Mahakama: BAKWATA si Chombo cha Waislam wote

Mahakama: BAKWATA si Chombo cha Waislam wote

Don't mess up with seven head serpent

Leo ponda anasikilizwa na anashinda kesi.! šŸ˜Ž
 
Ila haitĆ wezekana serikali kumsikiliza muislamu mmoja mmoja au vikundi lukuki linapikuja suala la maslahi ya jumla ya waislamu, mfano tarehe ya skjukuu ya Iddi atasikilizwa nani pale watakapotofautiana?

Hii hukumu inaweza kuwa mwanzo wa anarchy katika uislamu na vurugu za uvunjifu wa amani maana kila kikundi kitadai ndicho muwakilishi sahihi wa uslamu.

Kwa wakristo japo yapo madhehebu lukuki lakini Kanisa Katoliki ndilo linaseti trend ya matukio makuu katika ukristo mfano tarehe za ijumaa kuu na pasaka na krisnas.

Ngoja tuone kalenda za sikukuu za kiislamu nani ataseti
Wakishindwa kuelewena tarehe rasmi ni ipi, serekali itachagua siku moja baada ya kadirio lao, hata kwenye calendar huwa imewekwa kabisa, lakini huongezwa maneno kutegemeana na muandamo wa mwezi. Tofauti yao huwa ni ndanj ya 24hrs. Labda useme hiyo hukumu tatizo lilikuwa ni tarehe ya muandamo wa mwezi. Kama wanashindwa kutoa tafsiri sahihi ya kitabu chao, kwanini waitake serekali ifuate tafsiri ya kundi mojawapo?
 
Nahisi hao Bakwata ndio wanaopiga pesa nyingi zinazotakiwa kwenda kwenye miradi ya kiislamu, pesa zikitoka hutoka za waislamu kumbe wanapewa Bakwata wanazipiga hahaha, always huwa nafikiria kwenye huu mtizamo maana sioni cha maana wanachofanya zaidi ya blah blah, wao husema ni chombo cha waislamu, waislamu kwenye mambo gani?...Taasisi nyingine za kidini athari zao zinaonekana wazi kabisa Wana vitu vinavyoweza kusaidia jamii, Bakwata utawaona kwenye mambo ya mwezi sijui umetoka Zanzibar nk.. Nadhani Wana ofisi Kila mkoa na wilaya, tija Haionekani zaidi ya kualikwa kwenye sherehe au vikao kupiga Dua na Kula ubwabwa.
Baklava hawana misikiti mingi yani hawana mifumo ya kujenga misikiti na kuteua Viongozi kwenye misikiti yani mifumo yao ya ipo ovyo na haina Tina kwa jamii na haiwaleti Waslam pamoja, leo hii mtu anaweza kujenga msikiti na akawa imamu, Tofauti na Romani Catholic na KKT wao ni ngumu Muumini akajenga Kanisa na akajiteua kua Padri wa hilo kanisa au Muumini akatafuta mfadhili akapewa pesa kisha akanunua eneo akaanza kujenga Kanisa.
 
mnashangilia lkn hamjui kwamba you are creating a monster, bakwata ndiyo chombo pekee kinachoweka muslims at bay, wakiua bakwata kitakachofwatia ni islamic state, and believe me kama wewe ni Christian basi haujui unachoshangilia.

punchline, muslims hasa hawa wa third world countries hawaioni dunia jinsi ninyi mnavyoiona, muslims wako vitani against the so called ''mfumo Kristo'', na bakwata is standing in the way, wakiondoa bakwata kinachofwatia ni jihadists na caliphate mpaka mwisho hata kama yakibakia majivu, shehe ponda anapigania uislamu na kamwe hapiganii demokrasia kama mnavyojiaminisha ila yuko na nyie kwa sababu anaweza kuwatumia kama daraja tu lkn hana lengo lolote la kuleta katiba wala haki kwa wote, kama hamuamini mpeni ofa ya kuwa na mwanachama wa chadema halafu muone kama atakubali, kuna sababu kwa nini yuko cuf au act.

be careful with what you wish for, alisema wise man ....
Kuna wakristo wapumbavu kutokana na chuki zao dhidi ya serikaki na CCM basi lolote linalokuja dhidi ya serikali na CCM wao wanashabikia tu bika kuangalia athari zake kwa mustakabali wa imani yao. Katika uislamu hakuna ajenda ya kuishi na dini zingine isipokuwa wote wawe waislamu, hizi hatua za muda za kina Sheikh Ponda ni za kuwahadaa wakristo ili wakishafanikiwa uislamu utawale..
Chukulia suala lq Kadhi, talaka ili itambulike kundi kipi litatoa uqmuzi je si kutakuwa na vurugu su serikali itssikikiza kila kundi. Mapumziko ya Idi nani atasikikizwa?
 
Wakishindwa kuelewena tarehe rasmi ni ipi, serekali itachagua siku moja baada ya kadirio lao, hata kwenye calendar huwa imewekwa kabisa, lakini huongezwa maneno kutegemeana na muandamo wa mwezi. Tofauti yao huwa ni ndanj ya 24hrs. Labda useme hiyo hukumu tatizo lilikuwa ni tarehe ya muandamo wa mwezi. Kama wanashindwa kutoa tafsiri sahihi ya kitabu chao, kwanini waitake serekali ifuate tafsiri ya kundi mojawapo?
Hivi unaelewq maana ya anarchy? Hivi nchi isipotawalika nini kitafuata hapo kama sio kuchinjana? Ili muajiri atoe siku ya mapumziko rasmi kuwezesha waumini waende kwenye ibada inabidi kuwe na tamko la serikaki la lini ni sikukuu na serikali haiwezi kuwapangia watu tarehe kwani serikali haina dini. Serikali inachofanya ni kuuliza chombo cha waumini lini ni sikukuu yenu kisha serikali inatangaza.
 
Ni watumishi wasio waadilifu wa serikali wa kanisa katika wizara ya ardhi waliofanikisha uuwazaji wa viwanja vya Waislamu, tunayajua hayo yote- Sheikh ubwabwa THE BIG SHOW 2025
Huu uongo wa kiwango cha just viwanja vya waislamu hati zipo Bakwata viuzwe na Wakristo aisee hii ni uongo mkuu mimi ni muislamu nasema waliouza vile viwanja ni Waislamu nilifatilia kwa ukaribu sana nikajua ujinga wao nikawapuuza.
 
BAKWATA sasa hivi ndiyo sabuni ya kumsafisha Samia kwa udhalimu aliwafanyia Watanganyika kwa kuua maelfu ya Watanganyika akitumia KMKM toka Zanzibar..
 
Hivi unaelewq maana ya anarchy? Hivi nchi isipotawalika nini kitafuata hapo kama sio kuchinjana? Ili muajiri atoe siku ya mapumziko rasmi kuwezesha waumini waende kwenye ibada inabidi kuwe na tamko la serikaki la lini ni sikukuu na serikali haiwezi kuwapangia watu tarehe kwani serikali haina dini. Serikali inachofanya ni kuuliza chombo cha waumini lini ni sikukuu yenu kisha serikali inatangaza.
Kama wao wenyewe hawataki huo umoja na hawawezi kutoa tafsiri ya kitabu chao, kwanini serekali ilazimishwe kufuata kundi lisilokubalika?
 
Ngoja wana BAKWATA Tanganian NA Chizi Maarifa waje.
Sisi waislamu hatuna ushabiki wa viongozi sio kama nyie mikwara: ooh TEC wanaongoza Tanzania ,mara wanaongoza dunia .Kiko wapi? Wenyewe waoga eti mkuu anaogopa kutekwa ..šŸ˜‚šŸ˜‚DP world wamepoteza pambana ,huo ukubwa wao uko wapi?

BAKWATA ya nini mie ,niache kufanya mame nilete ushabiki wa Taasisi zilizoundwa na binadamšŸ˜‚
 
Hivi unaelewq maana ya anarchy? Hivi nchi isipotawalika nini kitafuata hapo kama sio kuchinjana? Ili muajiri atoe siku ya mapumziko rasmi kuwezesha waumini waende kwenye ibada inabidi kuwe na tamko la serikaki la lini ni sikukuu na serikali haiwezi kuwapangia watu tarehe kwani serikali haina dini. Serikali inachofanya ni kuuliza chombo cha waumini lini ni sikukuu yenu kisha serikali inatangaza.
Sherehe za waislam ziko wazi duniani zikatambulika.
Waislam wako Dunia nzima na Bado wanatii mamlaka
BAKWATA ni wahuni wanaokandamiza waislam,
 
Sisi waislamu hatuna ushabiki wa viongozi sio kama nyie mikwara: ooh TEC wanaongoza Tanzania ,mara wanaongoza dunia .Kiko wapi? Wenyewe waoga eti mkuu anaogopa kutekwa ..šŸ˜‚šŸ˜‚DP world wamepoteza pambana ,huo ukubwa wao uko wapi?

BAKWATA ya nini mie ,niache kufanya mame nilete ushabiki wa Taasisi zilizoundwa na binadamšŸ˜‚
Mimi ni mwislamu mkuu šŸ˜‚. Lakini napenda haki itendeke.
 
Kwa jicho la juu juu ni kwamba waislamu tumeshinda ushindi mnono,lakin je tuje katika maono mapana sasa
1 je tuna taasisi mbadala wa kusimamia mambo yetu sisi waislamu?? Ambayo itakuwa recognized kama ilivyokuwa bakwata huko serikalini??
2:je mambo yanayogusa jamii kwa ujumla kama suala na mwandamo wa mwez itakuwaje mwenye mamlaka ya mwisho kuutangaza?? Bakwata atasema hivi,shia watasema vile,sunni hivi,ahmadia watasema hiv,je hii haitaleta migogoro na migongano mwishowe umoja wa waislamu kusambaratika?? Tumejipangaje kwa hilo??
3:utapeli kuongezeka
Hili rumejipanga nalo vip?? Wanakuja waislam labda wa taifa lingine wanataka kusaidia au kuanzisha mradi fulan wa kusaidia jamii,wanakuta huku kuna taasisi nyingi tena zina nguvu zawa kutokana na idadi ya wanaoiunga mkono,si watafanya ubadhirifu na kuiba mali za watu?? Mind you hakuna taaisi ya kumonitor haya,
Mwisho: nashauri iundwe taasisi nyingine imara ambayo haina mfungamano wowote wa kisiasa au itikadi yoyote ambayo kwa sehem kubwa au kwa idadi yote ndo iwe chombo cha kusimamia masuala yotee ya waislamu,vinginevyo haya ya kushinda kesi mahakaman yatazalisha tatizo lingine kubwa mbeleni
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom