Duhhhh Makufuri akifanya hivyo kuna watu wataona bora wangemuachia ED
We jamaa ni nouma aiseee!Wanaoafiki.....Ndiyoooooooooooooo
Wasioafiki.....hapana..
Nadhani WANAFIKI wameshinda.
Chanzo cha ndani Ikulu kimetoa habari kwamba mpaka sasa kazi zinazofanywa na Magufuli si mageni hata kidogo.
Kws mujibu wa chanzo hiki ni kwamba mafile yaliyoko mezani yalipelekwa siku nyingi sana na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Dr. Hoseah ila Serikali iliyokuwa ilipuuzia na kuyaweka kando.
Hivyo kwa mujibu wa chanzo hiki Dr. Hoseah anasemekana kufanya kazi zake nyingi kwa ustadi mkubwa ila amekuwa akipuuzwa.
Kwa mujibu wa chanzo hiki Dr. John Joseph Magufuli ameamua sasa muda si mrefu kukutana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano hasa akitaka Bunge lake lijalo lishughulike mapema sana kurekebisha Ibara ya 46(3) ambayo imeweka kinga dhidi ya kutoshtakiwa Rais aliyemaliza muda wake kwa kosa lolote.
Chanzo hicho kinasema Magufuli anataka Ibara hiyo ifutwe na kimsingi yeye anataka mtu aliwahi kuwa Rais na kulisababishia Taifa hasara aburuzwe Mahakamani........
Ikithibitika nitafanya sherehe, kwa sasa naichukulia kama habari nilioiona kwenye kipande cha gazeti nililofungiwa maandazi