Tua Ngoma
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 3,350
- 8,836
Anajua yeye na waimba kwaya wake wa kusifu na kuabudu.Kama nchi ni tajiri,hayo wanyonge anayosema kila siku wanatoka wapi?
Anajua yeye na waimba kwaya wake wa kusifu na kuabudu.Kama nchi ni tajiri,hayo wanyonge anayosema kila siku wanatoka wapi?
Kupata vichekesho vyengine kama hivu tuma neno Ccm kwenda kwenda lumumbaMagu akiongoza mpaka 2050 Tanzania inaweza kuwa zaidi ya Hongkong..
braza kwa hiyo unatushauri mbadala wa ccm ni. nani ili tuanze kudadavua kwa sasa mapemaa..?manake usituambie vitu visivyofikirika..au wewe raha yako.ccm itoke tu ibaki hewa au...msijenge hoja ambazo zinawaonyesha jinsi akili zetu zilivyo..mnaaibika..talk sense and provide the.solution..usione aibu kutamka chama chako kama unacho...vinginevyo tutasema mnawafanyia kazi mabwana zenu wa nje wanaowatuma..Tanzania itaanza kuendelea siku watu mkikombolewa toka utumwa wa fikra na mawazo wa ccm otherwise tutaendelea kushangilia ujinga,maana JK and then Magufuli ndo brain and best ccm personnel then kama nchi tunatatizo kubwa na tukiendelea na ccm zaidi tumekwisha
jomba unazungumza nini..mikopo ni business..kila.mtu anamhitaji mwenzake..kama ni hivyo wakae na mikopo yao waile wenyewe tuone kama itawasaidia...mikopo sio misaada jomba..ni fedha zetu ambazo tutazilipa..kila. nchi duniani ina mikopo..na ndio inasaidia kujenga uchumi za nchi..hata Marekani au china zina mikopo.Ungejua hao mabeberu wanaijua Tanzania kuliko hata magufuli wako na ungejua kuwa hayo unayoyaita maendeleo yamefanikiwa kwa pesa za mikopo kutoka kwao na kujengwa na makampuni yao usingejitoa ufahamu
Siyo kwa Tanzania na watawala wetu,unakumbuka Kuna mtu alijisifu pale ubungo wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa interchange kwamba yeye alikuwa mtu wa kwanza kumleta rais wa bank ya dunia nchini?Kilichomshinda kuelewa ni kuwa mkurugenzi au rais wa bank kwenda kumtembelea mteja ambaye benki yake imemkopesha au inatarajia kumkopesha pesa nyingi huwa ni kitu cha kawaida tu.sasa wewe leo unakuja na ngongera uchwarajomba unazungumza nini..mikopo ni business..kila.mtu anamhitaji mwenzake..kama ni hivyo wakae na mikopo yao waile wenyewe tuone kama itawasaidia...mikopo sio misaada jomba..ni fedha zetu ambazo tutazilipa..kila. nchi duniani ina mikopo..na ndio inasaidia kujenga uchumi za nchi..hata Marekani au china zina mikopo.
ok kwa hiyo unamaanisha nini..umeenda nje ya hoja jomba.jitathmini.tena..lakini umeelewa kuwa mikopo.ni.fedha zetu..au bado una imani.mikopo ni.msaada..tu.kwa hoja.uliyoleta ni mfu haina mashiko...watanzania tuko.vizuri...na ukitaka kujua tuko vizuri piga uchaguzi hapo leo uone matokeo.yake.Siyo kwa Tanzania na watawala wetu,unakumbuka Kuna mtu alijisifu pale ubungo wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa interchange kwamba yeye alikuwa mtu wa kwanza kumleta rais wa bank ya dunia nchini?Kilichomshinda kuelewa ni kuwa mkurugenzi au rais wa bank kwenda kumtembelea mteja ambaye benki yake imemkopesha au inatarajia kumkopesha pesa nyingi huwa ni kitu cha kawaida tu.sasa wewe leo unakuja na ngongera uchwara
kwa hiyo wewe unapendekeza mtawala wa aina gani ambaye unadhani angefaa..kwa sasa..tupe majina au chama..ili basi tuone akili yako iko.pana kiasi gani cha kutathmini mambo. usituache hewani hatuna pa.kushikaSiyo kwa Tanzania na watawala wetu,unakumbuka Kuna mtu alijisifu pale ubungo wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa interchange kwamba yeye alikuwa mtu wa kwanza kumleta rais wa bank ya dunia nchini?Kilichomshinda kuelewa ni kuwa mkurugenzi au rais wa bank kwenda kumtembelea mteja ambaye benki yake imemkopesha au inatarajia kumkopesha pesa nyingi huwa ni kitu cha kawaida tu.sasa wewe leo unakuja na ngongera uchwara
watanzania kwa sasa hatuna cha kupoteza,tunajua kuendelea kuwa na ccm ni kuendekeza umasikini kizazi hadi kizazi,ni kuendeleza utawala wa kisanii usio na vision wala dira zaidi ya kulinda makaburi yao.katika mazingira ya namna hiyo mtu mwenye akili hatafuti mbadala maana hana tena la kupoteza,anayetafuta mbadala ni yule aliye na cha kupoteza,Sisi hatuna,kuendelea kuwa na ccm ni shida na hasara kubwa kwetu,kutokuwa na ccm know one knows kwamba tunakuwa na shida na hasara au faida,sasa mtu asiye na la kupoteza una toss tu hiyo coin upande wowote ulioangukia is ok with youbraza kwa hiyo unatushauri mbadala wa ccm ni. nani ili tuanze kudadavua kwa sasa mapemaa..?manake usituambie vitu visivyofikirika..au wewe raha yako.ccm itoke tu ibaki hewa au...msijenge hoja ambazo zinawaonyesha jinsi akili zetu zilivyo..mnaaibika..talk sense and provide the.solution..usione aibu kutamka chama chako kama unacho...vinginevyo tutasema mnawafanyia kazi mabwana zenu wa nje wanaowatuma..
toa.solution mambo ya hatuna cha kupoteza nani.kakwambia..masuala ya.uchumi hayajaribiwi jomba..one mistake.inaweza turudisha nyuma miaka mia moja..hatuwezi ku bet na mambo haya fullstop..kama huna solution ukitutoa ccm unatupeleka wapi na.kwanani kwa sasa na utuhakikishie maisha yetu wananchi basi bora unyamaze...tatizo lenu wengi kwa sababu ya ubinafsi tu na kukosa maslahi fulani mnatamani ccm itoke ili mpate.fursa ya ulaji na ufisadi..hahahaha mmebugi jomba.kama mmetumwa na mabeberu of which is possible basi waambieni wale wananchi wamekataa kugeuzwa geuzwa kama samaki..waambieni watafute nchi nyingine ziko nyingi tuu kulewatanzania kwa sasa hatuna cha kupoteza,tunajua kuendelea kuwa na ccm ni kuendekeza umasikini kizazi hadi kizazi,ni kuendeleza utawala wa kisanii usio na vision wala dira zaidi ya kulinda makaburi yao.katika mazingira ya namna hiyo mtu mwenye akili hatafuti mbadala maana hana tena la kupoteza,anayetafuta mbadala ni yule aliye na cha kupoteza,Sisi hatuna,kuendelea kuwa na ccm ni shida na hasara kubwa kwetu,kutokuwa na ccm know one knows kwamba tunakuwa na shida na hasara au faida,sasa mtu asiye na la kupoteza una toss tu hiyo coin upande wowote ulioangukia is ok with you
nakupa mfano wa China tu hapo..embu tuambie tangu uhuru wao imeshakuwa na vyama.vingapi vya siasa..vipi kuhusu uchumi wake kwa.sasa..sasa wewe unataka.kulinganisha na Tanzania yenye.vyama.25 vya kisiasa..hivi tupo.serious na nchi yetu au tunatumiwa.na. mabeberu..mnataka kutupeleka.wapi au mnataka kuuza nchiwatanzania kwa sasa hatuna cha kupoteza,tunajua kuendelea kuwa na ccm ni kuendekeza umasikini kizazi hadi kizazi,ni kuendeleza utawala wa kisanii usio na vision wala dira zaidi ya kulinda makaburi yao.katika mazingira ya namna hiyo mtu mwenye akili hatafuti mbadala maana hana tena la kupoteza,anayetafuta mbadala ni yule aliye na cha kupoteza,Sisi hatuna,kuendelea kuwa na ccm ni shida na hasara kubwa kwetu,kutokuwa na ccm know one knows kwamba tunakuwa na shida na hasara au faida,sasa mtu asiye na la kupoteza una toss tu hiyo coin upande wowote ulioangukia is ok with you
Mkuu unapiga hesabu za kiccm kujustify ujinga.Kuna mpumbuvu mwenzio pia wa ccm tulikuwa tunajadiri matokeo ya One of the Kayumba primary school pale kigogo Dar,darasa lina watoto 200 harafu wanafaulu kwenda form one watoto 10 yeye anaona yule imefaulisha while in reality hapo ni sawa na hakuna,sasa wewe unakuja na mfano wa kipuuzi wa China.Dunia yetu hii ina nchi ngapi in total,zilizoendelea ni ngapi na zinazoendelea ni ngapi? na kati ya hizo zinazoendelea ni ngapi zimeendelea kwa kutumia mfumo wa china?Je China imewachukua miaka mingapi kufika hapo walipo na Tanzania under ccm tunahitaji miaka mingapi zaidi ili angalau watoto wetu wasikae kwenye fumbi shuleni?WEWE MPUMBAVU TU SAWA NA WAPUMBAVU WENGINE NA NDO MAANA JPM ANASAJIRI TIMU MPYA TOKA UPINZANInakupa mfano wa China tu hapo..embu tuambie tangu uhuru wao imeshakuwa na vyama.vingapi vya siasa..vipi kuhusu uchumi wake kwa.sasa..sasa wewe unataka.kulinganisha na Tanzania yenye.vyama.25 vya kisiasa..hivi tupo.serious na nchi yetu au tunatumiwa.na. mabeberu..mnataka kutupeleka.wapi au mnataka kuuza nchi
Uchumi wetu uko wapi na tukijaribu tutakuwa wipi?toa.solution mambo ya hatuna cha kupoteza nani.kakwambia..masuala ya.uchumi hayajaribiwi jomba..one mistake.inaweza turudisha nyuma miaka mia moja..hatuwezi ku bet na mambo haya fullstop..kama huna solution ukitutoa ccm unatupeleka wapi na.kwanani kwa sasa na utuhakikishie maisha yetu wananchi basi bora unyamaze...tatizo lenu wengi kwa sababu ya ubinafsi tu na kukosa maslahi fulani mnatamani ccm itoke ili mpate.fursa ya ulaji na ufisadi..hahahaha mmebugi jomba.kama mmetumwa na mabeberu of which is possible basi waambieni wale wananchi wamekataa kugeuzwa geuzwa kama samaki..waambieni watafute nchi nyingine ziko nyingi tuu kule
Amsikilize EFF Leader J.Malema alisema Hata Fool anaweza kuwa rais ili mradi azungukwe na wenye akili....Kuwa Rais hakuhitaji kuwa na akili/uwezo or chochote hata Zero Brain anaweza kuwa rais.Kuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo.
Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 1, alipokuwa akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Tanzania sasa imekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine.
“Mara nyingi tumeambiwa kuwa Tanzania ni masikini, ninaomba neno hilo tulifute kwani nchi yetu ni tajiri lakini tulitaka kuaminishwa na watu waliotaka kututumia, kuna miradi imetumia matrilioni ya fedha saa nyingine ninajiuliza kweli hili limewezekana, tumeweza maana yake kila palipo na nia Mungu yupo pamoja na sisi,” amesema.
“Siwezi nikasimama mbele za watu nikasema haya ni kwasababu yangu kwani mimi ni dereva tu lakini pia huwa ninajiuliza ikitokea siku Mungu akanichukua hao watakaokuja watayamaliza kweli kwasababu panahitaji moyo, unafanya hivi huku unatukanwa lakini inabidi ufanye kwaajili ya Watanzania, inahitaji kujitoa sadaka ya kweli,” amesema.
“Ninamshukuru Mungu kwa kuendelea kulisimamia taifa hili na ninawashukuru Watanzania wenzangu kwa kuendelea kuniombea na kunipa moyo, nchi yetu sasa imekuwa ya mfano watu wanatuogopa sasa, wapo wanaouliza mnapata wapi fedha mimi ninasema zilikuwa kwa mafisadi sasa zinaenda kwa Watanzania,” amesema.
Jitathimini mara mbili kwa kumuunga mkono Magufuli, Magufuli hafai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji, na Taarifa za uhakika ni kwamba hana mpango wa kuachia madaraka hata baada ya 2025.Miradi mingi inayotekelezwa Sasa ilikuwa planned miaka mingi iliyopita. Kwa hiyo anayofanya sasa Kuna watu waliyaanzisha lakini hawakuweza kuyakamilisha kwa sababu muda wao uliisha wakaondoka madarakani, Hivyo Basi yeye siyo special sana kiasi kwamba watanzania walio baki hawana uwezo wa kuongoza isipokuwa yeye tu. Kwenye hili hata tunaomuunga mkono tutamkataa.
Roho ya chuki na nakutotopenda kaz anafanya kwa watu wake inakutesa. Ila nataka nikwambie na kukummbusha Marekani imetawaliwa na zaid ya marais 45 ila niwatano tu wanao kumbukwa hivyo Magufuli anasema kweliKabla yake walikuwepo wengine..na watakuja baada yake..
Taga mradi usio na manufaa wewe chokoHivi nyie mabinti wa Siku hizi mnatatizo gani
Haya turuhusu Ushoga kwa kuwa Marekani pia Wameruhusu Ushoga kwa raia wao
We unafurahia Deni kuongezeka kwa kuanzisha Miradi isiyo na manufaa yoyote kwa raia wa kawaida
Haya kale Mataaluma ya Reli