Vurugu za waislamu wewe hazitakuathiri? Sikukuu za kiislamu serikali itafanyaje maana wana haki kusherehekea sikukuu yao.
Mmiliki wa mali ana haki ya kuuza mali. BAKWATA hawajawahi kuuza mali ya muislamu isipokuwa,mali ambazo zipo chini ya mamlaka yake, hao waislamu ni kina nani mali zao zilizouzwa? Anarchy haina nafasi kwa kisingizio cha mali za waislamu, kwa nini hao waislamu walizikabidhisha BAKWATA halafu anatokea mpuuzi mmoja nje anadai mali za waislamu! Tafuta mali yako binafsi uifanye vile unataka, BAKWATA wana haki ya kuuza na kununua au kupokea mali.