[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtoto acha kupiga mayowe, acha watu waone wenyewe[emoji16] ameajiri watu wa kumsifia sasa ameona haitoshi ameamua aingie ulingoni mwenye we
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtoto acha kupiga mayowe, acha watu waone wenyewe[emoji16] ameajiri watu wa kumsifia sasa ameona haitoshi ameamua aingie ulingoni mwenye we
2050 mbali akiongoza mpaka 2025 Tanzania itakuwa zaidi ya Haiti nchi itakuwa inadaiwa hata mpaka Sundance ya kushora masikini wataongezeka watu walikuwa anaishi kwa mlo mmoja sasa watu watakaa hata siku mbili ndiyo kapata chakula buku saba itadhuka itakuwa buku 2Magu akiongoza mpaka 2050 Tanzania inaweza kuwa zaidi ya Hongkong..
[emoji120][emoji120]Eeh Mungu tuonee huruma ili muda wa huyu mzee utakapowadia, akubali kuondoka madarakani kwa mujibu wa katiba. Maana iwapo atajiamulia kututawala milele, hakika kama Taifa tutapoteana! Unatambua fika mtawala wetu huyu hana hulka ya kujali na kuthamini haki za wengine.
Reli ya Kati na Tazara tumeshindwaje kuzitumia ili kujiletea maendeleo. Tazara mpaka leo tumeshindwaje kulipa hata mkopo kwa wachina walioijenga. Pita huko vijijini ilikopitia uone maendeleo waliyonayo Kama yako tofauti Sana wilaya zingine zisizo na reliKama kuna Rais atakuja kukumbukwa na vizazi na vizazi vya taifa hili, basi ni Ndugu John joseph Magufuli.
Kwa dhati kabisa ndani ya Moyo wangu namshukuru Mungu kwa ajili yake. Huyu Rais Ametoka kwa Mungu na Mungu Ametupa kama zawadi watanzania.
Mimi ni mfanyabiashara na mchumi. Nikiitazama tanzania miaka 10 ijayo tanzania itakua imepaa kabisa katika nyanja ya uchumi, kutokana na miradi inayo jengwa na serikali chini ya Mtukufu wetu Ndg Magufuli.
chamsingi.
watanzania tuache tabia ya kulalamikia serikali. Serikali haiko kumtajirisha mwananchi kwa kumwekea pesa mifukoni.
kazi ya serikali ni kujenga miundo mbinu ya kisasa naya uhakika. Itakayomwezesha mwananchi kuitumia na kujiingizia kipato na kukuza uchumi wake.
Mfano mdogotu reli ya SGR Hii itakua mkombozi mkubwa sana kwetu wafanyabiashara kwa kusafirisha bidhaa zetu mikoani na kwa bei nafuu. Kutakaopelekea mfumuko wa bei kwa wananchi kushuka.
niwito wangu kwa kila mtanzania kumwunga mkono ndugu yetu Magufuli na kumwombea.
Suala la kuondoka anajua haliko katika hiari yake lla tuwe wakweli ni watu wachache Sana wamaoweza kuvivaa viatu vyake vikawaenea!! Ana haki ya kufikiri hatima ya kazi kubwa aliyoianza! Tuwe wakweli, kwani waliopita hawakuwa wanajua makao makuu yanapaswsa yawe Dodoma? Hawakuqa wanajua umuhimu wa reli standard gauge? Hawakujua umuhimu wa kutekeleza kwa haraka ujenzi wa barabara kwa lami? Haya yote waliyajua na yalikuwa tayari yameamuliwa lakini hawakuwa na uthubutu wa kuanza maana waliamini hawawezi kwa kuwa nchi ni maskini. Kwa mazingira hayo ndiyo maana anajiuliza akiondoka atakayekuja ataweza kukamilisha alichokianza?Kwahiyo hataki kuondoka?
Sawa ni mawazo yako lakini ni ya kijinga.Suala la kuondoka anajua haliko katika hiari yake lla tuwe wakweli ni watu wachache Sana wamaoweza kuvivaa viatu vyake vikawaenea!! Ana haki ya kufikiri hatima ya kazi kubwa aliyoianza! Tuwe wakweli, kwani waliopita hawakuwa wanajua makao makuu yanapaswsa yawe Dodoma? Hawakuqa wanajua umuhimu wa reli standard gauge? Hawakujua umuhimu wa kutekeleza kwa haraka ujenzi wa barabara kwa lami? Haya yote waliyajua na yalikuwa tayari yameamuliwa lakini hawakuwa na uthubutu wa kuanza maana waliamini hawawezi kwa kuwa nchi ni maskini. Kwa mazingira hayo ndiyo maana anajiuliza akiondoka atakayekuja ataweza kukamilisha alichokianza?
Rai yangu tumwombee maisha marefu na ukibidi turekebishe katiba ili atawale kwa miaka 20!! ( msinipige mawe hayo ni mawazo yangu)
Hata kabla sijaingia tena kwenye huu uzi, nilijua ni wewe ndio umeenda kufukua hili kaburi.Duuuh
Kusisitiza, mawazo na maoni yake ni ya kijinga kabisa.Sawa ni mawazo yako lakini ni ya kijinga.
Mradi gani uliokamilika hadi kipindi cha pili kina karibia kukata ... anataka kutuachia madeni yasiyolipikaBora deni likue tu lakini tunaona miradi kama hiyo, kwani hakuna nchi isiyodaiwa waulize USA wana deni kiasi gani kwa wachina.
Tuijengee fremu comment hiiKabla yake walikuwepo wengine..na watakuja baada yake..
Daaah we jamaaKwa hiyo ye kuondoka hadi afe
Nani ana namba ya malaika gabriel hapo karibu ?
Ani connect na israili
Naomba upewe ULINZIMh! hivi anawazaga hata kufa kweli.
Mkuu naona umefukua kaburi!Naomba upewe ULINZI
Ha ha ha haNa kuondoka kwenyewe amesema "Mungu akinichukua" , so read between the lines.