serikali. We (christian, others and the government) do not need even to discuss about 'mahakama ya kadhi' if it is Islamic issue.
 
Hamumjui pinda nyinyi majibu mepesi! Maswali magumu kwa kifupi ni changa la macho hilo
 
Jana, (ingawa sikusikia jibu lote) kipande kidogo nilichokisikia kinanifanya ni sadiki kuwa Mheshimiwa Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Pita Pinda alipokuwa akijibu hoja za bajeti jana jioni kaonesha kuridhia kwa Serikali kuanzishwa tena kwa Mahakama ya Kadhi baada ya kufungiwa kwa muda mrefu na aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanganyika (na baadae Tanzania) Julius Kambarage Nyerere.

Tunawapongeza Watanzania wote kwenye haya maamuzi mazuri yaliyofanywa na Serikali ya Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. Kuwarudishia Waislaam Kadhi na mahakama ya Kadhi ni katika kuwapa uhuru wao wa kuabudu uliodhulumiwa na utawala wa awamu ya kwanza.

Tunatumai mchakato wa kuzirudisha mahakama za kazi utakuwa wa kasi zaidi.

Hongera Waislaam, Hongera Kikwete, Hongera Pinda, Hongera Watanzania.

Duh! Hii Serikali DHAIFU inatapatapa sana!!! Mara Mahakama ya kadhi hairuhusiwi mara RUKHSA ali mradi inajikanyagakanyaga kupita kiasi!!!!
 
Wala sidhani kama kuna mwanamke wa Kikristo anaependa Mumewe awe na Kimada, ni udhaifu wetu tu wanaume, kabla dini hizi ( Ukristo na Uislam) hazijaingia Afrika, jadi yetu ilikuwa ni Mwanamume kuwa na Wake wengi, hata kumi na zaidi. Ndio maana Waafrika wengi Wakristo hawajaacha mila hii, viongozi wengi wakristo akishafariki utasikia ameacha wajane wawili nk (eg Marehemu Sokoine aliacha wawili) kwa maelezo kuwa ndoa moja ya kidini na nyingine ya Kimila, angalia Rais wa SA Bw Jacob Zuma, kina Mswati? Katika Qur'an, Mwenyezi Mungu ametamka wazi kwamba ana prefer mwanamume awe na mke mmoja, ila under certain circumstances "IKIBIDI" ndipo anaweza kuoa wa pili hadi wa nne, lakini preferrence ya Mungu ni mmoja, zaidi ya hapo ni ruhusa tu ameitoa kwa kujua alivyotuumba. Kama Bwana Yesu alivyosema kuwa waliooana wasiachane hadi kufa ( lakini akaweka Option kuwa "ila kwa sababu ya Uzinifu, wanaweza kuachana") Matatizo uliyoyataja yanatokana na kukosekana chombo cha Kiislam chenye mamlaka ya kuzitafsiri sheria na kuzitolea hukumu sheria zinazo Govern masuala hayo, Wanaume wengi wa Kiislam wana abuse sheria hizi na kutake advantage above women, hivi una habari kuwa katika ndoa ya Kiislam Kisheria Mwanamke halazimiki kukupikia, kukufulia nguo zako, wala kwenda sokoni mpaka atake mwenyewe? Ni wajibu wa Mume kumuonesha mapenzi na kumsihi mpaka apende kukufanyia? Mahakama ya Kadhi haki itatendeka kwa mujibu wa sheria, sasa hivi ni vigumu kutendeka katika mahakama zilizopo.

Mgunga-Miba,

..kwa kweli huko tunakoelekea nadhani Mwenyezi Mungu ataleta dini inayopiga marufuku ndoa.

..dunia itakuwa na mambo ya girl friend na boy friend tu.

..wanawake nao wameanza kuwa na tamaa za kuwa na wanaume wengi, kama ilivyo kwa wanaume kupenda kuwa na wanawake wengi, kwa kisingizio cha maumbile.
 
Msidanganyane! mlipa kodi mkubwa wa nchi hii ni Waislamu kutokana na idadi ya uwingi wao (wekeni kipengele cha dini kwenye sensa) na ufanyabiashara.

du.! Hii inaitwa elimu ahera.
 
Wala sidhani kama kuna mwanamke wa Kikristo anaependa Mumewe awe na Kimada, ni udhaifu wetu tu wanaume, kabla dini hizi ( Ukristo na Uislam) hazijaingia Afrika, jadi yetu ilikuwa ni Mwanamume kuwa na Wake wengi, hata kumi na zaidi. Ndio maana Waafrika wengi Wakristo hawajaacha mila hii, viongozi wengi wakristo akishafariki utasikia ameacha wajane wawili nk (eg Marehemu Sokoine aliacha wawili) kwa maelezo kuwa ndoa moja ya kidini na nyingine ya Kimila, angalia Rais wa SA Bw Jacob Zuma, kina Mswati? Katika Qur'an, Mwenyezi Mungu ametamka wazi kwamba ana prefer mwanamume awe na mke mmoja, ila under certain circumstances "IKIBIDI" ndipo anaweza kuoa wa pili hadi wa nne, lakini preferrence ya Mungu ni mmoja, zaidi ya hapo ni ruhusa tu ameitoa kwa kujua alivyotuumba. Kama Bwana Yesu alivyosema kuwa waliooana wasiachane hadi kufa ( lakini akaweka Option kuwa "ila kwa sababu ya Uzinifu, wanaweza kuachana") Matatizo uliyoyataja yanatokana na kukosekana chombo cha Kiislam chenye mamlaka ya kuzitafsiri sheria na kuzitolea hukumu sheria zinazo Govern masuala hayo, Wanaume wengi wa Kiislam wana abuse sheria hizi na kutake advantage above women, hivi una habari kuwa katika ndoa ya Kiislam Kisheria Mwanamke halazimiki kukupikia, kukufulia nguo zako, wala kwenda sokoni mpaka atake mwenyewe? Ni wajibu wa Mume kumuonesha mapenzi na kumsihi mpaka apende kukufanyia? Mahakama ya Kadhi haki itatendeka kwa mujibu wa sheria, sasa hivi ni vigumu kutendeka katika mahakama zilizopo.

You are very right. hakuna mwanamke anayetaka kimada. lakini kumbuka hata waislamu walio na wanawake wanne, wana vimada. Ninao marafiki zangu wana vimada na wake wanne. hivyo vimada sio kwa wakristo. Ni hulka ya mwanadamu kutamani mwanamke yeyote aliyempenda
 
Mtaendesha kwa kodi zenu wenyewe!!. mnapenda vitu vya bure bure tu!.

Usitukane mamilioni ya waislamu kwa sababu ya shinikizo la waislamu wachache wenye kutaka kufanya mambo kwa faida zao binafsi; mimi kama muislamu sioni nimenipungukiwa kitu gani na sheria zilizopo, kuanzia ndoa hadi mirathi, hata pale inapotokea migogoro ya kifamilia (kiislamu) mahakama imekuwa ikiwashauri wanafamilia kupeleka migogoro yao Bakwata ili iamuliwe kwa taratibu za kiislamu; mirathi tumepewe fursa ya kuchagua itumike ya serikali au ya kidini, mgawanyo wa mali kati ya mume na mke ni uamuzi wenu kutumia sheria za serikali au za kidini, sijui hii mahakama ya kadhi itakuja na lipi jipya labda kwenye kumhukumu mwizi; mafundisho ya dini yetu yamekataza kupenda vitu vya bure; usitumie udhaifu binadamu na kuelekeza kwenye dini; wadhaifu wa kupenda vya bure wapo kwenye dini zote.

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
Mgunga-Miba,

..kwa kweli huko tunakoelekea nadhani Mwenyezi Mungu ataleta dini inayopiga marufuku ndoa.

..dunia itakuwa na mambo ya girl friend na boy friend tu.

..wanawake nao wameanza kuwa na tamaa za kuwa na wanaume wengi, kama ilivyo kwa wanaume kupenda kuwa na wanawake wengi, kwa kisingizio cha maumbile.

Kuna dini zimesharuhusu wanaume kwa wanaume waoane, wanawake kwa wanawake waoane, sijui ni dini zipi hizo?
 
Usitukane mamilioni ya waislamu kwa sababu ya shinikizo la waislamu wachache wenye kutaka kufanya mambo kwa faida zao binafsi; mimi kama muislamu sioni nimenipungukiwa kitu gani na sheria zilizopo, kuanzia ndoa hadi mirathi, hata pale inapotokea migogoro ya kifamilia (kiislamu) mahakama imekuwa ikiwashauri wanafamilia kupeleka migogoro yao Bakwata ili iamuliwe kwa taratibu za kiislamu; mirathi tumepewe fursa ya kuchagua itumike ya serikali au ya kidini, mgawanyo wa mali kati ya mume na mke ni uamuzi wenu kutumia sheria za serikali au za kidini, sijui hii mahakama ya kadhi itakuja na lipi jipya labda kwenye kumhukumu mwizi; mafundisho ya dini yetu yamekataza kupenda vitu vya bure; usitumie udhaifu binadamu na kuelekeza kwenye dini; wadhaifu wa kupenda vya bure wapo kwenye dini zote.

Chama
Gongo la Mboto DSM.
Kama wewe ni Muslam kweli (Which I doubt uelewa wako) ni dhahiri kuwa hujafikwa, ndio maana hujui au huoni umepungukiwa nini, pia ujue Bakwata inatoa ushauri tu, haina mamlaka ya kuhukumu
 
Misaada mpewe nyie tukipewa sisi omba omba, mbona serikali ilishinikizwa na makanisa na kukubaliana nayo kuwa misaada inayotoka uarabuni isiingie tz kwakuwa wanafadhili ugaidi? hatuwezi kufanikiwa bila wakina ndalichako na udini wao kutoka pale walipo, ndo maana dini zenu zinapigania ndoa za jinsia moja
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom