Mahakama ya Kadhi "Ruksa" - Pinda

Mahakama ya Kadhi "Ruksa" - Pinda

Status
Not open for further replies.
Kama wewe ni Muslam kweli (Which I doubt uelewa wako) ni dhahiri kuwa hujafikwa, ndio maana hujui au huoni umepungukiwa nini, pia ujue Bakwata inatoa ushauri tu, haina mamlaka ya kuhukumu

Mimi ni Muislamu na naelewa nini ninachokisema

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Kuna dini zimesharuhusu wanaume kwa wanaume waoane, wanawake kwa wanawake waoane, sijui ni dini zipi hizo?

Zomba,

..kwa uelewa wangu, kwa hizi zilizopo sasa hivi, bado hakuna inayoruhusu ndoa ya jinsia moja.

..unachokiona sasa hivi ni tafsiri vya vichochoroni za watukutu wachache.

..ila nakwambia huko mbele ya safari itakuja dini ambayo inapiga marufuku ndoa. na hakutakuwa na utata wala kumungunya ktk tafsiri.
 
Hii inaashilia ni jinsi gani hawa jamaa walivyo kithili kwenye uhalifu.ndio maana wanang'ang'ania mahakama ya kadhi ili iwekichaka chao cha kuficha maovu yao ili yasiendelee kuonekana peupe na mahakama za kawaida.serekali ni dini gani? Mpaka itumie kodi ya walala hoi kugaramia mahakama hiyo?.
 
Juice za miwa na pilau zinatosha kuwa hongo tosha kwa mahakimu mahakama ya kadhi nafikiri hata kadhi mkuu ukimpa rushwa ya ndizi mbivu anapindisha kesi
 
Misaada mpewe nyie tukipewa sisi omba omba, mbona serikali ilishinikizwa na makanisa na kukubaliana nayo kuwa misaada inayotoka uarabuni isiingie tz kwakuwa wanafadhili ugaidi? hatuwezi kufanikiwa bila wakina ndalichako na udini wao kutoka pale walipo, ndo maana dini zenu zinapigania ndoa za jinsia moja
Imetulia.
 
Kwasasa wababa wengi wa kiislamu wanashindwa kuwapa talaka wake zao kwa sababu wanaogopa kugawana mali sawasawa na wake zao endapo mahakama ya kadhi itaanza kazi mwanamume anaweza kutoa talaka na kumpatia mke aliyemwacha fedha kidogo tu kwa ajiri ya kujikimu si nusu kwa nusu, sasa wamama na wadada mtapata shida na uvaaji wa bongo.
 
Zitakuwepo na zitaendeshwa kwa gharama zenu waislamu wenyewe. Kwa hili hata sijui kwanini mlikuwa mnakazana kuiomba serikali, si mgeanzisha tu? Wakatoliki wanazo mahakama zao tena zina wasomi hasa lakini zinaendeshwa na wao wenyewe. You always appeal to mercy!!!!!!
 
Zomba,

..hizo ndizo ninazoita tafsiri za vichochoroni za watukutu wachache.

..hapa Tanzania kanisa la Anglican haliruhusu ndoa za jinsia moja.

..ila mimi nadhani ikitokea Mwenyezi Mungu akatuletea wanadamu dini mpya basi dini hiyo itapiga marufuku ndoa.

..tatizo lingine ni TAMADUNI za mahali husika.

Duh! watukutu wanaotumia kanisa la Kiingereza? tena ni wachungaji. kwi kwi kwi teh teh teh

Usitegemee dini zaidi ya kujisalimisha kwa muumba wako, hakuna dini ya mtu duniani, dini (mfumo wa maisha) ni wa aliyekuumba tu.

Waislaam tunafurahi kuwa tunarudishiwa haki yetu ya kuabudu tuliyonyang'anywa na Nyerere. Na tutaendelea kudai haki zetu mpaka zitakapokamilika, hatuna haja na mengine, sisi tuwe huru kuishi kwa sharia na kumtii Mwenyeezi Mungu. Nyinyi bakini na yenu na sisi tuwacheni na Uislaam wetu.
 
Zitakuwepo na zitaendeshwa kwa gharama zenu waislamu wenyewe. Kwa hili hata sijui kwanini mlikuwa mnakazana kuiomba serikali, si mgeanzisha tu? Wakatoliki wanazo mahakama zao tena zina wasomi hasa lakini zinaendeshwa na wao wenyewe. You always appeal to mercy!!!!!!

wakatoliki wana mahakama ..mmmh! kiazi kingine hiki
 
Yeah!
Lakini wakati wa kusaini MOU ambayo ni kwa "faida ya Watanzania wote" waislamu hawakuwa na mwakilishi! kitu gani kilichopo katika mkataba hatujui......tunachoambiwa ni kwa faida ya wote!
"hongera" Wakristo, hongera Kanisa!Msidanganyane! mlipo kodi mkubwa ni Waislamu kutokana na wingi wao (wekeni kipengele cha dini kwenye sensa) na ufanyabiashara.

But majority of them are too miserable to qualify as tax payers.
 
wakatoliki wana mahakama ..mmmh! kiazi kingine hiki
Ndo maana huwa nasema mnaongea msoyajua kwamba yapo. Siwezi kuwa kiazi kwasababu ya kutokujua kwako. Nikwambie tena kuwa kuna mahakama za wakatoliki ambazo zinaongozwa na Majaji wa kikatoliki ambao wamesoma sheria za kanisa (Canon law) sheria za kiraia (Civil law), Mahakama hizo zinahusiana na mambo ya Ndoa na Mirathi ndani ya WAKATOLIKI, kuna mambo mengi hamyajui ndo maana mnapiga kelele. Na ndo maana huwa nawaambia kuwa msichangie kila thread kwasababu mtafunua kutokujua kwenu. In short mahakama hizo za Wakatoliki ndani ya Tz zimegawanywa kwenye kanda ambapo Majaji huteuliwa toka miongoni mwa WASOMI HAO. Ukienda hapa http://www.google.co.ke/url?sa=t&rc...1ey9DQ&usg=AFQjCNHOQXzzMPNW909ZnzdqLk5mgz_h9Q utaona kuwa wanayo code. Na kama kuna Wakatoliki wasojua kuwa wanazo mahakama basi hili litawasaidia kuelewa. There are many things you guys do not understand yet you so much complain about them because of your ignorance. Let knowledge prevail over your ignorance!!!!!
 
Ndo maana huwa nasema mnaongea msoyajua kwamba yapo. Siwezi kuwa kiazi kwasababu ya kutokujua kwako. Nikwambie tena kuwa kuna mahakama za wakatoliki ambazo zinaongozwa na Majaji wa kikatoliki ambao wamesoma sheria za kanisa (Canon law) sheria za kiraia (Civil law), Mahakama hizo zinahusiana na mambo ya Ndoa na Mirathi ndani ya WAKATOLIKI, kuna mambo mengi hamyajui ndo maana mnapiga kelele. Na ndo maana huwa nawaambia kuwa msichangie kila thread kwasababu mtafunua kutokujua kwenu. In short mahakama hizo za Wakatoliki ndani ya Tz zimegawanywa kwenye kanda ambapo Majaji huteuliwa toka miongoni mwa WASOMI HAO. Ukienda hapa http://www.google.co.ke/url?sa=t&rct=j&q=canon+law+marriage&source=web&cd=1&ved=0CFYQFjAA&url=http%3A%2F%2Fwww.catholicdoors.com%2Fmisc%2Fmarriage%2Fcanonlaw.htm&ei=60rvT4vXEIisrAe51ey9DQ&usg=AFQjCNHOQXzzMPNW909ZnzdqLk5mgz_h9Q utaona kuwa wanayo code. Na kama kuna Wakatoliki wasojua kuwa wanazo mahakama basi hili litawasaidia kuelewa. There are many things you guys do not understand yet you so much complain about them because of your ignorance. Let knowledge prevail over your ignorance!!!!!

Sasa hii google search history ndio mahakama???

Tanzania iko wapi na hakimu wake ni nani?? na wanatumia biblia ipi??

Wakatoliki hawana mahakama kwasababu wanatumia za serikali kutafuta hukumu za ndoa zao, hawana na hawatakuwa nayo
 
Hapo ni usongo tu kwa kuwa hawajakamilika na kuwa na sheria zao. Kwi kwi kwi teh teh teh!

Tuwacheni na mahakama zetu za kadhi na ma kadhi wetu, nyinyi kina wauma nini? kwani mnapeleka kesi zenu huko?

Benki za Kiislaam nzuri eeeh? basi mjuwe hizo zinatokana na Sharia!
 
Acha unafiki, mimi binafsi huwa nachangia ujenzi wa shule,makanisa,hospitali na vyuo kwenye harambee nyingi sana zinazoendwa na wakirsto hata kama natofautiana nao imani.

jana nimechangia mchango kwa ajili ya kuendesha semina ya malezi bora kwa vijana inayoandaliwa na wakirsto, nalazimika kuchangia sababu naona ni positive initiatives badala ya kulalamika lalamika na kutoa visingizio visivyokuwa na msingi kama mtoto mdogo.

utanishawishi vipi nikuelewe kwamba ni fedha za MOU wakati na mimi nimechangia? na zaidi waislamu kutokupewa pesa na serikali sio sababu ya wao kuacha kufanya shughuli za maendeleo.

Fungukeni macho bwana, haya, bajeti yetu inaonyesha kwamba fedha zinazotengwa kwa ajiri ya maendeleo ni zile zinazotegemewa kutoka kwa nchi wahisani, wewe si unajua kwamba nchi wahisani karibia zote ni za kizungu, za kikirsto kwa mujibu wa tafsiri zenu za kulalamika lalamika, na nyie mnataka portion kutoka kwenye pesa hizo??

Mjifunze kujisimamia kwa mambo ya msingi hasa ya maendeleo, dunia nzima imewachoka sasa, project mnazozifanya kwa umakini na ufanisi ni zile za mauaji ya haraiki ya watu tu basi. shame on you. Good Bye.

Mzee umegongomelea kwelikweli. Siongezi neno nisije nikapunguza utamu wa ujumbe.
 
HUO wehu wa wingi ndio unaowapa kiburi, lakini kwa taarifa yenu idadi yenu ni ndogo sana hapa nchini. SHAME on you bcoz lengo letu si kujenga taifa la waislamu bali la watanzania wote wakiwemo waislamu.
 
Yeah!
Lakini wakati wa kusaini MOU ambayo ni kwa "faida ya Watanzania wote" waislamu hawakuwa na mwakilishi! kitu gani kilichopo katika mkataba hatujui......tunachoambiwa ni kwa faida ya wote!
"hongera" Wakristo, hongera Kanisa!Msidanganyane! mlipo kodi mkubwa ni Waislamu kutokana na wingi wao (wekeni kipengele cha dini kwenye sensa) na ufanyabiashara.

Wingi wa kikundi fulani, haumaanishi wao ndio walipa kodi wakubwa. Kikundi fulani kinaweza kuwa na watu wengi lakini hao hao wengi hawafanyi kazi yeyote yakuwaingizia kipato. Sasa kodi wanailipaje?
 
Sasa hii google search history ndio mahakama???

Tanzania iko wapi na hakimu wake ni nani?? na wanatumia biblia ipi??

Wakatoliki hawana mahakama kwasababu wanatumia za serikali kutafuta hukumu za ndoa zao, hawana na hawatakuwa nayo

Sasa utakuwa na canon lawa bila magistrates? Nenda SAUT mtafute Rev Dr. Respicius Rugemalila ni miongoni mwa majaji wa mahakama wa kanisa Katoliki kanda ya ziwa atakueleza! Umeuliza iko wapi mahakama? Kila makao makuu ya jimbo Katoliki kuna hiyo mahakama Mkuu. Wanatumia Biblia ipi? Kumbe hata kuuliza swali hujui, ukijibiwa utaelewa nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom