Kwanza niwakumbushe tu kuwa katiba yetu inasema
Na.34 ib.
(2) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, kiti cha
Rais kitakuwa ki wazi, na uchaguzi wa Rais utafanyika au nafasi
hiyo itajazwa vinginevyo kwa mujibu wa Katiba hii, kadri
itakavyokuwa, kila mara litokeapo lolote kati ya mambo
yafuatayo:-
(a) baada ya Bunge kuvunjwa;
(b) baada ya Rais kujiuzulu bila ya kulivunja Bunge
kwanza:
(c) baada ya Rais kupoteza sifa za kushika nafasi
madaraka ya kuchaguliwa;
(d) baada ya Rais kushtakiwa Bungeni kwa mujibu wa
Katiba hii, na kuondolewa katika madaraka;
(e) baada ya kuthibitishwa kwa mujibu wa masharti ya
ibara ya 37 ya Katiba hii kwamba Rais hawezi
kumudu kazi na shughuli zake;
(f) baada ya Rais kufariki.
(3) Kiti cha Rais hakitahesabiwa kuwa kiwazi kwa sababu tu
ya Bunge kupitisha hoja ya kutokuwa na imani kwa Waziri Mkuu
Sasa Ibara 46 A na B inalipa Bunge wajibu kwa niaba ya Wananchi. Mpaka sasa sababu ipo na uwezo upo hebu na nia iwepo.