Magufuli: Nikiondoka watakaokuja wataweza?

Magufuli: Nikiondoka watakaokuja wataweza?

wapi huko au zile Azania wamekataliwa kwa riba ya kunyonga wananchi?

Kuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo.

Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 1, alipokuwa akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Tanzania sasa imekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine.

“Mara nyingi tumeambiwa kuwa Tanzania ni masikini, ninaomba neno hilo tulifute kwani nchi yetu ni tajiri lakini tulitaka kuaminishwa na watu waliotaka kututumia, kuna miradi imetumia matrilioni ya fedha saa nyingine ninajiuliza kweli hili limewezekana, tumeweza maana yake kila palipo na nia Mungu yupo pamoja na sisi,” amesema.

“Siwezi nikasimama mbele za watu nikasema haya ni kwasababu yangu kwani mimi ni dereva tu lakini pia huwa ninajiuliza ikitokea siku Mungu akanichukua hao watakaokuja watayamaliza kweli kwasababu panahitaji moyo, unafanya hivi huku unatukanwa lakini inabidi ufanye kwaajili ya Watanzania, inahitaji kujitoa sadaka ya kweli,” amesema.

“Ninamshukuru Mungu kwa kuendelea kulisimamia taifa hili na ninawashukuru Watanzania wenzangu kwa kuendelea kuniombea na kunipa moyo, nchi yetu sasa imekuwa ya mfano watu wanatuogopa sasa, wapo wanaouliza mnapata wapi fedha mimi ninasema zilikuwa kwa mafisadi sasa zinaenda kwa Watanzania,” amesema.
au z
 
Mkuu ina maana Wewe hakuna Jambo lolote Jema ambalo labda unaona Rais Dkt Magufuli amefanya kwa Tanzania zaidi tu ya Wewe kila Uchao unakuwa tu ' Negative ' Kwake? Huyu Baba wa Watu amekukosea nini hadi umeshindwa hata tu Kuficha ' Chuki ' zako Kwake? Duniani kote hakuna Mwanadamu ambaye ni mbaya tu 100% bali kuna maeneo mengine anafanya vyema na mema na hata kama Rais wetu kama Mwanadamu mwingine ana Kasoro zake za Kimsingi ila sitaki Kuamini kwamba hana Mazuri yake Kwetu Watanzania bila kujali tofauti zetu za Kisiasa.

Mbona Mimi ni mwana CCM ( japo ni Shabiki wake tu sijawa bado Mwanachama Kamili ila nakaribia Kuanza Mchakato wa kuwa Mwanachama ) lakini nimekuwa nikipenda sana Mawazo ' Chanya ' ya Wapinzani hasa wa kutoka CHADEMA, ACT na CUF na nimeshawahi hata Kuanzisha Mada hapa za Kuwasifia ila sijawahi hata Siku moja eti kwakuwa Mimi ni mwana CCM basi muda wote ( kila mara ) niwe nawachukia tu Wapinzani wa Tanzania.

Nakukubali sana kwa Michango yako ila punguza kuwa ' biased ' Mkuu na jifunze Kufanya ' Critique ' na siyo ' Criticize ' pekee kwani hiyo haijengi na wala haina Afya katika Ustawi wetu mzima wa Kisiasa na Kidemokrasia. Hata Mimi pamoja na kwamba ni mwana CCM ila kuna baadhi ya mambo ambayo Mheshimiwa Rais anakuwa anayafanya na Sipendezwi nayo ila sijamchukia kama unavyomchukia hivi Wewe hasa nikiamini kwamba Sisi Wanadamu hatujakamilika hivyo yatupasa Kutiana Moyo na Kusameheana pale Mmoja wetu anapokengeuka ( anapokosea ) na tunavumilia.

Tumsaidie Mheshimiwa Rais wetu wa Kumsema kwa Kumjenga na siyo Kumsema kwa Kumdhihaki na Kumuonyesha wazi wazi kabisa kuwa ' tunamchukia ' na kwamba hana hata Jambo moja jema alilolifanya tokea awe Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tupunguze kuwa Wanafiki na Watu tunaongozwa na ' Chuki ' zilizopitiliza huku tukijua fika kuwa hata Sisi tuliopo nyuma ya hizi ' Keyboards ' nasi yawezekana tukawa na ' Mapungufu ' makubwa kuliko hata aliyonayo Rais wetu JPM.

Yangu ni haya tu Mkuu na naomba Radhi kama Uwasilishaji wangu huu utakuwa umekukwaza kwa namna moja au nyingine ila binafsi kama GENTAMYCINE nakukubali mno ( na nadhani hata Wewe unalijua ) hili ila nakuomba punguza kuwa ' negative ' na ' biased ' kila mara juu ya Rais JPM na pale ambapo amepatia basi uwe pia unamkongole ( unamsifia )
Naongea kutoka ndani ya moyo wangu hakuna mtu ninaemchukia kama mtu muonevu.kabomolea watu nyumba ubungo,kanyang'anya watu korosho,tundu lissu kapigwa risasi,benni saanane kapotea,kala hella za lambilambi bukoba, you can add
 
braza kwa hiyo unatushauri mbadala wa ccm ni. nani ili tuanze kudadavua kwa sasa mapemaa..?manake usituambie vitu visivyofikirika..au wewe raha yako.ccm itoke tu ibaki hewa au...msijenge hoja ambazo zinawaonyesha jinsi akili zetu zilivyo..mnaaibika..talk sense and provide the.solution..usione aibu kutamka chama chako kama unacho...vinginevyo tutasema mnawafanyia kazi mabwana zenu wa nje wanaowatuma..
[/QUOTEccm ya leo yenye wapumbavu na mazuzu wengi inaongoza nchi,kwanini wengine washin
 
Ccm ya leo imejaa mazuzu na wajinga kuanzia juu mpaka chini na inaongoza nchi.kwanini wengine washindwe
 
Kuna ukweli kutokana na viongozi waliopo wengi wao ni watu wa kuongozwa sio wenye sifa za kuongoza bila ya kusahau hawana vision, Magu hana mpinzani kwa mustakabali wa maendeleo.

Tatizo ya kauli hiyo ni kwamba ina element za mtu anae elekea kuwa dictator, wote duniani ukisoma historia zao ufikia mahala kuanza kuamini uwepo wao ni kwa sababu za kutoka mbinguni na hakuna zaidi yao.

Kiongozi atakiwi kujipa sifa kama hizo anatakiwa kujishusha jamii ndio impandishe kwa kazi yake.
 
Wabongo tuwe na Moyo wa Shukrani. Eti mtu anauliza kafanya kipi cha maana? Hivi ni kweli hatuoni anayofanya JPM? tuache utoto: SGR project, STIGLER'S GORGE project, INFRASTRUCTURE projects, MADEGE MAKUBWA na MADOGO n. k
 
Huyu ni kichaa kama anavyojiita kwani kabla yake nchi ilisimama
 
Jengo lenyewe ni kwa ajir ya wageni/ waendao ngambo mim wa katavi- Dar nanufaikaje na hilo dude, wee nifungie umeme na maji na unitoe kwenye barabara za vumbi inatosha na hiyo ndio miradi inayowagusa watanzania wote.
 
Kama kuna Rais atakuja kukumbukwa na vizazi na vizazi vya taifa hili, basi ni Ndugu John joseph Magufuli.
Kwa dhati kabisa ndani ya Moyo wangu namshukuru Mungu kwa ajili yake. Huyu Rais Ametoka kwa Mungu na Mungu Ametupa kama zawadi watanzania.
Mimi ni mfanyabiashara na mchumi. Nikiitazama tanzania miaka 10 ijayo tanzania itakua imepaa kabisa katika nyanja ya uchumi, kutokana na miradi inayo jengwa na serikali chini ya Mtukufu wetu Ndg Magufuli.
chamsingi.
watanzania tuache tabia ya kulalamikia serikali. Serikali haiko kumtajirisha mwananchi kwa kumwekea pesa mifukoni.
kazi ya serikali ni kujenga miundo mbinu ya kisasa naya uhakika. Itakayomwezesha mwananchi kuitumia na kujiingizia kipato na kukuza uchumi wake.
Mfano mdogotu reli ya SGR Hii itakua mkombozi mkubwa sana kwetu wafanyabiashara kwa kusafirisha bidhaa zetu mikoani na kwa bei nafuu. Kutakaopelekea mfumuko wa bei kwa wananchi kushuka.
niwito wangu kwa kila mtanzania kumwunga mkono ndugu yetu Magufuli na kumwombea.
Miaka 4 inatosha sana kuona mabadiriko ya kiongonzi kwa wananchi wake, mabadiriko taliyopo kwa kasi ni ukosefu wa ajira kuzidi kuongezeka shukuru mungu na wew
Kama kuna Rais atakuja kukumbukwa na vizazi na vizazi vya taifa hili, basi ni Ndugu John joseph Magufuli.

Kwa dhati kabisa ndani ya Moyo wangu namshukuru Mungu kwa ajili yake. Huyu Rais Ametoka kwa Mungu na Mungu Ametupa kama zawadi watanzania.

Mimi ni mfanyabiashara na mchumi. Nikiitazama tanzania miaka 10 ijayo tanzania itakua imepaa kabisa katika nyanja ya uchumi, kutokana na miradi inayo jengwa na serikali chini ya Mtukufu wetu Ndg Magufuli.

chamsingi.
watanzania tuache tabia ya kulalamikia serikali. Serikali haiko kumtajirisha mwananchi kwa kumwekea pesa mifukoni.

kazi ya serikali ni kujenga miundo mbinu ya kisasa naya uhakika. Itakayomwezesha mwananchi kuitumia na kujiingizia kipato na kukuza uchumi wake.

Mfano mdogotu reli ya SGR Hii itakua mkombozi mkubwa sana kwetu wafanyabiashara kwa kusafirisha bidhaa zetu mikoani na kwa bei nafuu. Kutakaopelekea mfumuko wa bei kwa wananchi kushuka.

niwito wangu kwa kila mtanzania kumwunga mkono ndugu yetu Magufuli na kumwombea.
Umeme wa gesi vp????
 
Once upon a time There was a Man by the name J.K.Nyerere and the rest is history!
 
Hivi nyie mabinti wa Siku hizi mnatatizo gani
Haya turuhusu Ushoga kwa kuwa Marekani pia Wameruhusu Ushoga kwa raia wao

We unafurahia Deni kuongezeka kwa kuanzisha Miradi isiyo na manufaa yoyote kwa raia wa kawaida

Haya kale Mataaluma ya Reli
Hospital za wilaya hazina faida. Stiglas goji haina faida. Vtuo vya afya havina faida elimu bure haina faida. Sgr haina faida upanuzi wa bandari dar haun faida ujenzi wa miundombinu dar es salam haunafaida aheni kukariri nyie.
 
Sio kama hataki tu kuachia madaraka bali anachukuwa credits za kazi zilizofanywa na waliomtangulia pia. Angekuwa na akili asingesema haya ktk uzinduzi wa uwanja ambao ulianza kujengwa kabla yake. Isitoshe maendeleo tunayoyaona yanatokana na majasho ya Watanzania wote bila kujali itikadi.
 
Back
Top Bottom