Magufuli: Nikiondoka watakaokuja wataweza?

Zilikuwa kwa mafisadi na deni la taifa linafikia trl 51.
Uzuri wa kuongoza wapumbavu ndo huu.
Katika list ya nchi zinazodaiwa Tanzania ni nchi ya 99. Bado unapiga kelele nahao walioko juu yetu je utasemaje? Marekani na ukubwa wote ndo kinala wa kudaiwa mbona haumtaji ila umkoaa na Tanzania tu. Soma iyooooo!!!!!!
 
Ondoka hata kesho uone kama hataapishwa mwingine kabla hata hakujapambazuka.
 
Katika list ya nchi zinazodaiwa Tanzania ni nchi ya 99. Bado unapiga kelele nahao walioko juu yetu je utasemaje? Marekani na ukubwa wote ndo kinala wa kudaiwa mbona haumtaji ila umkoaa na Tanzania tu. Soma iyooooo!!!!!!
Mpumbavu mmoja wewe.
Marekani anadaiwa shilingi ngapi? Na anawadai wengine sh ngapi.
Pato lake ni shilingi ngapi na deni lake ni shilingi ngapi?
Takataka wewe
 
Ngoja tuone libeneke litashia wapi,kila anaje ana mikwara yake haya mwisho tutaumbana
 
Huyu jmaa anaanza kutafta sababu ya kutokuondoka. Nyerere mbona aliondoka na hatujawahi pata rais kma yeye.
 
Kuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo.

Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 1, alipokuwa akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Tanzania sasa imekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine.

“Mara nyingi tumeambiwa kuwa Tanzania ni masikini, ninaomba neno hilo tulifute kwani nchi yetu ni tajiri lakini tulitaka kuaminishwa na watu waliotaka kututumia, kuna miradi imetumia matrilioni ya fedha saa nyingine ninajiuliza kweli hili limewezekana, tumeweza maana yake kila palipo na nia Mungu yupo pamoja na sisi,” amesema.

“Siwezi nikasimama mbele za watu nikasema haya ni kwasababu yangu kwani mimi ni dereva tu lakini pia huwa ninajiuliza ikitokea siku Mungu akanichukua hao watakaokuja watayamaliza kweli kwasababu panahitaji moyo, unafanya hivi huku unatukanwa lakini inabidi ufanye kwaajili ya Watanzania, inahitaji kujitoa sadaka ya kweli,” amesema.

“Ninamshukuru Mungu kwa kuendelea kulisimamia taifa hili na ninawashukuru Watanzania wenzangu kwa kuendelea kuniombea na kunipa moyo, nchi yetu sasa imekuwa ya mfano watu wanatuogopa sasa, wapo wanaouliza mnapata wapi fedha mimi ninasema zilikuwa kwa mafisadi sasa zinaenda kwa Watanzania,” amesema.
Hivi DART na terminal III zimeanza kujengwa 2015???? Credit kubwa ni ya nani waziri au raisi?
 
Mataifa ya Africa muda wote yanakuwa kwenye wakati mgumu sana kwa sababu watu ktk mataifa hayo hawajui wanataka nini kutoka kwa viongozi wao muda mwingi ushabiki wa kijinga hutawala kuliko hali hali ilivyo.Makundi yanasigana kutetea viongozi wao katika kambi zao.Unaweza kudhani kwamba anayesema Rais Magufuli ni wa hovyo anatumia akili nyingi kumbe sivyo na vilevile unaweza kukuta anayesema Raisi Magufuli ni mzuri katika kuongoza nae haelewi chochote na hii yote ni sababu muda mwingi watu hulishwa maneno na kamwe hawataki kuongea kile kitokacho katika akili zao wenyewe isipokuwa husubiri watu fulani waseme nao ndio hupata maneno ya kuongea.Kusimama pamoja kama taifa kunahitaji uelewa wa watu na misingi maalumu inayowafanya watu wasimame pamoja kama taifa maana taifa lolote huongozwa na falsafa yake amabayo ndio dira ya taifa husika.Raisi yeyote anaweza kusifiwa sana sana kuwa ameongoza vzr,amedhibiti rushwa,ameleta nidhamu,amedhibiti ufisadi nakadhalika lkn tukumbuke mambo haya yote ili yasimame na taifa lisonge mbele zaidi kimaendeleo yanahitaji mfumo madhubuti ili Rushwa ,Ufisadi, uhujumu uchumi na kila aina ya mambo ambayo yanaweza kufanya taifa lisisonge mbele yasipate nafasi mifumo ikisimama vzr mtu anaweza yeye mwenyewe akajipima kwamba je mm kwa uwezo wangu naweza kuwa kiongozi na nikaongoza watu kule wanakotaka Maana katika eneo lenye kufanyiwa mizaha katika Afrika ni kwenye uongozi.Afrika ni bara ambalo bado wakazi wake wanashabikia watu wanaotafuta sifa ya kuitwa kiongozi na ukiwachunguza hao wanaoshabikiwa hawana hata tone la sifa ya kuwa viongozi.MWL.NYERERE aliwahi kusema hakuna umaskini mkubwa kama ule wa akili ukikupata huo basi wewe ni maskini kweli hata kama unavaa suti na umejawa na utanashati.Ndugu zangu Afrika ya leo inahitaji viongozi na si wahuni wanaojiita viongozi bali watu ambao jamii kwa ujumla wake inaona wanastahili kuitwa viongozi na kusimamia maendeleo yao.
 
Kama CCM kiliweza Kumteua Yeye kuwa ' Flag Bearer ' wake na sasa anafanya hayo mambo makubwa na mazuri basi ni CCM hiyo hiyo tena itampata ' Flag Bearer ' mwingine na huenda akawa ni Mchapakazi, Mtu mzuri na Kipenzi cha Watanzania wengi kama siyo wote kuliko hata Yeye, hivyo nae ataweza Kuifanya Tanzania yetu hii mambo makubwa na ya Kimaendeleo. Alianza Hayati Mwalimu, akaja Mzee Mwinyi, akafuata Mzee Mkapa, halafu Mzee Kikwete na sasa Yeye na atakuja mwingine tena. CCM haikaukiwi Watu wazuri na haina rekodi ya Kukosea katika Kuteuwa Wagombea wake.
20190804_090340.jpg
 
Mbona ana wasiwasi sana na muda wake uliobaki hapa duniani, wakati kwa muonekano wa nje anaonekana kana kwamba ana afya nzuri tu ya kuweza hata kupiga push-up nyingi tu pale airport
 
Eeeeh Bwana Wa Majeshi Mpende Zaidi Rais Wetu kipenzi J.P.M
Amina
 
Kuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo.

Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 1, alipokuwa akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Tanzania sasa imekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine.

“Mara nyingi tumeambiwa kuwa Tanzania ni masikini, ninaomba neno hilo tulifute kwani nchi yetu ni tajiri lakini tulitaka kuaminishwa na watu waliotaka kututumia, kuna miradi imetumia matrilioni ya fedha saa nyingine ninajiuliza kweli hili limewezekana, tumeweza maana yake kila palipo na nia Mungu yupo pamoja na sisi,” amesema.

“Siwezi nikasimama mbele za watu nikasema haya ni kwasababu yangu kwani mimi ni dereva tu lakini pia huwa ninajiuliza ikitokea siku Mungu akanichukua hao watakaokuja watayamaliza kweli kwasababu panahitaji moyo, unafanya hivi huku unatukanwa lakini inabidi ufanye kwaajili ya Watanzania, inahitaji kujitoa sadaka ya kweli,” amesema.

“Ninamshukuru Mungu kwa kuendelea kulisimamia taifa hili na ninawashukuru Watanzania wenzangu kwa kuendelea kuniombea na kunipa moyo, nchi yetu sasa imekuwa ya mfano watu wanatuogopa sasa, wapo wanaouliza mnapata wapi fedha mimi ninasema zilikuwa kwa mafisadi sasa zinaenda kwa Watanzania,” amesema.
Kama hataki kuondoka, aendelee kukaa tu ila kilichomkuta Mugabe na Bashir kinamsubiri. Asije akamlalamikia beberu yeyote.
 
Watakao kuja hawatakuwa kama yeye chuki zitaisha, mauaji, utekaji vitabaki kuwa historia atakaekuja ata create ajira
 
Back
Top Bottom