Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

Ni jambo la busara kuwaahidi watu huduma yeyote ya kijamii kuliko fedha. Ziko wapi millioni 10 za JK?.
 
ha ha ha ha hawa wanajuana na J.Makamba....hiyo ya milioni Hamsini ilikuwa agenda ya makamba pale miliman city.....na inaonekana wazi kijana ameuza proposal ile kwa magufuli na akijua atakula shavu la uwaziri na need yake kubwa ni Foreign affairs ili next 10 years awe candidate wa ccm....watu wamejipanga katika foleni kama wanaingia kwa daktari kuchuku madaraka.....

minimum ya kijiji kina watu 3500 hadi 5000,

MFANO rahisi tu kwa kijiji chenye watu 3500 tu kule mpunguzi dodoma ambako ni kukame kabisa ....kwa hesabu za haraka kila mwana kijiji atapata mgao wa 14285.70... kwa pesa hizi mwanakijij atafanya nini ajitoe hapo alipo?? hii mipango inaenda kuwafanya kuwa maskini zaid y hpo..pia kuwachonganisha na viongozi wao,,,na mfarakno mkubwa utatokea katika jamiii...

wajiulize zile za JK ziko wapi...hadithi tu na hela walitoa na kujirudishia.....
 
Idaidi ya watu kwenye kila kijiji tafadhali na hizo pesa ana kabidhiwa nani kwa malengo gani au ni kwa dharura

inaanzishwa saccos ya kijiji so wananchi wanakopa kwa mashariti nafuu na kwa wepesi ivo kuongeza mzunguko wapesa vijijin as result boost economy
 
ha ha ha ha hawa wanajuana na J.Makamba....hiyo ya milioni Hamsini ilikuwa agenda ya makamba pale miliman city.....na inaonekana wazi kijana ameuza proposal ile kwa magufuli na akijua atakula shavu la uwaziri na need yake kubwa ni Foreign affairs ili next 10 years awe candidate wa ccm....watu wamejipanga katika foleni kama wanaingia kwa daktari kuchuku madaraka.....

minimum ya kijiji kina watu 3500 hadi 5000,

MFANO rahisi tu kwa kijiji chenye watu 3500 tu kule mpunguzi dodoma ambako ni kukame kabisa ....kwa hesabu za haraka kila mwana kijiji atapata mgao wa 14285.70... kwa pesa hizi mwanakijij atafanya nini ajitoe hapo alipo?? hii mipango inaenda kuwafanya kuwa maskini zaid y hpo..pia kuwachonganisha na viongozi wao,,,na mfarakno mkubwa utatokea katika jamiii...

wajiulize zile za JK ziko wapi...hadithi tu na hela walitoa na kujirudishia.....
a dharura
inaanzishwa saccos ya kijiji so wananchi
wanakopa kwa mashariti nafuu na kwa wepesi
ivo kuongeza mzunguko wapesa vijijin as result
boost economy
 
mkuu magufuli nimtendaji na hana tabia ya kuiba mali ya uma. amekuwa waziri zaid ya miaka 15 bila kuachishwa ka zi kwa kashfa yoyote

Makomeo ni fisadi tu kama walivyo viongozi wa serikali ya ccm
 
Makomeo ni fisadi tu kama walivyo viongozi wa serikali ya ccm

mkuu naamini binadamu si malaika hata asiwe na kosa ilakwa magufuli huwezi kumcompare na lowasa. ukweli ccm wangempitisha lowasa upinzan wangesema ni fisadi sasa amekatwa wameletewa kijana msafi bado wanalalamika. upinzani km taifa laisrael waliletewa vyakula vya pepon badowanataka vya makondeni. ok
 
Hizi pesa za kuhaidiwa bili jasho watu hawazitaki..cha msingi weka mikakati na njia za fursa zifike mpaka kwa mwananchi wa chini hapo wala hautaona mtu anahitaji pesa hizo bali ataongeza bidii ktk shughuli zake kwa kuwa anapata faida kwa kile anachokifanya lakini ukimpa pesa si ndio kumlemaza
 
Duh!!!!!
Nani alimwambia kumwaga hela kunaleta maendeleo?
Kiuchumi, ukiongeza hela kwenye mzunguko kuna madhara hasi kuliko magufuli anavyo dhani,kwani bei zitapanda na thamani ya fedha inapungua.
Afterall,mil 50 kwa kijiji mbona ni fedha kidogo sana??????
 
Hii ni akili ya uwendawazimu kabisa. Huku ni kuchanganyikiwa kisiasa kwa Magufuli.
Hizo pesa anampa nani kijijini?
Zina malengo gani?
Zitatua vipi matatizo ya wananchi kama kupata maji safi, Huduma bora za Afya, Ajira, Soko la Kilimo nk.

Hiki ni kituko, anasahau kuwa Kikwete alitoa mabilioni 2005 wakati ameingia madarakani lakini hazikusaidia kitu na mwisho wa siku kura zake zikapungua zaidi 2010.
 
mkuu naamini binadamu si malaika hata asiwe na kosa ilakwa magufuli huwezi kumcompare na lowasa. ukweli ccm wangempitisha lowasa upinzan wangesema ni fisadi sasa amekatwa wameletewa kijana msafi bado wanalalamika. upinzani km taifa laisrael waliletewa vyakula vya pepon badowanataka vya makondeni. ok

Mjiandae na kichapo cha mapema sana na nawashauri ccm muanze kuangalia uwezekano wa kuongoza kambi rasmi ya upinzani bungeni,
 
Back
Top Bottom