Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

Moi alilazimisha Kenyata achaguliwe kupitia KANU na ikawa ndio mwisho wa Kanu na Uprofesa wake feki wa Siasa.
Hapo sawa, niliweka comment yangu baada ya kuona umemuweka kundi moja na yule wa Ivory coast.
 
Kama atashinda basi ni atashinda kwa hisani ya NEC, ambayo ni tawi tanzu la CCM.
 
tatizo tuna nidham za woga wachina ndo watapiga kura?

Labda unashindwa kuukubali ukweli.
Ni hivi.

USA na CHINA wana maslahi makubwa sana ndani ya CCM.
Hii nchi imeshauzwa Zamaani Na Hao Viongozi waliopo madarakani na Nchi Hizi mbili Kubwa Hazitojali maisha ya Mtanzania Km mimi na Wewe kulipata wanalotaka.

Wewe na Mimi Lzm tuweke hili akilini ili Matokea yakiwa tofauti na Mapenzi ya Wananchi Tusijepata Wazimu Tukaingia mitaani Tukafa km Kuku.

Huu ni wakati mgumu sana kwa hili Taifa.
Serikali iliopo madarakani Kuua mtu sio jambo la ajabu hatta kidogo.
We huoni Slaa yuko Kimyaaaa.

We unadhani ye Padri Mjinga?
 
Kwa sheria hizi na tume hii ya uchaguzi ambapo pia mgombea huyu amebebwa na nchi zenye nguvu duniani (Nchi za Kiislamu na Kikristo), sioni CCM ikishindwa uchaguzi.
 
Katika tafiti zote zilizopita ilionekana Lowassa anaongoza na Dr Slaa anamfuata kwa karibu. Maghufuli hata kwenye tano bora alikuwa haonekani, sasa imani ya kushinda inatoka wapi?

Baada ya Lowassa kuchukua fomu ya Ukawa Maghufuli akapotea hata kwenye media na mikutano yake huko Mtwara ilikuwa kama ya mgombea udiwani. Jeuri ya ushindi inatoka wapi?

Pamoja na kitengo kupenyeza lupia kwa Ukawa kwa lengo la kuvuruga bado Ukawa wamebaki wamoja na wanasonga mbele. Majigambo yanatoka wapi?

Sina hakika kama Maghufuri anaweza kupata kura laki moja mikoa ya Arusha na Manyara. Lakini je Lowassa hatakomba kura za kutosha Geita? Hilo linahitaji miwani kuliona?

Ccm inabomoka kila siku, wanachama wanakimbia kwa maelfu. Wanategemea goli la mkono! Goli la mkono wakati unachezwa nusu uwanja?

Wewe unaeamini hivo nikilaza hizi ni siasa.
 
Wamarekani Na Wachina Wametabiri kuwa Magufuli atashinda.
Sasa hapo watu wa ukawa mkae tayari kupokea Kichapo kitakatifu kutoka Kwa Polisi iwapo mtapinga matokeo.

Hii nchi mali ya Watu. Hivi nyie Watz mpk leo hamjaliona Hilo?
Hivi weye una hakiri kweri?maana yake kira unarochagia jamii folumu ni mavi mavi tuu kwanza hata erimu huna kenge weye.Kujifanya kutukana dini za watu mbururaaaaaaaaaa weyeeeeeeeeeeeee.
 
Wamarekani Na Wachina Wametabiri kuwa Magufuli atashinda.
Sasa hapo watu wa ukawa mkae tayari kupokea Kichapo kitakatifu kutoka Kwa Polisi iwapo mtapinga matokeo.

Hii nchi mali ya Watu. Hivi nyie Watz mpk leo hamjaliona Hilo?

Kwa mwaka huu sidhani...CCM wenyewe wanajua kuwa lazima wapigwe but wanajikaza kisabuni tu kuondoa aibu!
 
Kwa mwaka huu sidhani...CCM wenyewe wanajua kuwa lazima wapigwe but wanajikaza kisabuni tu kuondoa aibu!

Sio suala.la Kudhani.
Atakaekataa matokeoa yatakayo tangazwa na NEC lzm ale kichapo.
Na hayo matokeo Hayatotokana na Kura zenu.
Hilo linajulikana.
Time will tell.
 
Kwa mujibu wa chadema Lowasa ni fisadi papa.

Kwa mujibu wako ni fisadi gani, mwaka huu tunamtaka fisadi nae atawale Tanzania ni nchi yetu sote ambao si mafisadi wametawala tangu uhuru na hakuna la maana sasa tuwape na mafisadi nao wajaribu
 
Kwa mujibu wako ni fisadi gani, mwaka huu tunamtaka fisadi nae atawale Tanzania ni nchi yetu sote ambao si mafisadi wametawala tangu uhuru na hakuna la maana sasa tuwape na mafisadi nao wajaribu

Hamna haya nyie Chadema!
Slaa kapiga kelele weee, na juhudi zake zote mmenunuliwa na Mamvi!
Watu wa Kaskazini kwa pesa wanaweza kukuuzia hata watoto wao wa kuzaa.
Hatari sana kwa maendeleo ya Nchi.
 
Katika tafiti zote zilizopita ilionekana Lowassa anaongoza na Dr Slaa anamfuata kwa karibu. Maghufuli hata kwenye tano bora alikuwa haonekani, sasa imani ya kushinda inatoka wapi?

Baada ya Lowassa kuchukua fomu ya Ukawa Maghufuli akapotea hata kwenye media na mikutano yake huko Mtwara ilikuwa kama ya mgombea udiwani. Jeuri ya ushindi inatoka wapi?

Pamoja na kitengo kupenyeza lupia kwa Ukawa kwa lengo la kuvuruga bado Ukawa wamebaki wamoja na wanasonga mbele. Majigambo yanatoka wapi?

Sina hakika kama Maghufuri anaweza kupata kura laki moja mikoa ya Arusha na Manyara. Lakini je Lowassa hatakomba kura za kutosha Geita? Hilo linahitaji miwani kuliona?

Ccm inabomoka kila siku, wanachama wanakimbia kwa maelfu. Wanategemea goli la mkono! Goli la mkono wakati unachezwa nusu uwanja?

do not rely too much on African statistics,, you won't make informed decisions out of such statistics my friend,,, they are going to mislead you BIG TIME...
 
Don't worry if ni mpango WA MUNGU MWANADAMU HUWEZI KUUPINGA, let' us wait until the end of the game
 
Sio suala.la Kudhani.
Atakaekataa matokeoa yatakayo tangazwa na NEC lzm ale kichapo.
Na hayo matokeo Hayatotokana na Kura zenu.
Hilo linajulikana.
Time will tell.

Labda waende kukodi mapolisi wote kutoka nchi za Afrika Mashariki.
 
Back
Top Bottom