Yaani huyu mzee haoni aibu kusema ni PhD holder wakati lugha ya malkia haijuiWewe gamba hujawahi msikia Mbowe akitema "slang" za kizungu??
Wewe unadhani viongozi wa upinzani wanafanana na Jiwe katika kutojua lugha ya kiingereza??
Huyu ni PhD holder gani, ambaye lugha ya malkia inampiga chenga??
Basi sawa!Huna lolote lile. Kudonyoa donyoa lugha ni dalili ya kutokufahamu kwa ufasaha.
Magufuli hajui kuongea kiingereza anajua kutamka maneno ya kingereza tena ya kemia aliyosoma darasani, ukimuuliza kwa kingereza hasikii kabisa.Kumbe akiwa huku within ndo anatutisha na ki inglishi chake sijui intapretenyua, sijui dona kantre, akifika uko anaufyata, Kweeeeli (in Prof.Harmo's voice, in Churchill show)
Magufuli hajui kuongea kiingereza anajua kutamka maneno ya kingereza tena ya kemia aliyosoma darasani, ukimuuliza kwa kingereza hasikii kabisa.Kumbe akiwa huku within ndo anatutisha na ki inglishi chake sijui intapretenyua, sijui dona kantre, akifika uko anaufyata, Kweeeeli (in Prof.Harmo's voice, in Churchill show)
Ok.Basi sawa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magufuli hajui kuongea kiingereza anajua kutamka maneno ya kingereza tena ya kemia aliyosoma darasani, ukimuuliza kwa kingereza hasikii kabisa.
Rudi darasani ukasome vizuri. Sijui kama uliwahi kutana na mtu wa anapiga fresh Physics, Chemistry na Math lkn English anacheza na D au C au F kabisa na hata debate kwake HARAMU. Sijui kama unataka kusema mtu huyu hana AKILI.Rudi darasani uje na akili timamu.Utaendelea kuwa pumbavu
Rais wa uchina anaongea kichina! mwacheni rais amwagike kwa lugha anayoimudu. tusiwe watumwa hata kwa ndimi zetu.Ni kheri aongee lugha anayoimudu.
Na hapa je?Hapa haongei english, anasoma english
Unabwabwaja tu hujui hata unatetea nn..hao watu hawaitaji communication skillsRudi darasani ukasome vizuri. Sijui kama uliwahi kutana na mtu wa anapiga fresh Physics, Chemistry na Math lkn English anacheza na D au C au F kabisa na hata debate kwake HARAMU. Sijui kama unataka kusema mtu huyu hana AKILI.Rudi darasani uje na akili timamu.
Kwanini umechekaNimecheka sana
Ndio maana nikakwambia Rudi darasani. JPM ana PhD ya nini?Ana utofaut na huyo unayemsema haiitaji communication skills?Wafuatilie wote waliosoma sayansi utagundua kiingilishi ni shida coz wao English sio priority.Unabwabwaja tu hujui hata unatetea nn..hao watu hawaitaji communication skills
Mzee Meko ana PhD ya KiswahiliYaani huyu mzee haoni aibu kusema ni PhD holder wakati lugha ya malkia haijui