simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,785
- 9,719
Oooh Magufuli kama Levy Mwanawasa na Chiluba.
Habari za mitandao bhana!!! 😕😕😕
Mkuu pia kipengele hicho kikiondolewa Raisi kazi yake itakuwa kushinda mahakamani badala ya kufanya kazi za kiraisi,Wahuni utasikia leo wamemfungulia kesi mahakama ya kisutu,kesho anatakiwa mahakama kuu kanda ya mwanza keshokutwa anatakiwa mahakani songea nk.Kufuta hiyo sheria ni ujinga mtupu.Kuiweka ni kumwezesha afanye shughuli zake asikae anakesha mahakamani.Ukiruhusu kwa viinchi vyetu hivi kila siku watu watakuwa wanamburuza raisi hata kwa vitu vya kijinga tu
Na kesi ya jinai haifi mkuu,ni kwa maoni yangu piaNaomba iwe kweli na hicho kifungu kitolewe.
Ila kwa ufahamu wangu, mtu aliyetenda kosa jana hawez hukumiwa kwa sheria iliyoundwa leo..
Ila ni good move itawanyoosha wanafuata baada yake
Kizingiti cha kwanza kitakuwa ni Bunge kwa mshangao wa wengi.
This is how system works.
Tusubiri.
nakubaliana nawe. Mafisiemu watajipanga. kuhakikisha wabunge wanaukataaa mswaada huo. Pia kama itakataliwa jpm ajue atakuwa ktk hali ngumu. Itamlazimu aongezewe ulinzi zaidi vinginevyo itakuwa sawa kumjeruhi nyati porini.
Arudishe katiba ya Warioba basi
Akifuta na lile suala la matokeo ya urais kuhojiwa mahakamani.
All in all arudishe ile rasimu ya Warioba imeelezea hayo yote haina haja ya kujazia viraka.
Duhhhh Makufuri akifanya hivyo kuna watu wataona bora wangemuachia ED
hayo ni mawazo yako tu lakini sheria inaweza kutamka pia kuwa "na waleo ambao waliwahi kufanya makosa wakithibitika watashitakiwa".Naomba iwe kweli na hicho kifungu kitolewe.
Ila kwa ufahamu wangu, mtu aliyetenda kosa jana hawez hukumiwa kwa sheria iliyoundwa leo..
Ila ni good move itawanyoosha wanafuata baada yake
Bila kusahau na kile kipengele cha matokeo ya rais kutohojiwa kifutwe pia
Naisubiri kwa hamu hiyo,akiongeza na tume huru ya uchaguzi pamoja na kuweza kupinga matokeo ya urais nitamuunga mkono rasmi.
Of course najua kuwa JPJM ni jasiri sana lakini hilo haliwezi kabisa. Akitaka tuamini kuwa analiweza ashughulikie Tegeta Escrow Account hasa zile hela zilizotolewa kwenye benki ya Stanbic. Better still, arejeshe rasimu ya warioba kwenye BMK jipya na dogo sana (watu 70 wanatosha) na lisichukue zaidi ya mwezi mmoja kutuletea katiba ya wananchi.
Ndipo nitakaposema: JPJM hoyee; na Mungu ashukuriwe.
Naomba iwe kweli na hicho kifungu kitolewe.
Ila kwa ufahamu wangu, mtu aliyetenda kosa jana hawez hukumiwa kwa sheria iliyoundwa leo..
Ila ni good move itawanyoosha wanafuata baada yake
Mkuu Shondola, hebu acha kuwapandisha watu presha. Hiyo ya kontena 350 waganga wote wameshakusanywa kupunguza makali ya soo baada ya kumuona Dr. amejibadilisha alafu wewe unaongeza na hili!
Hapo Atakayekutwa Msafi Ni Nyerere Tu Ingawa Hayupo.WengineWote Wajibu Mashtaka,ikiwemo Kutoa Matusi Kutuita Wapumbavu Na Malofa...