Amesema ametenga kila kijiji Tanzania kupata milioni 50. Sasa utendaji ndo umeanza watch out
hizo milioni 50 kila kijiji ni kwaajili ya nini? au atawagawia wananchi kila mmoja elfu kumi kumi kama kijiji kina watu 5000? , mbona mipango ya hawa CCM haieleweki?
Turudi kwenye mipango ya CCM kama chama, Kilimo kwanza kipo wapi? Mabilioni ya JK yako wapi? maabara ziko wapi? MATOKEO MAKUBWA SASA! MKUKUTA!! MKURABITA!!! yaani maneno lukuki
matokeo yako wapi? shilingi inashuka, umeme shida, shule watoto hawana vyoo hawana madawati, hospitali shida.. matatizo kila kona..
CCM imefilisika kifikra.