Magufuli sasa kufuta ibara ya 46 (3) ya katiba

Magufuli sasa kufuta ibara ya 46 (3) ya katiba

Na katiba inasomeka vipi kuhusu kumshitaki raisi mstaafu?
 
Naomba iwe kweli na hicho kifungu kitolewe.

Ila kwa ufahamu wangu, mtu aliyetenda kosa jana hawez hukumiwa kwa sheria iliyoundwa leo..
Ila ni good move itawanyoosha wanafuata baada yake
halafu sheria ije imbane yeye?,magufuli hawezi,kwanza italeta utamaduni wa watu kung'ang'ania madarakani
 
Mkuu Shondola, hebu acha kuwapandisha watu presha. Hiyo ya kontena 350 waganga wote wameshakusanywa kupunguza makali ya soo baada ya kumuona Dr. amejibadilisha alafu wewe unaongeza na hili!
 
Km ni kweli avunje ile ibara ya katiba inayosema raisi atasimama kwa mihula miwili atlist afanye kuwa rais miaka 15 , ntampa kura yangu..
 
duh km itakuwa kweli!! atakuwa amefanya jambo moja zuri sana. Mungu amsimamie katika hili. Mungu ibariki tanganyika

Una maanisha nini mkuu, hii Tanzania ama Tanganyika? fafanua
 
Ingawa namsapoti raisi jpm Hilo unalosema lingefanyika chini ya serikali ya ukawa, kwake itakuwa ngumu sababu hao hao wezi yupo nao kwenye ccm tena mmoja wao ndiyo bosi mkuu WA ccm
 
Kumsimamisha kazi afisa wa TRA ni HABARI...! ila hii ya kufuta hicho kifungu ni HABARI YA KUSISIMUA..!
 
akifanikiwa kuthubutu, wanaanza na yeye akistafu, HATA WALE WANAONUNUA VYAMA KUTAKA URAIS HAWATATHUBUTU NENA, utasikia nastafu siasa naenda kuchunga ng'ombe wangu, maana wanajua balaa litakalo wakuta baadae.
 
Bora iwe tetesi vinginevyo Ni vilio tupu....
 
Usijibweteke mipango inaendelea ili ushtakiwe kwa uharibifi uliofanyia nchi yetu uwe mfano kwa viongozi wote watakaotawala nchi yetu

attachment.php
Hahahah! I miss u jakaya spati picha kama kuna mdada anaweza akaenda ikulu akaomba kitu cha selfie na Amirijeshi mkuu mtumbua majipu!!!
 
Ccm bwana kwa series sijui episode ya ngapi hii
 
Hiyo kitu ni so sensitive na much explosive than you can imagine.

Tujikumbushe kidogo Rais wa zamani wa Zambia Fredrick Chiluba aliwahi kumtia ndani na kumburuza mahakamni mtangulizi wake Kenneth Kaunda.

Unakumbuka baadaye Chiluba aliishia wapi?

Ni ukweli usiopingika kuwa kama kweli JK ndiye aliyekuwa anawakingia kifua hao 'majambazi' na wahujumu wakubwa wa uchumi wa nchi basi tuseme tu kama ambavyo huwa anasema Magufuli, hakika Mungu atamlipia...
 
Back
Top Bottom