Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

Kuna walimu hata simu hawawezi kutumia huko vijiji hizo laptop itakuwaje??? Ok mwalimu anaye fundisha darasa la kwanza laptop kwake ya nn??

Dunia ya leo kila mtu anastahili kuwa na laptop sema aina ya maisha ndio yanafanya wakose hivo vifaa.
 
ZIKIJA """""TUZILE TU""""""
KURA AKILI KICHWANI MWETU

LIPUMBA KESHAPEWA CHAKE!

TUTAFUNE TU
ii
 
Na laptop kila mwalimu nchi nzima! Yaani nimecheka kidogo nife. Kujenga maabara walikuwa wanafukuzana na mbuzi na kuku wa masikini wawang'anye na kuuza ili wapate michango huko vijijini leo wana hela za kugawa vijijini hivyohivyo?
Waalimu hata fedha za likizo wanashindwa kuwalipa miaka yote leo wawanunulie Laptop wote?
Ama kweli sasa uchizi umeingia chama tawala na wanaropoka wakidhani watu ni mazoba.

Labda ziwe zinatunia solar power.
Shule hata madawati wala umeme hazina! Wewe unaahidi laptop ambazo hakuna hata meza za kuziwekea wakati wa kuzitumia! Kweli hii ni nchi ya vituko! Ni sawa na kuwaahidi viwete kuwanunulia ngongoti!
 
amesema ametenga kila kijiji tanzania kupata milioni 50. Sasa utendaji ndo umeanza watch out

soma ujumbe uliopo kwenye signature yangu ndio unamfaa magufuli na kundi lake la vilaza.
 
inaanzishwa saccos ya kijiji so wananchi wanakopa kwa mashariti nafuu na kwa wepesi ivo kuongeza mzunguko wapesa vijijin as result boost economy

Mi ninapenda afrika yaani usipoweza afrika ni ngumu sana huko kwingine. Huku watu wanameza bila kutafuna. Haya jikumbushe zile mabilioni ya na nihiii yalimfaidisha nani?
Palikuwepo na benki ya wakulima kwa lengo la kusaidia wakulima iko wapi na tena wanaanza kuanzisha nyingine.
Vilikuwepo vyama vya ushirika kwa lengo la kuwasaidia wakulima ni nani ameviloga?
Sera ya kilimo kwanza na mabilioni yaliyotengwa kwa ajili ya kusaidia kuwanufaisha wakulima ni na nani anayeisimamia au imekuwa bubu kwa ajili ya nini?
Vipi pembejeo za ruzuku. Ni mkulima gani anayefiadika nazo au ndo business as usual
Na usijaribu kusahau issue ya stakabadhi gharani nayo hiyoooooo mwanga mmoja kairoga na mkulima anakopwa kama kawa.

Anyway mi nimewaza kwa sauti huenda Saccos ya shs 50mln kwa kila kijiji ni bora zaidi ya hayo hapo juu. Ngoja tusubiriye huo upako wa saccos
 
Atafufuwa na wanachama wa ccm waliyo kufa!! By makomeo
 
Dunia ya leo kila mtu anastahili kuwa na laptop sema aina ya maisha ndio yanafanya wakose hivo vifaa.

hahahaha mkuu watz wanaufaham mdogo. wenzetu mtu illitrate ni mtu asiejuakomputa ss ni kusoma na kuandika
 
Hamna haya nyie Chadema!
Slaa kapiga kelele weee, na juhudi zake zote mmenunuliwa na Mamvi!
Watu wa Kaskazini kwa pesa wanaweza kukuuzia hata watoto wao wa kuzaa.
Hatari sana kwa maendeleo ya Nchi.
tafuta hela na wewe utununue
 
Dunia ya leo kila mtu anastahili kuwa na laptop sema aina ya maisha ndio yanafanya wakose hivo vifaa.

sidhani kama ni kweli kila mtu anaitaji laptop. vip kuhusu shoe shiner nae anaitaji laptop???
 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 2015-2020 , Ndugu John Joseph Pombe Magufuli ....one & only ! kubali , kataaa Hatujawa Wajinga kiasi hicho ! Wengine Muugue pole ...Na Mungu awasimamie .....Inshallah

Magufuli atashinda bila ya wasiwasi. Tatizo wengi wa wanaukawa ni mihemko tuu ya vijana lakini hakuna political infrastructure ya ku-sustain hilo kwa njia ya kura za uhakika. Wanaishia kwenye mitandao, maandamano, magazeti na majukwaa..!! Huwezi kushinda uchaguzi bila kuwa na solid base ya reliable voters.
Bajua baada ya uchaguzi JF itapoa sana wakati ma-nyumbu wa cdm wakiuguza maumivu kimya kimya..
 
  • Thanks
Reactions: nao
Amesema ametenga kila kijiji Tanzania kupata milioni 50. Sasa utendaji ndo umeanza watch out

Kweli wewe unadanganyika kirahisi hivyo. Umejiuliza Tanzania tuna vijiji vingapi? Na ukipiga hesabu itakuwa shiling trilioni ngapi? Hizo hela atazitoa wapi? Kwa bajeti hii ya Serikali ya CCM ambayo inategemea kwa kiasi kikubwa misaada kutoka nje.
 
Pole Kwa kushinda vjweni mnajadili siasa wakati familia zinashinda njaa.cjaona m2 yeyote anajadili jinsi ya kupata pesa nyote ,,,,,,

Namna ya kupata pesa hiyo ni nshu ya mtu muhusika na siyo ya kujadri hadharani kila mtu ana namna yake ya kuishi
 
a dharura
inaanzishwa saccos ya kijiji so wananchi
wanakopa kwa mashariti nafuu na kwa wepesi
ivo kuongeza mzunguko wapesa vijijin as result
boost economy


is very theory ndugu yangu!!..vijijin wana njia zao za kukkopeshana na hata km ni riba......! pesa kijijin sio ishu, ishu kwa pesa hizo hzo walizonazo wakulima ndio wanakijiji hao hao wamelima mazao kama mpunga, mahindi na miwa..hakuna soko na pa ya kuyapeleka.....mwanakijiji wa idodi, pawaga iringa, kyela, mbaralali na kamsamba mbozi waulize kwa miaka 3 iliyopita wameuzaje mpunga wao,,,,,viongozi wakuu na watoto wao wamechukua tenda ya kuingiza mchele toka taiwain na pakistan unauzwa kilo hadi 800/= ili mkulima ashindwe kuuza mchele wake.....soko la ndani linauwawa na hawa hawa viongoz...haya mkubwa wa mawaziri anaingia katika tenda ya kuingiza sukari nchini wakati wakulima wa miwa wapo na viwanda vya sukari vipo hiv hii ni akili au matope.....kuna u-selfish wa hali ya juu katika serikali ya awamu ya NNE nafikir kuliko awamu zote......!! mwanakijiji unapeleka miliona 50 akkope kwa baishara gani kijijin zaid ya kilimo? huku soko lake halina uhakika....vifaa vya kulimia ni feki kumbuka yale majembe ya kilimo kwanza sijui mliayataje..purutela sijui... inajulikana kabisa mkuu wa mawaziri nae alishika tenda ya kuingiza vifaa vile feki ambavo avikuangalia ni ardhi gani itumike....kuna maeneo yalishindwa hata kulima na kufanya injini kuweka ktika pump za maji....

hzo milion hamsin boresheni infrastructure wanakajiji wawe ana access kufika katika kata hadi wilaya kwa barabara za kupitika au madaraji ya kuwaangunisha na maeneo muhimu....hzo pesa najua ccm imedhamiria kama mkakat hasa nilipomsikiliza makamba...ukweli ni kiin macho,,,si msaada....system imejaa selfish haiwezi.....!!

Mkulima haitaji pesa...pesa iko katika ardhi yake na mkasapoti kwa mbolea na pembejeo...na soko la uhakika hiyo ni zaidi ya saccos....hyo ni zaidi ya milion 50.....
 
Wamarekani Na Wachina Wametabiri kuwa Magufuli atashinda.
Sasa hapo watu wa ukawa mkae tayari kupokea Kichapo kitakatifu kutoka Kwa Polisi iwapo mtapinga matokeo.

Hii nchi mali ya Watu. Hivi nyie Watz mpk leo hamjaliona Hilo?

we bado mtumwa wa fikra, ndo maana mnasema hatuna uwezo wa kuvuna gesi tuliyonaye. hata muamko tu wa kisiasa ambao hata kipofu anauona wewe unasubiri marekani na mchana akushauri? funguka kifikra.... m/kiti wenu alishakuambia "akili ya kuambiwa changanya na yako" sasa changanya hiyo ya wachina na yako basi
 
we bado mtumwa wa fikra, ndo maana mnasema hatuna uwezo wa kuvuna gesi tuliyonaye. hata muamko tu wa kisiasa ambao hata kipofu anauona wewe unasubiri marekani na mchana akushauri? funguka kifikra.... m/kiti wenu alishakuambia "akili ya kuambiwa changanya na yako" sasa changanya hiyo ya wachina na yako basi

Watu waropokaji km nyie kaeni tayari kupata kichapo kitakatifu.
Lzm muonyeshwe kuwa hii nchi ni ya wenyewe. Sio kenge yyt anatoka msituni tu akaingia mjini na kudai hii nchi yake.

Uvune Gesi muuza maziwa km wewe? Mfnsssssssßs! Nyambaffff. We unadhani mavi ya Ng'ombe hayo😧?
 
Tuacheni utani jamani.. Kila mtu anajua jinsi magufuli aalivyo hodari katika kazi na ufatiliaji.. Pia kila mtu anajua magufuli alivyombeba jk ktk miundbinu na ujenzi tuache porojo na siasa... Hapa kazi tuuuuuu
 
  • Thanks
Reactions: nao
Back
Top Bottom