Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

Duh kweli hilo Gazeti la Uhuru lina Roho ngumu kama ya Paka,yaani Mafuriko ya jana hawajayaona walichokiona ni vibaka tuu.
 
Hivi.haya.magazeti ya habari leo kuna mtu ananunuaga huu ushetani
 
Ccm inashinda vizuri sana, ukawa wameingia choo cha kike bila kujitambua, hzi kelele chaguzi zote zipo, ila safari hii kidogo zimezidi, wengi wao ni wazee wa viroba hata hawakujiandikisha, pia ccm bado ni taasisi kibwa sana, kwani wanaweza kuondoka viongozi wengi na bado wakaendelea vema, ila ukawa wakitoka hata3 ukawa inakufa kabisa.
 
Amesema ametenga kila kijiji Tanzania kupata milioni 50. Sasa utendaji ndo umeanza watch out
 
Hawakujifunza kwenye mabilioni ya JK....

'Insanity is doing the same things and expect BRN'
 
Na laptop kila mwalimu nchi nzima! Yaani nimecheka kidogo nife. Kujenga maabara walikuwa wanafukuzana na mbuzi na kuku wa masikini wawang'anye na kuuza ili wapate michango huko vijijini leo wana hela za kugawa vijijini hivyohivyo?
Waalimu hata fedha za likizo wanashindwa kuwalipa miaka yote leo wawanunulie Laptop wote?
Ama kweli sasa uchizi umeingia chama tawala na wanaropoka wakidhani watu ni mazoba.
 
Mwingine si amesema tujiandae kuwa kama akina Mengi na Bakresa,naona wanasiasa wanazidi kutuona wananchi mazombi.
 
"Hutajua chochote iwapo hutahoji na kudadisi"
 
Hana sera huyo. Ahadi ya pesa ni sera iliyoshindwa, weka mipango namna uchumi wa nchi ulivyo angushwa na jk utarekebishwa then mapesa kwa wananchi yatakuja yenyewe tu.
 
Idaidi ya watu kwenye kila kijiji tafadhali na hizo pesa ana kabidhiwa nani kwa malengo gani au ni kwa dharura
 
Attachments

  • 1439356694451.jpg
    1439356694451.jpg
    15.5 KB · Views: 748
Mwingine si amesema tujiandae kuwa kama akina Mengi na Bakresa,naona wanasiasa wanazidi kutuona wananchi mazombi.

Hiyo inawezekana kwa kuwaboreshea mazingira mazuri ya kufanyia shughuli za kuzalisha kwa kila mfanya biashara au mkulima na mfanyakazi na siyo hiyo ya kumwaga 50m kila kijiji
 
Back
Top Bottom