Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

Uchaguzi wakati wa Kikwete ulikua hivihivi, watu wakamsema sana mwisho wa siku akapita na asilimia za kutosha.. I hope ntaona mabadiliko mwaka huu ila don't expect too much, kila mtu anajua kura atampigia nani, maneno ya nje nje haya tunaongea tu kujifurahisha... Don't get me wrong, I really hope CCM iondoke madarakani even though simkubali EL, sababu yangu ni mmoja tu, tutakua na kitu kipya finally tanzania, hiyo italeta mwamko sana kuanzia chini hadi juu, people will try to change their ways labda watanzania finally wataamka maana sasa hivi wengi wamelala na CCM ikipita coz hamna jipya wengi bado wataendelea kulala
 
Pole Kwa kushinda vjweni mnajadili siasa wakati familia zinashinda njaa.cjaona m2 yeyote anajadili jinsi ya kupata pesa nyote ,,,,,,
 
Kikwete Kasema Tutakiona Cha Mtema Kuni,tusubiri Akikabidhi Ikulu Kwa UKAWA
 
Uchaguzi wakati wa Kikwete ulikua hivihivi, watu wakamsema sana mwisho wa siku akapita na asilimia za kutosha.. I hope ntaona mabadiliko mwaka huu ila don't expect too much, kila mtu anajua kura atampigia nani, maneno ya nje nje haya tunaongea tu kujifurahisha... Don't get me wrong, I really hope CCM iondoke madarakani even though simkubali EL, sababu yangu ni mmoja tu, tutakua na kitu kipya finally tanzania, hiyo italeta mwamko sana kuanzia chini hadi juu, people will try to change their ways labda watanzania finally wataamka maana sasa hivi wengi wamelala na CCM ikipita coz hamna jipya wengi bado wataendelea kulala

Mabadiriko yanaanza na ww.wewe umejifungia geto na dem wako haraf unategemea wenzio wakuletee mageuz.
 
Attachments

  • 1439301815682.jpg
    1439301815682.jpg
    57.9 KB · Views: 526
Pole Kwa kushinda vjweni mnajadili siasa wakati familia zinashinda njaa.cjaona m2 yeyote anajadili jinsi ya kupata pesa nyote ,,,,,,

We hapa hujadili siasa? Au labda umevamia jukwaa ambalo hujui ni la nini?
 
Katika tafiti zote zilizopita ilionekana Lowassa anaongoza na Dr Slaa anamfuata kwa karibu. Maghufuli hata kwenye tano bora alikuwa haonekani, sasa imani ya kushinda inatoka wapi?

Baada ya Lowassa kuchukua fomu ya Ukawa Maghufuli akapotea hata kwenye media na mikutano yake huko Mtwara ilikuwa kama ya mgombea udiwani. Jeuri ya ushindi inatoka wapi?

Pamoja na kitengo kupenyeza lupia kwa Ukawa kwa lengo la kuvuruga bado Ukawa wamebaki wamoja na wanasonga mbele. Majigambo yanatoka wapi?

Sina hakika kama Maghufuri anaweza kupata kura laki moja mikoa ya Arusha na Manyara. Lakini je Lowassa hatakomba kura za kutosha Geita? Hilo linahitaji miwani kuliona?

Ccm inabomoka kila siku, wanachama wanakimbia kwa maelfu. Wanategemea goli la mkono! Goli la mkono wakati unachezwa nusu uwanja?
Nimeipenda mkuu goli la mkono ni mpaka ukaribie golini, well said
 
Wamarekani Na Wachina Wametabiri kuwa Magufuli atashinda.
Sasa hapo watu wa ukawa mkae tayari kupokea Kichapo kitakatifu kutoka Kwa Polisi iwapo mtapinga matokeo.

Hii nchi mali ya Watu. Hivi nyie Watz mpk leo hamjaliona Hilo?
Sikujua Wamarekani na Wachina siku hizi wanapiga kura Tanzania. Wao wanaona maslahi yao yanalindwa na CCM.
 
Katika tafiti zote zilizopita ilionekana Lowassa anaongoza na Dr Slaa anamfuata kwa karibu. Maghufuli hata kwenye tano bora alikuwa haonekani, sasa imani ya kushinda inatoka wapi?

Baada ya Lowassa kuchukua fomu ya Ukawa Maghufuli akapotea hata kwenye media na mikutano yake huko Mtwara ilikuwa kama ya mgombea udiwani. Jeuri ya ushindi inatoka wapi?

Pamoja na kitengo kupenyeza lupia kwa Ukawa kwa lengo la kuvuruga bado Ukawa wamebaki wamoja na wanasonga mbele. Majigambo yanatoka wapi?

Sina hakika kama Maghufuri anaweza kupata kura laki moja mikoa ya Arusha na Manyara. Lakini je Lowassa hatakomba kura za kutosha Geita? Hilo linahitaji miwani kuliona?

Ccm inabomoka kila siku, wanachama wanakimbia kwa maelfu. Wanategemea goli la mkono! Goli la mkono wakati unachezwa nusu uwanja?

Maghufuli hawezi shida labda Magufuli ndo atashinda. Pia usiamini saaana tafiti mpaka ukavimba kichwa kwani kila mtafiti ana emotions zake zinazosababisha kuwa bias. "Watch out".
 
baada ya utafiti

kanda ya ziwa;
kagera
shinyanga
mwanza
musoma
tabora
geita

ushindi.......................
90% kwa magufuri
lowasa 10%

nyanda za juu kusini ,
magufuri 65%
lowasa 32%

coastal
magufuli 60%
lowasa 39%

zanzibar
magufuri 53%
lowassa 47%

kaskazini

lowasa 60%
magufuri 32 %

kanda ya kati;
magufuri 59 %
lowasa 32%

ziwa magharibi

magufuri 80 %
lowassa 12 %

ndo maana kwa mara ya kwanza ccm wapiga mwizi kimya kimya;

ccm 62 %
ukawa 38 %

Mi natokea kanda ya ziwa, labda kama unasema kanda ya ziwa ya Marekani
 
baada ya utafiti

kanda ya ziwa;
kagera
shinyanga
mwanza
musoma
tabora
geita

ushindi.......................
90% kwa magufuri
lowasa 10%

nyanda za juu kusini ,
magufuri 65%
lowasa 32%

coastal
magufuli 60%
lowasa 39%

zanzibar
magufuri 53%
lowassa 47%

kaskazini

lowasa 60%
magufuri 32 %

kanda ya kati;
magufuri 59 %
lowasa 32%

ziwa magharibi

magufuri 80 %
lowassa 12 %

ndo maana kwa mara ya kwanza ccm wapiga mwizi kimya kimya;

ccm 62 %
ukawa 38 %
Hizi tafiti za kupikwa ni za ajabu sana. CCM haiwezi kushinda Musoma na Mwanza, hiyo najua for a fact.
 
Sikujua Wamarekani na Wachina siku hizi wanapiga kura Tanzania. Wao wanaona maslahi yao yanalindwa na CCM.

Kura zipigwe au Zisipigwe it does make a difference kwa serikali iliojaa Mafisadi km hio.

USA wameshasema ashinde Magufuli Pombe bin Gongo.

Hapa naskia harufu ya Damu kwa wingi sana.
Mungu ailinde Nchi yangu Tz.

Ccm wako Tayari kwa Lolote kubakia Ikulu
 
Sisi tunaoamini yetu macho tunasubiri tarehe 25/10/2015,msije dai mmeibiwa kura au goli la mkono,na huyo lowasa akadondoka kwa mshtuko
 
Katika tafiti zote zilizopita ilionekana Lowassa anaongoza na Dr Slaa anamfuata kwa karibu. Maghufuli hata kwenye tano bora alikuwa haonekani, sasa imani ya kushinda inatoka wapi?

Baada ya Lowassa kuchukua fomu ya Ukawa Maghufuli akapotea hata kwenye media na mikutano yake huko Mtwara ilikuwa kama ya mgombea udiwani. Jeuri ya ushindi inatoka wapi?

Pamoja na kitengo kupenyeza lupia kwa Ukawa kwa lengo la kuvuruga bado Ukawa wamebaki wamoja na wanasonga mbele. Majigambo yanatoka wapi?

Sina hakika kama Maghufuri anaweza kupata kura laki moja mikoa ya Arusha na Manyara. Lakini je Lowassa hatakomba kura za kutosha Geita? Hilo linahitaji miwani kuliona?

Ccm inabomoka kila siku, wanachama wanakimbia kwa maelfu. Wanategemea goli la mkono! Goli la mkono wakati unachezwa nusu uwanja?

Banaa,,, usijidanganye kuwa Ukawa ya Lowasa itapata ushindi,

Uwe muungwana tu siku matokeo yanatangazwa,, usianzishe fujo, kwasababu ukianzisha fujo UTAPIGWA TU!!
 
Nyie mnaoshinda humu na kubwabwaja ndio mtampa mamvi kura,.but huku kitaa maghufuli anahusika. Lowassa ahudumie afya yake kwanza.
 
Day dream/
Yani ndoto ya mchana Makufuli kushinda...!!!
25 anarudi Home mazima mazima na na atapotea kabisa kwenye siasa...!!
Hii Tanzania ni nchi sio taasisi yavigogo na wala rushwa..
 
Back
Top Bottom