Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,057
Hii iko KenyaKesi nyingine ifunguliwe Mkurugenzi wa TISS akishateuliwa lazima ajadiliwe na ajieleze mbele ya kamati maalum ya wabunge yenye wabunge kutoka vyama vyote, kamati iwe na uwezo wa kumkataa.
Kesi nyingine idai mabadiliko kwenye uteuzi wa IGP asiwe mteule wa Rais, iwe ni kazi ya kuomba miongoni mwa polisi wenyewe na bunge ndio liwe na mamlaka ya kumtengua pale linapoona inafaa na pia kama itapendekezwa na Rais..