Ex Spy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2007
- 313
- 2,649
Hakutaka hata kuangalia Auto correction kwenye kifaa alichokuw anatumia kuandika hiyo notice?7
Nimepita kama naaga maitiHata mimi darasa la saba B nimeistukia hiyo, aibu mimi naona.
And must sio ...and you must, uozo ni mwingi sanaLakini hiyo ni kazi ya karani jamani, hapo amesema you must produce on thay day nini?😅
Shida sana huo ni mfano mmoja wapo yaan ameshindwa hata kutumia template?Nimepita kama naaga maiti
Karani f4 ya zero!Lakini hiyo ni kazi ya karani jamani, hapo amesema you must produce on thay day nini?😅
Karani wa jaji huyoo!And must sio ...and you must, uozo ni mwingi sana
Kwani wanalipwaje hawa watu naona hawako makini kabisa 😀Karani f4 ya zero!
Tatizo anaedit precedents anaprint bila kuangalia, jaji na commissioner of oaths nao wanafanya attestation hawana huo muda wa kupitia!Shida sana huo ni mfano mmoja wapo yaan ameshindwa hata kutumia template?
Bora liende! Muhimili uliokufaKwani wanalipwaje hawa watu naona hawako makini kabisa 😀
Samahani mkuu wangu ,tusaidizane hivi hapo kwenye 11 February ilibidi iweje ? Huko kwenye your are nimepaelewa na mimi .Lakini hiyo ni kazi ya karani jamani, hapo amesema you must produce on that day nini?😅
Kazi kweli..Bora liende! Muhimili uliokufa
Subiri field yako ikifika utachangia😂😂😂 hapo ni lugha gongana huoni 11th yeye kaweka 11st😆Samahani mkuu wangu ,tusaidizane hivi hapo kwenye 11 February ilibidi iweje ? Huko kwenye your are nimepaelewa na mimi .
Nisaidie mwenzio na mimi niwe huru kuchangia mengine kuhusu mahakama zetu hizi
Hapo nimekusoma ,sasa nichangie .Subiri field yako ikifika utachangia😂😂😂 hapo ni lugha gongana huoni 11th yeye kaweka 11st😆