S SILISABANGOO JF-Expert Member Joined Oct 6, 2015 Posts 425 Reaction score 53 Oct 23, 2015 #421 Hapakazitu
Konakali JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 1,533 Reaction score 266 Oct 23, 2015 #422 Acheni kufikiri kirahisi na kifupi namna hii....! Hebu tujiulize maswali tu machache haya; Je, Kabla CCM hawajaamua kuhusu mgombea wao wa urais, hawakufanya utafiti kwanza? Kama walifanya, waliisoma ripoti ya utafiti huo na kuuelewa? Je, Chadema nao kabla hawajampkea na kumpitisha Lowasa, hawakuufanyia maamuzi haya upembuzi yakinifu? If all these are true, utajua kuwa CCM will keep winning, but the coalition (UKAWA) will gain....!
Acheni kufikiri kirahisi na kifupi namna hii....! Hebu tujiulize maswali tu machache haya; Je, Kabla CCM hawajaamua kuhusu mgombea wao wa urais, hawakufanya utafiti kwanza? Kama walifanya, waliisoma ripoti ya utafiti huo na kuuelewa? Je, Chadema nao kabla hawajampkea na kumpitisha Lowasa, hawakuufanyia maamuzi haya upembuzi yakinifu? If all these are true, utajua kuwa CCM will keep winning, but the coalition (UKAWA) will gain....!
M Mkamba Mmasai JF-Expert Member Joined Apr 18, 2015 Posts 384 Reaction score 65 Oct 23, 2015 #423 Lowassa kwisha habari yake, SASA akachunge ng'ombe.