Magufuli sasa kufuta ibara ya 46 (3) ya katiba

Hahahah! I miss u jakaya spati picha kama kuna mdada anaweza akaenda ikulu akaomba kitu cha selfie na Amirijeshi mkuu mtumbua majipu!!!

hii ilikua siku ya mualiko wa wasanii zidi yake mkuu. umesahau nn.
 
Mimi ningependa aanze na Ibara ya kuundwa kwa baraza la mawaziri. Angeondoa tu hii Ibara ya kuunda baraza la mawaziri badala yake makatibu wakuu ndio hao hao wafanye vikao vya baraza la mawaziri.
naona unakuwa mpole,tulia tunaweka tego JK anase
 
Hiyo sheria ingewekwa kabla Mkwere hajamaliza muda wake ingesaidia sana.

hebu nisaidie kuolodhesha makosa ma3 kumtia hatiani mkwere huyu? ili nijue kua hapa hawezi kuchomoka kwenye. mkono wa sheria.kama ingewezekana kupata nafasi ya kumshtaki.
 
Labda tukiwafunga Mwinyi, Mkapa na JK tutapata maendeleo ya haraka!!!

Kipaumbele ni uwajibikaji kwanza na katiba mpya na sio kubadili kifungu kuwashtaki marais waliopita
 
duh km itakuwa kweli!! atakuwa amefanya jambo moja zuri sana. Mungu amsimamie katika hili. Mungu ibariki tanganyika
Tuache unafiki, kwani rasimu iliyokataliwa haikuwa na hilo jambo?
 
Mimi ningependa aanze na Ibara ya kuundwa kwa baraza la mawaziri. Angeondoa tu hii Ibara ya kuunda baraza la mawaziri badala yake makatibu wakuu ndio hao hao wafanye vikao vya baraza la mawaziri.

akili zimerudi nyumbani kwa muda. leo hujavuta bange?
 
Habari wanajf!

Ndugu wanajf,miongoni mwa mambo yanayonikera katika katiba yetu ni hii ibara ambayo inaweka kinga ya Rais kutoshtakiwa baada ya kutoka madarakani.Ni ibara ya hovyo kabisa hii.Rais sio Mungu.Ibara hii inalinda marais wezi,wazembe,wavunjaji haki za binadamu,wavunja katiba n.k. Ibara hii haitufai kabisa.Tufanye kampeni ya nguvu ili ifutwe kabisa.

Haya madudu yanayoibuliwa sasa ni dhahiri kwamba wakuu wetu wa nchi wa awamu ya tatu na ya nne walipaswa wasimame kizimbani.Hawa wangetupatia majibu hasa katika hoja ya msingi kwamba walikua wapi wakati hujuma kubwa kubwa za kiuchumi zinafanyika ilhali mamlaka wanayo.

Nchi imehujumiwa vibaya sana kiuchumi katika awamu hizi mbili lakini waliopaswa kusimama kizimbani hatuwezi kuwashtaki kwa sababu ya ibara hii.
Sasa kwa hali hii tunayoiona kuna haja kweli kuwa na ibara hii inayolinda mtu kwa kuwa tu alikua Rais hata kama naye alishiriki kuhujumu nchi? Nini maoni yako?

Nawasilisha.
 
Ndio maana kuna mstaafu mmoja anatukana watu hovyo kwa sababu anajua hawezi kufanywa kitu japo sijajua hiyo kinga inakoma lini. Hapo hapo unasema hakuna aliyejuu ya sheria. Shida sana.
 
nadhani tunahitaji kujua ukweli kutoka kwao maana mfumo wa uraisi tuliokuwa nao wa uraisi kutafutwa kimakundi siwezi kukimbilia kuwalaumu waliopita maana yawezekana walikuwa wahanga wa mifumo.

watu wanaunda kundi wanamsimamisha mtu mmoja kugombea uraisi na akishinda chini ya kapeti wamekwisha gawana nyadhifa zote. ni sawa na kwenda porini na kundi la watu mkifika porini unagundua kundi ulilonalo ni majabazi na na wanakutaka kufanya mambo ambayo hukupanga. je busara ni kuwaonyesha kiburi na wakaishia kukumaliza huko porini na ukawa mpumbavu shujaa anasifika kwa kiburi ambacho hakkutatua chochote au ni kujifanya uko nao na kufanya wanalotaka na kuandaa mazingira ya kuwaondoa watu kutumbukia katika mitego hii?

kwa maelezo hayo nadhani raisi wa awamu ya nne anweza kustahili pongezi sana kwani ameueleza wazi kuwa raisi hatakiwi kuwa na makundi na bila kuwa na kiongozi makini ni vigumu kuitoa nchi mikoni mwa mafisadi na kuirudisha kwa wananchi. hapa si swala la tu raisi kufanya maamuzi bali inaanzia kuwazuia mafisadi wasiweze kuteka mchakato wa kutafuta raisi na akipata raisi huru namwenye nia na uwezo anafaya maamuzi.

Habari wanajf!

Ndugu wanajf,miongoni mwa mambo yanayonikera katika katiba yetu ni hii ibara ambayo inaweka kinga ya Rais kutoshtakiwa baada ya kutoka madarakani.Ni ibara ya hovyo kabisa hii.Rais sio Mungu.Ibara hii inalinda marais wezi,wazembe,wavunjaji haki za binadamu,wavunja katiba n.k. Ibara hii haitufai kabisa.Tufanye kampeni ya nguvu ili ifutwe kabisa.

Haya madudu yanayoibuliwa sasa ni dhahiri kwamba wakuu wetu wa nchi wa awamu ya tatu na ya nne walipaswa wasimame kizimbani.Hawa wangetupatia majibu hasa katika hoja ya msingi kwamba walikua wapi wakati hujuma kubwa kubwa za kiuchumi zinafanyika ilhali mamlaka wanayo.

Nchi imehujumiwa vibaya sana kiuchumi katika awamu hizi mbili lakini waliopaswa kusimama kizimbani hatuwezi kuwashtaki kwa sababu ya ibara hii.
Sasa kwa hali hii tunayoiona kuna haja kweli kuwa na ibara hii inayolinda mtu kwa kuwa tu alikua Rais hata kama naye alishiriki kuhujumu nchi? Nini maoni yako?

Nawasilisha.
 
Hoja hii ni ya msingi sana, isiwe tu ashtakiwe akiwa amestaafu bali pia hata akiwa madarakani. Ikiwa itabainika Rais kafanya makosa ya jinai na kutumia madaraka yake vibaya akiwa madarakani kwa nini tumpe kinga ya kutoshtakiwa? Tusimfanye Rais aonekane kama Mungu. Ndio maana kama ambavyo wachangiaji wengi wamesema Marais wetu wa awamu ya tatu na ya nne wanapaswa kushtakiwa kwani wao ndio wameasisi mfumo huu uliojengeka wa ufisadi ndani ya utumishi wa umma kwa vile wao wenyewe walishiriki bila ya aibu kujinufaisha na kujilimbilikizia mali.
 
Habari wanajf!

Ndugu wanajf,miongoni mwa mambo yanayonikera katika katiba yetu ni hii ibara ambayo inaweka kinga ya Rais kutoshtakiwa baada ya kutoka madarakani.Ni ibara ya hovyo kabisa hii.Rais sio Mungu.Ibara hii inalinda marais wezi,wazembe,wavunjaji haki za binadamu,wavunja katiba n.k. Ibara hii haitufai kabisa.Tufanye kampeni ya nguvu ili ifutwe kabisa.

Haya madudu yanayoibuliwa sasa ni dhahiri kwamba wakuu wetu wa nchi wa awamu ya tatu na ya nne walipaswa wasimame kizimbani.Hawa wangetupatia majibu hasa katika hoja ya msingi kwamba walikua wapi wakati hujuma kubwa kubwa za kiuchumi zinafanyika ilhali mamlaka wanayo.

Nchi imehujumiwa vibaya sana kiuchumi katika awamu hizi mbili lakini waliopaswa kusimama kizimbani hatuwezi kuwashtaki kwa sababu ya ibara hii.
Sasa kwa hali hii tunayoiona kuna haja kweli kuwa na ibara hii inayolinda mtu kwa kuwa tu alikua Rais hata kama naye alishiriki kuhujumu nchi? Nini maoni yako?

Nawasilisha.

Uwe na Adabu? wewe baba ako unaweza mwadhibu kwa kukulea? sio mila na desturi zetu waafrika
 
Honi Lowasa alivyo kuwa mjanjan kuhusu RICHMOND kwa kusema mwenye RICHMOND ni JK alikwa anajua yeye alitekeleza maagizo na kama ni yeye mwenye ushahidi apeleke mahakamani Hakuna wa kumgusa.

Mimi ningekuwa Bade, ningesema niliagizwa na rais ili naye ashitakiwe ama washindwe.
 
Back
Top Bottom