kwa hiyo anatakaje!!? kubaki!!? kwa muda gani!!?
braza kwa hiyo unatushauri mbadala wa ccm ni. nani ili tuanze kudadavua kwa sasa mapemaa..?manake usituambie vitu visivyofikirika..au wewe raha yako.ccm itoke tu ibaki hewa au...msijenge hoja ambazo zinawaonyesha jinsi akili zetu zilivyo..mnaaibika..talk sense and provide the.solution..usione aibu kutamka chama chako kama unacho...vinginevyo tutasema mnawafanyia kazi mabwana zenu wa nje wanaowatuma..
Chuki na vijembe kwa Rais wetu havito badilisha ukweli. Marekan wametawaliwa na marais 45 ila walio acha alama na kukumbukwa na Raia wa Marekan ni marais wasio pungua watano tu.. Hivyo nilazima tukubali baada ya Mh Magufuli itatuchukua miaka kadhaa kumpata rais kama huyu. Na nikwambie tu sio membe wala nani anaweza vaa viatu vya huyu bwana mkubwa. Mbaya zaidi watanzania mtamkumbuka sana na mtamtataja sana na wengi wataenda kuhiji kwenye kaburi lake huo ndio ukweli..
Kwa hiyo lengo ni chama kimoja ?!. U communist hauwezi kuitoa Africa mrisi.nakupa mfano wa China tu hapo..embu tuambie tangu uhuru wao imeshakuwa na vyama.vingapi vya siasa..vipi kuhusu uchumi wake kwa.sasa..sasa wewe unataka.kulinganisha na Tanzania yenye.vyama.25 vya kisiasa..hivi tupo.serious na nchi yetu au tunatumiwa.na. mabeberu..mnataka kutupeleka.wapi au mnataka kuuza nchi
Afu kupata maendeleo sio lazima influence ya rais... Kuna nchi zina maendeleo lakini marais wao ni wa ajabu ajabu... Cc hatuna maendeleo kuzidi misri toka enzi.... Lakini angalia historia ya marais wao, angalia south Africa... Kwahiyo urais sio foleni kama tunavyodhani... Unadhani watanzania wote tunaweza kuwa rais... Basi tutakuwa wajinga kufikiria hivyo, Marekani ina miaka zaidi ya 200yers toka ijitawale but untill now.. 45 presidents... Hakuna hata ratio... Labda tuweze kutwist mfumo kias kwamba rais asiwe controlling figure to every thing... Na asiwe main expected effect kwa kila jambo....Viongozi wa Afrika ujiona wana akili nyingi kuzidi wanaowaogoza ndo shida iko hapo
Au zaidi ya TorontoMagu akiongoza mpaka 2050 Tanzania inaweza kuwa zaidi ya Hongkong..
Namkumbuka M7Huyu inaonekana hana mawazo ya kuachia madaraka , watanzania tujiandae kisaikolojia
2=\℅`£}\°€℅`]~}£}\°™¢{`}£¶-#:?2))2--++((Huyu inaonekana hana mawazo ya kuachia madaraka , watanzania tujiandae kisaikolojia
Watunga Katiba walibaini hilo ndo maana walimpa rais nafasi za uteuzi lukuki ili apate wasaizi wengi bora. Tatizo ni huo uteuzi ambao haufuati taaluma, uwezo wala uzoefu wa kazi. Sifa za uteuzi zinakuwa ni kwa rangi ya manyoya ya mteuaji na mteuliwa kama zinafanana.Amsikilize EFF Leader J.Malema alisema Hata Fool anaweza kuwa rais ili mradi azungukwe na wenye akili....Kuwa Rais hakuhitaji kuwa na akili/uwezo or chochote hata Zero Brain anaweza kuwa rais.
Wataweza kwani yeye mbona kaweza🙁Kuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo.
Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 1, alipokuwa akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Tanzania sasa imekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine.
“Mara nyingi tumeambiwa kuwa Tanzania ni masikini, ninaomba neno hilo tulifute kwani nchi yetu ni tajiri lakini tulitaka kuaminishwa na watu waliotaka kututumia, kuna miradi imetumia matrilioni ya fedha saa nyingine ninajiuliza kweli hili limewezekana, tumeweza maana yake kila palipo na nia Mungu yupo pamoja na sisi,” amesema.
“Siwezi nikasimama mbele za watu nikasema haya ni kwasababu yangu kwani mimi ni dereva tu lakini pia huwa ninajiuliza ikitokea siku Mungu akanichukua hao watakaokuja watayamaliza kweli kwasababu panahitaji moyo, unafanya hivi huku unatukanwa lakini inabidi ufanye kwaajili ya Watanzania, inahitaji kujitoa sadaka ya kweli,” amesema.
“Ninamshukuru Mungu kwa kuendelea kulisimamia taifa hili na ninawashukuru Watanzania wenzangu kwa kuendelea kuniombea na kunipa moyo, nchi yetu sasa imekuwa ya mfano watu wanatuogopa sasa, wapo wanaouliza mnapata wapi fedha mimi ninasema zilikuwa kwa mafisadi sasa zinaenda kwa Watanzania,” amesema.
Ni kawaida kwa viongozi wasiojua kuwa uongozi ni kupokezana vijiti na kila mtu huweza kulingana na muda wake, wapo walioweza zaidi kuliko wa sasa, nani alijua kuwa ingefika wakati kiongozi mwalimu aliyeleta mabadiliko makubwa ya kimaendeleo ,kifikra ujenzi wa UTAIFA, UZALENDO JK Nyerere angempasia Mwinyi kijiti. Huyo ndugu anaweza kujenga Utaifa? Anaweza kuleta uzalendo? Yatatoka wapi haya tusipopambana kupinga ukanda,ukabila???. Uchumi wetu ungekuwa wapi sasa kama siyo mzee ruksa aliyechochea mabadiliko makubwa ya kiuchumi, hadi leo anakumbukwa. Nani kasahau utekelezaji wa ilani ya chama alipoingia ndugu Ben, taxi kutoka Dar hadi Mwanza kwenye lami kabla ilibidi tuzungukie Kenya, Nani kasahau alipoingi Kikwete, daraja la Kigamboni, daraja la kikwete na baadhi ya mikoa iliyojihisi haiko Tanzania kuunganishwa na Tanzania (Kigoma) kwa lami hadi nchini Burundi. Kwa kifupi atakaye kuja atafanya zaidi kuliko sasa wengi wanaona sasa hivi tumepiga brekiKuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo.