Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

Magufuli: Subirini ushindi wa Tsunami

Banaa,,, usijidanganye kuwa Ukawa ya Lowasa itapata ushindi,

Uwe muungwana tu siku matokeo yanatangazwa,, usianzishe fujo, kwasababu ukianzisha fujo UTAPIGWA TU!!

Shida yenu ni kuamini goli la mkono, hivi mnajua Lowassa ana watu wangapi kwenye system?
 
Unahitaji kujitoa ufahamu kwa dk chache ili kuamini EL anaenda magogoni.....
 
Kura zipigwe au Zisipigwe it does make a difference kwa serikali iliojaa Mafisadi km hio.

USA wameshasema ashinde Magufuli Pombe bin Gongo.

Hapa naskia harufu ya Damu kwa wingi sana.
Mungu ailinde Nchi yangu Tz.

Ccm wako Tayari kwa Lolote kubakia Ikulu

Kwenye Mafuriko hata wizi hushindikana.Haya yalitokea Ivory Coast kwa Bagbo na Kenya kwa Moi.
 
mi nahisi kuna kundi kubwa weng tumelisahau, ukawa itaweza kupata ushindi endapo itaweza kuhamasisha wanawake kuwapgia kura,tukumbuke wanawake ni wengi na wengi wamehamasika kupigia ccm kutokana na kuwa empowered kwa mwanamke mwenzao kupendekezwa kuwa makamu wa rais.ukiangalia umoja wa wanawake chadema na ukawa kwa ujumla haiko so powerfl kuliko ccm..hata ukiangalia chadema kiongozi wao halima mdee hana ushawish mkubwa tz zaid ya viongoz wa ccm ambao weng wao ni wakina mama watu wazima wenye ushawish mkubwa esp kwenye mashina...kwa hyo m bado naipa nafasi kubwa ccm....tho anythng can happen...
 
Nyie mnaoshinda humu na kubwabwaja ndio mtampa mamvi kura,.but huku kitaa maghufuli anahusika. Lowassa ahudumie afya yake kwanza.

Nakuhakikishia huyu Jamaa anakubalika na wapiga kura.Kwa sasa watu wengi wanaomuunga mkono wamebaki ndani ya CCM ili kulinda Ushindi wake ikiwemo kuzuia goli la Mkono.
 
dah....wakuuu mimi nipo kat kati...sijui hata nisemeje
 
ndio maandalizi ya GOLI LA MKONO nini??............HILI BILA SHAKA LINAWEZA KUWA LINAANDALIWA KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI NA UCHINA!!!!!!!!!!

baada ya utafiti

kanda ya ziwa;
kagera
shinyanga
mwanza
musoma
tabora
geita

ushindi.......................
90% kwa magufuri
lowasa 10%

nyanda za juu kusini ,
magufuri 65%
lowasa 32%

coastal
magufuli 60%
lowasa 39%

zanzibar
magufuri 53%
lowassa 47%

kaskazini

lowasa 60%
magufuri 32 %

kanda ya kati;
magufuri 59 %
lowasa 32%

ziwa magharibi

magufuri 80 %
lowassa 12 %

ndo maana kwa mara ya kwanza ccm wapiga mwizi kimya kimya;

ccm 62 %
ukawa 38 %
 
Wamarekani Na Wachina Wametabiri kuwa Magufuli atashinda.
Sasa hapo watu wa ukawa mkae tayari kupokea Kichapo kitakatifu kutoka Kwa Polisi iwapo mtapinga matokeo.

Hii nchi mali ya Watu. Hivi nyie Watz mpk leo hamjaliona Hilo?

Mkuu hata Mapolis sio wajinga, hasa hali inapokuwa ya hatari na hivyo jeshi kuwa tayari kulinda raia wake, unakumbuka uchaguzi wa 2010 kati ya Wenje na Masha......CCM walikuwa radhi wamtangaze Masha kwa gharama yyt ile ila viongozivwa usalama wakaona ule umati wakashauri waroho kutoka huko CCM kuwa, mkitangaza Masha muukubali kabisa kuwa hakuna mwananchi ataondoka hai hapa.......barabara itajaa damu hii, hatutaki huo ujinga....aliyeshinda mpeni ushindi wake.
 
Hilo ndio tunaloomba Takriban Watanzania Wote.
Lkn Ccm wana laana. Hawatokubali Kutoka ikulu kimya kimya.
Tusipochunga TZ hali itakuwa mbaya kuliko Rwanda na Syria.
 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 2015-2020 , Ndugu John Joseph Pombe Magufuli ....one & only ! kubali , kataaa Hatujawa Wajinga kiasi hicho ! Wengine Muugue pole ...Na Mungu awasimamie .....Inshallah
 
Magufuli ushindi kwake lazima. Watanzani wote si wajinga kama mnavyofikiri ! Ndiye pekee kiongozi msafi hapa. Kupambana na mtuhumiwa wa ufisadi ni kama kumsukuma mlevi tu !
 
Wamarekani Na Wachina Wametabiri kuwa Magufuli atashinda.
Sasa hapo watu wa ukawa mkae tayari kupokea Kichapo kitakatifu kutoka Kwa Polisi iwapo mtapinga matokeo.

Hii nchi mali ya Watu. Hivi nyie Watz mpk leo hamjaliona Hilo?

tatizo tuna nidham za woga wachina ndo watapiga kura?
 
Magufuli atashinda na kama timu ya kampeni ya CCM ikicheza vizuri inaweza kuwa ni landslide victory.
 
baada ya utafiti

kanda ya ziwa;
kagera
shinyanga
mwanza
musoma
tabora
geita

ushindi.......................
90% kwa magufuri
lowasa 10%

nyanda za juu kusini ,
magufuri 65%
lowasa 32%

coastal
magufuli 60%
lowasa 39%

zanzibar
magufuri 53%
lowassa 47%

kaskazini

lowasa 60%
magufuri 32 %

kanda ya kati;
magufuri 59 %
lowasa 32%

ziwa magharibi

magufuri 80 %
lowassa 12 %

ndo maana kwa mara ya kwanza ccm wapiga mwizi kimya kimya;

ccm 62 %
ukawa 38 %

R.B kwa kuiba na kulazimisha sawa. Lakini kwa kura za halali na haki bila dhulma haiwezekani
 
Kwenye Mafuriko hata wizi hushindikana.Haya yalitokea Ivory Coast kwa Bagbo na Kenya kwa Moi.
Moi hakuwahi kushindwa uchaguzi, aliacha mwenyewe tu kugombea na mara ya mwisho kugombea ilikuwa ni 1997.
 
Moi hakuwahi kushindwa uchaguzi, aliacha mwenyewe tu kugombea na mara ya mwisho kugombea ilikuwa ni 1997.

Moi alilazimisha Kenyata achaguliwe kupitia KANU na ikawa ndio mwisho wa Kanu na Uprofesa wake feki wa Siasa.
 
Back
Top Bottom