Mahakama: BAKWATA si Chombo cha Waislam wote

Nipo upande wa Sheihk Ponda toka Bakwata walivyouza eneo la waislamu pale Keko niliona ni wahuni tu aisee na eneo lenyewe pana mwislamu alitoa ili hilo enjoy lijengwe msikiti mkubwa Daslm Viongozi wa Bakwata waliliuza kwa hela ndogo sana kisa walipewa rushwa kubwa hakuna taasisi ya Waislamu hapo ni wahuni tu.
Ni watumishi wasio waadilifu wa serikali wa kanisa katika wizara ya ardhi waliofanikisha uuwazaji wa viwanja vya Waislamu, tunayajua hayo yote- Sheikh ubwabwa THE BIG SHOW 2025
 
Leo waislam wameshinda kesi waliofungua dhidi ya BAKWATA kujipa mamlaka ya kuwaongelea waislam na kukwamisha miradi Kwa ukiritimba ati wao ndo watoe vibali Kwa taasisi zingine za kiislam

Shehe Ponda amesema mahakama katika hukumu hiyo, mahakama imeitamka kuwa BAKWATA sio taasisi inayosimamia Waislam wote Bali wale waliohiari kuwa chini ya taasisi ya BAKWATA

Pia Shehe Ponda ameahidi kuandaa kongamano kutoa elimu juu ya umuhimu wa hukumu ya Leo Kwa waislam
Assalam Alyekum

=======

WAISLAMU WAISHINDA KESI DHIDI YA SERIKALI NA BAKWATA MAHAKAMA KUU LEO 24/12/2025.

Majaji watatu leo wametoa hukumu ya kesi ya kikatiba iliyowasilishwa na Waislamu 12, Novemba 2024. Katika kesihiyo Waislamu hao walikuwa wanadai uhuru kwa Waislamu wa Tanzania wa kujiamulia mambo yao bila ya kulazimishwa kuwa chini ya taasisi nyingine yoyote ikiwemo BAKWATA.

Walioshitakiwa katika kesi hiyo ni Msajili wa Vyama Wizaraya Mambo ya Ndani, RITA, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na pia Bakwata na Baraza Kuu waliunganishwa.

Katika hukumu hiyo (ndefu), Jaji Mkwizu kwa niaba yamajaji wenzake 2, (waliokuwepo Mahakamani), alisema kwamujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waislamu kama raia wengine, wako huru kuendesha shughulizao za kidini bila ya kulazimishwa kuwa chini ya chombochochote.

Jaji aliyasema hayo baada ya kusoma nyaraka kadhaa za vyombo hiyo vya serikali na Bakwata ambazo maudhui yake yanawalazimisha Waislamu kuwa chini yao kabla ya kupewa huduma zinzotolewa na mamlaka za serikali.

Akifafanua zaidi baada ya kunukuu vifungu vya Katiba ya Bakwata na Katiba ya nchi, alisema kwa mujibu wa sheria hizo Bakwata si Taasisi mama ya taasisi zote za Waislamu wala haina hadhi hiyo kwa Waislamu wote wa Tanzania.

Hukumu hiyo imezitaka mamlaka za serikali RITA na Msajili Wizara ya Mambo ya Ndani kuzingatia uhuru wa Waislamu kama raia wengine wanapohitaji haki zao za msingi kutoka kwao.

Hukumu hiyo iliyotolewa na majaji watatu imewapa uhuru vyombo vya serikali na Bakwata wa kukata rufaa endapo wanahisi hawakuridhika na hukumu hiyo.

Miongoni mwa matatizo wanayoyapata Waislamu waTanzania kutokana na kulazimishwa kuwa chini ya chombo kimoja ni pamoja na kukosa haki sawa na dini nyingine pale panapotakiwa uwakilishi au mgao wa haki mbalimbali zinazotolewa na serikali.

Kutokana na hukumu hii taasisi zilizoingizwa kwa hila bila yahiyari yao chini ya Bakwata au chombo kingine chochote, ziko huru kuendelea kua chini ya Baraza hilo au kujitoa nakuendesha mambo yake zikiwa huru.

Aidha waislamu waliopeleka shauri hilo Mahakamani (chiniya udhamini wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania), wanaandaa utaratibu utakao wezesha Misikiti yote na Taasisizote za Kiislamu Tanzania kupata hukumu hiyo kwa lugha ya Kiswahili na Kingereza ili waweze kuona uhuru wanaoupata kutokana na hukumu hiyo.

Ust. MUSTAFA M. ABEIDI

MSEMAJI WA JOPO LA WALIOSHITAKI - 0785998872
Screenshot_20251129-214516~2.png
 
BAKWATA ni wing ya CCM kama zilivyo wings za vijana, wanawake, wazazi, etc.
 
Hata Saudi Arabia kwenyewe ulikoanzishwa Uislamu waumini na walimu huwa wanadhibitiwa na kila unachosema msikitini unawajibika, sembuse hizi banana republics.
Ukiwaacha bila uangalizi unamkuta Mufti kaanzisha Muslim Brotherhood au Islamic State.

Iraq si walimuacha kimya Abu Bakr al-Baghad na PhD yake ya Islamic Theology. Mwishowe dunia nzima imehangaika kisa mafundisho yake. Na banana republics hizi kina Niger, Chad, Nigeria ndio bado zinateseka na Islamic State of West Africa Province (ISWAP).
 
mnashangilia lkn hamjui kwamba you are creating a monster, bakwata ndiyo chombo pekee kinachoweka muslims at bay, wakiua bakwata kitakachofwatia ni islamic state, and believe me kama wewe ni Christian basi haujui unachoshangilia.

punchline, muslims hasa hawa wa third world countries hawaioni dunia jinsi ninyi mnavyoiona, muslims wako vitani against the so called ''mfumo Kristo'', na bakwata is standing in the way, wakiondoa bakwata kinachofwatia ni jihadists na caliphate mpaka mwisho hata kama yakibakia majivu, shehe ponda anapigania uislamu na kamwe hapiganii demokrasia kama mnavyojiaminisha ila yuko na nyie kwa sababu anaweza kuwatumia kama daraja tu lkn hana lengo lolote la kuleta katiba wala haki kwa wote, kama hamuamini mpeni ofa ya kuwa na mwanachama wa chadema halafu muone kama atakubali, kuna sababu kwa nini yuko cuf au act.

be careful with what you wish for, alisema wise man ....
Chombo kinacho milikiwa na CCM kiwe cha wazee wa dar,wamachinga sijui takataka gani tumeona sio kwa ubaya uhuru ni haki ila unaitaji uhuru wa amani
 
Leo waislam wameshinda kesi waliofungua dhidi ya BAKWATA kujipa mamlaka ya kuwaongelea waislam na kukwamisha miradi Kwa ukiritimba ati wao ndo watoe vibali Kwa taasisi zingine za kiislam

Shehe Ponda amesema mahakama katika hukumu hiyo, mahakama imeitamka kuwa BAKWATA sio taasisi inayosimamia Waislam wote Bali wale waliohiari kuwa chini ya taasisi ya BAKWATA

Pia Shehe Ponda ameahidi kuandaa kongamano kutoa elimu juu ya umuhimu wa hukumu ya Leo Kwa waislam
Assalam Alyekum

=======

WAISLAMU WAISHINDA KESI DHIDI YA SERIKALI NA BAKWATA MAHAKAMA KUU LEO 24/12/2025.

Majaji watatu leo wametoa hukumu ya kesi ya kikatiba iliyowasilishwa na Waislamu 12, Novemba 2024. Katika kesi hiyo Waislamu hao walikuwa wanadai uhuru kwa Waislamu wa Tanzania wa kujiamulia mambo yao bila ya kulazimishwa kuwa chini ya taasisi nyingine yoyote ikiwemo BAKWATA.

Walioshitakiwa katika kesi hiyo ni Msajili wa Vyama Wizaraya Mambo ya Ndani, RITA, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na pia Bakwata na Baraza Kuu waliunganishwa.

Katika hukumu hiyo (ndefu), Jaji Mkwizu kwa niaba yamajaji wenzake 2, (waliokuwepo Mahakamani), alisema kwamujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waislamu kama raia wengine, wako huru kuendesha shughulizao za kidini bila ya kulazimishwa kuwa chini ya chombochochote.

Jaji aliyasema hayo baada ya kusoma nyaraka kadhaa za vyombo hiyo vya serikali na Bakwata ambazo maudhui yake yanawalazimisha Waislamu kuwa chini yao kabla ya kupewa huduma zinzotolewa na mamlaka za serikali.

Akifafanua zaidi baada ya kunukuu vifungu vya Katiba ya Bakwata na Katiba ya nchi, alisema kwa mujibu wa sheria hizo Bakwata si Taasisi mama ya taasisi zote za Waislamu wala haina hadhi hiyo kwa Waislamu wote wa Tanzania.

Hukumu hiyo imezitaka mamlaka za serikali RITA na Msajili Wizara ya Mambo ya Ndani kuzingatia uhuru wa Waislamu kama raia wengine wanapohitaji haki zao za msingi kutoka kwao.

Hukumu hiyo iliyotolewa na majaji watatu imewapa uhuru vyombo vya serikali na Bakwata wa kukata rufaa endapo wanahisi hawakuridhika na hukumu hiyo.

Miongoni mwa matatizo wanayoyapata Waislamu waTanzania kutokana na kulazimishwa kuwa chini ya chombo kimoja ni pamoja na kukosa haki sawa na dini nyingine pale panapotakiwa uwakilishi au mgao wa haki mbalimbali zinazotolewa na serikali.

Kutokana na hukumu hii taasisi zilizoingizwa kwa hila bila yahiyari yao chini ya Bakwata au chombo kingine chochote, ziko huru kuendelea kua chini ya Baraza hilo au kujitoa nakuendesha mambo yake zikiwa huru.

Aidha waislamu waliopeleka shauri hilo Mahakamani (chiniya udhamini wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania), wanaandaa utaratibu utakao wezesha Misikiti yote na Taasisizote za Kiislamu Tanzania kupata hukumu hiyo kwa lugha ya Kiswahili na Kingereza ili waweze kuona uhuru wanaoupata kutokana na hukumu hiyo.

Ust. MUSTAFA M. ABEIDI

MSEMAJI WA JOPO LA WALIOSHITAKI - 0785998872
Mahakama ni uhuni mtupu hiyo ni kesi au fafanuzi ya kisheria tu ? Sasa imekuwaje kuchukua hata miezi miwili jambo ambalo lilitakiwa kutolewa fafanuzi tu ndani ya week 2 linachukua mwaka mzima.
 
Siku zote nilikuwa nawaambia Waislamu adui yao mkubwa ni BAKWATA kwani hii ni Jumuiya ndani ya CCM inayotumika kuwaghilibu Waislamu waiunge mkono CCM hata kwenye mambo ya kipumbavu. Hukumu hii iwafumbue macho na waache kuliandama Kanisa Katoliki bali walilaumu BAKWATA kwa kutumika na Serikali kuminya haki zao.
 
Leo waislam wameshinda kesi waliofungua dhidi ya BAKWATA kujipa mamlaka ya kuwaongelea waislam na kukwamisha miradi Kwa ukiritimba ati wao ndo watoe vibali Kwa taasisi zingine za kiislam

Shehe Ponda amesema mahakama katika hukumu hiyo, mahakama imeitamka kuwa BAKWATA sio taasisi inayosimamia Waislam wote Bali wale waliohiari kuwa chini ya taasisi ya BAKWATA

Pia Shehe Ponda ameahidi kuandaa kongamano kutoa elimu juu ya umuhimu wa hukumu ya Leo Kwa waislam
Assalam Alyekum

=======

WAISLAMU WAISHINDA KESI DHIDI YA SERIKALI NA BAKWATA MAHAKAMA KUU LEO 24/12/2025.

Majaji watatu leo wametoa hukumu ya kesi ya kikatiba iliyowasilishwa na Waislamu 12, Novemba 2024. Katika kesihiyo Waislamu hao walikuwa wanadai uhuru kwa Waislamu wa Tanzania wa kujiamulia mambo yao bila ya kulazimishwa kuwa chini ya taasisi nyingine yoyote ikiwemo BAKWATA.

Walioshitakiwa katika kesi hiyo ni Msajili wa Vyama Wizaraya Mambo ya Ndani, RITA, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na pia Bakwata na Baraza Kuu waliunganishwa.

Katika hukumu hiyo (ndefu), Jaji Mkwizu kwa niaba yamajaji wenzake 2, (waliokuwepo Mahakamani), alisema kwamujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waislamu kama raia wengine, wako huru kuendesha shughulizao za kidini bila ya kulazimishwa kuwa chini ya chombochochote.

Jaji aliyasema hayo baada ya kusoma nyaraka kadhaa za vyombo hiyo vya serikali na Bakwata ambazo maudhui yake yanawalazimisha Waislamu kuwa chini yao kabla ya kupewa huduma zinzotolewa na mamlaka za serikali.

Akifafanua zaidi baada ya kunukuu vifungu vya Katiba ya Bakwata na Katiba ya nchi, alisema kwa mujibu wa sheria hizo Bakwata si Taasisi mama ya taasisi zote za Waislamu wala haina hadhi hiyo kwa Waislamu wote wa Tanzania.

Hukumu hiyo imezitaka mamlaka za serikali RITA na Msajili Wizara ya Mambo ya Ndani kuzingatia uhuru wa Waislamu kama raia wengine wanapohitaji haki zao za msingi kutoka kwao.

Hukumu hiyo iliyotolewa na majaji watatu imewapa uhuru vyombo vya serikali na Bakwata wa kukata rufaa endapo wanahisi hawakuridhika na hukumu hiyo.

Miongoni mwa matatizo wanayoyapata Waislamu waTanzania kutokana na kulazimishwa kuwa chini ya chombo kimoja ni pamoja na kukosa haki sawa na dini nyingine pale panapotakiwa uwakilishi au mgao wa haki mbalimbali zinazotolewa na serikali.

Kutokana na hukumu hii taasisi zilizoingizwa kwa hila bila yahiyari yao chini ya Bakwata au chombo kingine chochote, ziko huru kuendelea kua chini ya Baraza hilo au kujitoa nakuendesha mambo yake zikiwa huru.

Aidha waislamu waliopeleka shauri hilo Mahakamani (chiniya udhamini wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania), wanaandaa utaratibu utakao wezesha Misikiti yote na Taasisizote za Kiislamu Tanzania kupata hukumu hiyo kwa lugha ya Kiswahili na Kingereza ili waweze kuona uhuru wanaoupata kutokana na hukumu hiyo.

Ust. MUSTAFA M. ABEIDI

MSEMAJI WA JOPO LA WALIOSHITAKI - 0785998872
Ila haitàwezekana serikali kumsikiliza muislamu mmoja mmoja au vikundi lukuki linapikuja suala la maslahi ya jumla ya waislamu, mfano tarehe ya skjukuu ya Iddi atasikilizwa nani pale watakapotofautiana?

Hii hukumu inaweza kuwa mwanzo wa anarchy katika uislamu na vurugu za uvunjifu wa amani maana kila kikundi kitadai ndicho muwakilishi sahihi wa uslamu.

Kwa wakristo japo yapo madhehebu lukuki lakini Kanisa Katoliki ndilo linaseti trend ya matukio makuu katika ukristo mfano tarehe za ijumaa kuu na pasaka na krisnas.

Ngoja tuone kalenda za sikukuu za kiislamu nani ataseti
 
mnashangilia lkn hamjui kwamba you are creating a monster, bakwata ndiyo chombo pekee kinachoweka muslims at bay, wakiua bakwata kitakachofwatia ni islamic state, and believe me kama wewe ni Christian basi haujui unachoshangilia.

punchline, muslims hasa hawa wa third world countries hawaioni dunia jinsi ninyi mnavyoiona, muslims wako vitani against the so called ''mfumo Kristo'', na bakwata is standing in the way, wakiondoa bakwata kinachofwatia ni jihadists na caliphate mpaka mwisho hata kama yakibakia majivu, shehe ponda anapigania uislamu na kamwe hapiganii demokrasia kama mnavyojiaminisha ila yuko na nyie kwa sababu anaweza kuwatumia kama daraja tu lkn hana lengo lolote la kuleta katiba wala haki kwa wote, kama hamuamini mpeni ofa ya kuwa na mwanachama wa chadema halafu muone kama atakubali, kuna sababu kwa nini yuko cuf au act.

be careful with what you wish for, alisema wise man ....
Nadharia zako si mbaya, ila sisi si waumini wa dini bali waumini wa haki. Kwenye haki hatuangalii mambo ya hizo dini, kila mtu atahudumiwa na serekali kwa haki, akitaka kutumia dini yake kuzingua ataadhibiwa kwa haki. Hiyo mitazamo sijui ya kuunda taasisi za kudhibitiana ni kwenye tawala za hila.
 
Leo waislam wameshinda kesi waliofungua dhidi ya BAKWATA kujipa mamlaka ya kuwaongelea waislam na kukwamisha miradi Kwa ukiritimba ati wao ndo watoe vibali Kwa taasisi zingine za kiislam

Shehe Ponda amesema mahakama katika hukumu hiyo, mahakama imeitamka kuwa BAKWATA sio taasisi inayosimamia Waislam wote Bali wale waliohiari kuwa chini ya taasisi ya BAKWATA

Pia Shehe Ponda ameahidi kuandaa kongamano kutoa elimu juu ya umuhimu wa hukumu ya Leo Kwa waislam
Assalam Alyekum

=======

WAISLAMU WAISHINDA KESI DHIDI YA SERIKALI NA BAKWATA MAHAKAMA KUU LEO 24/12/2025.

Majaji watatu leo wametoa hukumu ya kesi ya kikatiba iliyowasilishwa na Waislamu 12, Novemba 2024. Katika kesihiyo Waislamu hao walikuwa wanadai uhuru kwa Waislamu wa Tanzania wa kujiamulia mambo yao bila ya kulazimishwa kuwa chini ya taasisi nyingine yoyote ikiwemo BAKWATA.

Walioshitakiwa katika kesi hiyo ni Msajili wa Vyama Wizaraya Mambo ya Ndani, RITA, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na pia Bakwata na Baraza Kuu waliunganishwa.

Katika hukumu hiyo (ndefu), Jaji Mkwizu kwa niaba yamajaji wenzake 2, (waliokuwepo Mahakamani), alisema kwamujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waislamu kama raia wengine, wako huru kuendesha shughulizao za kidini bila ya kulazimishwa kuwa chini ya chombochochote.

Jaji aliyasema hayo baada ya kusoma nyaraka kadhaa za vyombo hiyo vya serikali na Bakwata ambazo maudhui yake yanawalazimisha Waislamu kuwa chini yao kabla ya kupewa huduma zinzotolewa na mamlaka za serikali.

Akifafanua zaidi baada ya kunukuu vifungu vya Katiba ya Bakwata na Katiba ya nchi, alisema kwa mujibu wa sheria hizo Bakwata si Taasisi mama ya taasisi zote za Waislamu wala haina hadhi hiyo kwa Waislamu wote wa Tanzania.

Hukumu hiyo imezitaka mamlaka za serikali RITA na Msajili Wizara ya Mambo ya Ndani kuzingatia uhuru wa Waislamu kama raia wengine wanapohitaji haki zao za msingi kutoka kwao.

Hukumu hiyo iliyotolewa na majaji watatu imewapa uhuru vyombo vya serikali na Bakwata wa kukata rufaa endapo wanahisi hawakuridhika na hukumu hiyo.

Miongoni mwa matatizo wanayoyapata Waislamu waTanzania kutokana na kulazimishwa kuwa chini ya chombo kimoja ni pamoja na kukosa haki sawa na dini nyingine pale panapotakiwa uwakilishi au mgao wa haki mbalimbali zinazotolewa na serikali.

Kutokana na hukumu hii taasisi zilizoingizwa kwa hila bila yahiyari yao chini ya Bakwata au chombo kingine chochote, ziko huru kuendelea kua chini ya Baraza hilo au kujitoa nakuendesha mambo yake zikiwa huru.

Aidha waislamu waliopeleka shauri hilo Mahakamani (chiniya udhamini wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania), wanaandaa utaratibu utakao wezesha Misikiti yote na Taasisizote za Kiislamu Tanzania kupata hukumu hiyo kwa lugha ya Kiswahili na Kingereza ili waweze kuona uhuru wanaoupata kutokana na hukumu hiyo.

Ust. MUSTAFA M. ABEIDI

MSEMAJI WA JOPO LA WALIOSHITAKI - 0785998872
Bakwata ni tawi la CCM
 
Back
Top Bottom