Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

Ndugu wana-jf,
Kama mnakumbuka kipindi fulan ccm walisema sana watarejesha majimbo yote, ila sasa hivi hatuwasikii tena wakilisema tena! Vp hii imekaaje?
 
Labda kwa mapingamizi,japo mwaka yamekosekana maana ni upinzani ndio wenye mapingamizi dhidi ya ccm
 
CCM WATAANZIA WAPI KURUDISHA HAYO MAJIMBO? Teh Teh Teh labda warudishe kwanza hela za ESCROW kwa watanzania. KURA ZETU WATANZANIA NI KWA LOWASSA NA VIONGOZI WA UKAWA.
 
Ndugu wana-jf,
Kama mnakumbuka kipindi fulan ccm walisema sana watarejesha majimbo yote, ila sasa hivi hatuwasikii tena wakilisema tena! Vp hii imekaaje?
Uraisi tu ni maji ya shingo, utakumbuka kushughulika na majimbo uliopoteza.
 
FIESTA YA CCM ILIYOJAA MIPASHO,MATUSI NA KEJELI ILIISHIA PALE JANGWANI,sasa tunasikiliza SERA NZITO KUTOKA UKAWA ZINAZOWALENGA WATANZANIA....KURA ZETU ZITAKWENDA KWA LOWASSA NA WAGOMBEA WA UKAWA. hatuwezi kuwapa kura CCM wezi wa mali ya umma kwa zaidi ya miaka 50.
 
Tunachokisema CCM ushindi kwetu ni
lazima na tutashinda kwa kishindo na
kwenda nginja nginja mpaka Ikulu.”
 
ccm ni ile ya nyerere kwa sasa majira yamebadilika viva lowasa,viva ukawa
 
Tunachokisema CCM ushindi kwetu ni
lazima na tutashinda kwa kishindo na
kwenda nginja nginja mpaka Ikulu.”

Wewe ni sisimizi tu.

Mmezidiwa hoja mnakuja na matisho

Lowassa ndo habari ya mjini.
 
Kwani hawajui wanajipa matumai ya wale walotamani kupanda Farasi.25 OCTOBA 2015 WATAISOMA NAMBA NA FARASI KAKIMBIA
 
Ccm wanajikaza kisabuni tu lakini ukweli wameshashindwa,octobar 25 nitasimamia uchaguzi hata mkinihonda milioni 100 itaki hela Zenu Zenu laana
 
Teh teh teh.

Hata Rambo ktk Movie zake kabla ya Kupambana na Maadui huwa anasali kabisa. Na hio ni Movie tu.

Ikianza miripuko hapo sidhani km wewe utasimama kidete.


Mi nakushauri tu. Endapo hali itachafuka basi kamata jembe rudi kijijini.
Hata hao UKAWA usidhani wataleta maendeleo Kiasi Hicho unachofikiri.
After all Mgombea wao ni walewale mafisadi waliotoka CCM ambao wametajirika Kwa Mali ya Ummah.
Lkn Ukiweza Kugangamala ukavumilia Kichapo huenda kukawa na Mabadiliko japo kidogo.
Kumbuka tu kumuomba Mungu wako msamaha kabla Hujakutana nae.
October utakuwa ni mwezi mbaya sana kwa historia ya Nchi yetu.

Wewe ni typical mTZ wa kiasi kidogo sana cha kupima na ku analyse mambo. Kama wewe sio mnufaika wa ufisadi basi inawezekana ccm wamekuahidi ukuu wa wilaya au kiti cha mjumbe wa mtaa or less...buku 7. Fear of the unknown mnayojaribu kuwapandikizia wananchi haifai, allow watu waamue bila kuwapa woga na wasiwasi unfounded.

Ushauri wangu kwa ccm ni kwamba muwe na dira kwa ajili ya taifa sio ngonjera zisizokuwa na mantiki kama mnazoshinda mkihutubia. Nyie ndio mmeshika dola, mbona mnaonekana kutoa mapovu sana na wakati mneweza kuongea kiurahisi tu kwa vitendo?

Poleni sana lakini maana anguko lenu ilikuwa ni ile katiba mlioichakachua na kuwaacha kando watumishi wa Mungu alie hai. Hata kama mtaishika dola, Mungu anajua Mwenyewe atakachowafanyia (refer waraka wa wazi wa Askofu Kakobe kwa JK na waandishi wa habari).

Nawasilisha
 
is very theory ndugu yangu!!..vijijin wana njia zao za kukkopeshana na hata km ni riba......! pesa kijijin sio ishu, ishu kwa pesa hizo hzo walizonazo wakulima ndio wanakijiji hao hao wamelima mazao kama mpunga, mahindi na miwa..hakuna soko na pa ya kuyapeleka.....mwanakijiji wa idodi, pawaga iringa, kyela, mbaralali na kamsamba mbozi waulize kwa miaka 3 iliyopita wameuzaje mpunga wao,,,,,viongozi wakuu na watoto wao wamechukua tenda ya kuingiza mchele toka taiwain na pakistan unauzwa kilo hadi 800/= ili mkulima ashindwe kuuza mchele wake.....soko la ndani linauwawa na hawa hawa viongoz...haya mkubwa wa mawaziri anaingia katika tenda ya kuingiza sukari nchini wakati wakulima wa miwa wapo na viwanda vya sukari vipo hiv hii ni akili au matope.....kuna u-selfish wa hali ya juu katika serikali ya awamu ya NNE nafikir kuliko awamu zote......!! mwanakijiji unapeleka miliona 50 akkope kwa baishara gani kijijin zaid ya kilimo? huku soko lake halina uhakika....vifaa vya kulimia ni feki kumbuka yale majembe ya kilimo kwanza sijui mliayataje..purutela sijui... inajulikana kabisa mkuu wa mawaziri nae alishika tenda ya kuingiza vifaa vile feki ambavo avikuangalia ni ardhi gani itumike....kuna maeneo yalishindwa hata kulima na kufanya injini kuweka ktika pump za maji....

hzo milion hamsin boresheni infrastructure wanakajiji wawe ana access kufika katika kata hadi wilaya kwa barabara za kupitika au madaraji ya kuwaangunisha na maeneo muhimu....hzo pesa najua ccm imedhamiria kama mkakat hasa nilipomsikiliza makamba...ukweli ni kiin macho,,,si msaada....system imejaa selfish haiwezi.....!!

Mkulima haitaji pesa...pesa iko katika ardhi yake na mkasapoti kwa mbolea na pembejeo...na soko la uhakika hiyo ni zaidi ya saccos....hyo ni zaidi ya milion 50.....

Unajua mkuu nikisoma haya maelezo yako machozi yanataka kunitoka! Inatia huzuni sana nguvu za wakulima zinavyoharibiwa kwa sera na uongozi usiyo na dira. Ulichokifafanua hapa hawa ma ccm hayatakuelewa hata kama wazazi wao wako kijijini na wanayapitia haya uliyoyaweka bayana hapa! wanalewa viroba kwa buku 7 za Lumumba pale basi maisha mbele kwa mbele.

Watu wenye akili za maendeleo kama zakwako wangekuwa 100,000 tu hii nchi ingekuwa uchumi wa kati kitambo sana cz unajua analysis. Pokea laiki hizo pls na utuombee sana wa bongo ubongo wetu uwe vizuri.

Shukrani sana
 
Hivi lowasa angepita kugombea uraisi kwa ccm hayo mageuzi anayosema atayatoa nje ya ccm angekigeuza chama au tusidanganyane jamani
 
Back
Top Bottom