Hivi wewe mchumi na mfanyabiashara umeolewa? Maana jinsi ulivyoandika ni kama unatafuta bwana!Kama kuna Rais atakuja kukumbukwa na vizazi na vizazi vya taifa hili, basi ni Ndugu John joseph Magufuli.
Kwa dhati kabisa ndani ya Moyo wangu namshukuru Mungu kwa ajili yake. Huyu Rais Ametoka kwa Mungu na Mungu Ametupa kama zawadi watanzania.
Mimi ni mfanyabiashara na mchumi. Nikiitazama tanzania miaka 10 ijayo tanzania itakua imepaa kabisa katika nyanja ya uchumi, kutokana na miradi inayo jengwa na serikali chini ya Mtukufu wetu Ndg Magufuli.
chamsingi.
watanzania tuache tabia ya kulalamikia serikali. Serikali haiko kumtajirisha mwananchi kwa kumwekea pesa mifukoni.
kazi ya serikali ni kujenga miundo mbinu ya kisasa naya uhakika. Itakayomwezesha mwananchi kuitumia na kujiingizia kipato na kukuza uchumi wake.
Mfano mdogotu reli ya SGR Hii itakua mkombozi mkubwa sana kwetu wafanyabiashara kwa kusafirisha bidhaa zetu mikoani na kwa bei nafuu. Kutakaopelekea mfumuko wa bei kwa wananchi kushuka.
niwito wangu kwa kila mtanzania kumwunga mkono ndugu yetu Magufuli na kumwombea.
Sizan kama uwa anafikiria AbachokisemKuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo.
Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 1, alipokuwa akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Tanzania sasa imekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine.
“Mara nyingi tumeambiwa kuwa Tanzania ni masikini, ninaomba neno hilo tulifute kwani nchi yetu ni tajiri lakini tulitaka kuaminishwa na watu waliotaka kututumia, kuna miradi imetumia matrilioni ya fedha saa nyingine ninajiuliza kweli hili limewezekana, tumeweza maana yake kila palipo na nia Mungu yupo pamoja na sisi,” amesema.
“Siwezi nikasimama mbele za watu nikasema haya ni kwasababu yangu kwani mimi ni dereva tu lakini pia huwa ninajiuliza ikitokea siku Mungu akanichukua hao watakaokuja watayamaliza kweli kwasababu panahitaji moyo, unafanya hivi huku unatukanwa lakini inabidi ufanye kwaajili ya Watanzania, inahitaji kujitoa sadaka ya kweli,” amesema.
“Ninamshukuru Mungu kwa kuendelea kulisimamia taifa hili na ninawashukuru Watanzania wenzangu kwa kuendelea kuniombea na kunipa moyo, nchi yetu sasa imekuwa ya mfano watu wanatuogopa sasa, wapo wanaouliza mnapata wapi fedha mimi ninasema zilikuwa kwa mafisadi sasa zinaenda kwa Watanzania,” amesema.
Hii sasa kaiona kama nchi yake yani hafikirii mtu mwingine kuongoza yeye akiwa hai.
Bila shaka wewe ndio magufuli maana sio kwa povu hilo aseeWengi wenu mliyokomenti ni wapumbafu sana aisee!! Vipofu na viziwi sijui mlizaliwa nchi gani na sijui kama mlishapata uraia!!
Hii ni kweli kabisa. Kama ikitokea huyu bwana Mkubwa akaondoka basi hii miradi yote itakufa au itachukua decades kumalizika. Kiuhalisia anatakiwa apewe muda amalizie mambo yake .... Ila chonde chonde, Mheshimiwa ahakikishe anamaliza miradi yake kwenye kipindi chake ili asije kutuachia maWhite Elephants kila kona kama vile mwenzake alivyotuachia Hewa kina hawali..........!!“Siwezi nikasimama mbele za watu nikasema haya ni kwasababu yangu kwani mimi ni dereva tu lakini pia huwa ninajiuliza ikitokea siku Mungu akanichukua hao watakaokuja watayamaliza kweli kwasababu panahitaji moyo, unafanya hivi huku unatukanwa lakini inabidi ufanye kwaajili ya Watanzania, inahitaji kujitoa sadaka ya kweli,” amesema.
Hivi huo uwanja alijenga yeye 2013??Hizi mada hizi usipochangia kwa umakini na tafakuri unaweza kujikuta mtini huko kimbiji
Kwahiyo hataki kuondoka?
Mbona yeye anazidua na kufungua miradi iliyoachwa na kuazishwa kipind cha awamu ya nne...sema tu anataka legality kuhararisha mpango wake wakubaki na kufia madarakani...tujiandaeni kisaikolojia tu.Hii ni kweli kabisa. Kama ikitokea huyu bwana Mkubwa akaondoka basi hii miradi yote itakufa au itachukua decades kumalizika. Kiuhalisia anatakiwa apewe muda amalizie mambo yake .... Ila chonde chonde, Mheshimiwa ahakikishe anamaliza miradi yake kwenye kipindi chake ili asije kutuachia maWhite Elephants kila kona kama vile mwenzake alivyotuachia Hewa kina hawali..........!!
Kaleta wasiojulikana,atakumbukwa kwa hilo.Kafanya kipi cha maana kwanza tuanzie hapo
Kuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo.
Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 1, alipokuwa akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Tanzania sasa imekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine.
“Mara nyingi tumeambiwa kuwa Tanzania ni masikini, ninaomba neno hilo tulifute kwani nchi yetu ni tajiri lakini tulitaka kuaminishwa na watu waliotaka kututumia, kuna miradi imetumia matrilioni ya fedha saa nyingine ninajiuliza kweli hili limewezekana, tumeweza maana yake kila palipo na nia Mungu yupo pamoja na sisi,” amesema.
“Siwezi nikasimama mbele za watu nikasema haya ni kwasababu yangu kwani mimi ni dereva tu lakini pia huwa ninajiuliza ikitokea siku Mungu akanichukua hao watakaokuja watayamaliza kweli kwasababu panahitaji moyo, unafanya hivi huku unatukanwa lakini inabidi ufanye kwaajili ya Watanzania, inahitaji kujitoa sadaka ya kweli,” amesema.
“Ninamshukuru Mungu kwa kuendelea kulisimamia taifa hili na ninawashukuru Watanzania wenzangu kwa kuendelea kuniombea na kunipa moyo, nchi yetu sasa imekuwa ya mfano watu wanatuogopa sasa, wapo wanaouliza mnapata wapi fedha mimi ninasema zilikuwa kwa mafisadi sasa zinaenda kwa Watanzania,” amesema.
Hizo 51triol ni JPM au vipi?siyo tangu 1975 wakati wa Nyerere. Kuna madeni ya Vita vya Kagera, Mwinyi. Mkapa. Kikwete. Kama ni hivyo mbona tunarundukia hivyo?Zilikuwa kwa mafisadi na deni la taifa linafikia trl 51.
Uzuri wa kuongoza wapumbavu ndo huu.
Na Nyerere aliimalizi nchi hii hivyohivyo. Akamwanchia Mwinyi nchi aina pesa. zee la watu akakopa pesa za kuwalipa wanajeshi na Walimu toka India kwa mama Gandi. Na kurungulia biashara kwa watu ndipo tukaanza utapeli na biashara bila kulipa Kodi. Watu tukawa na pesa nyingi Sana, kuliko ST pesa Hadi kwenye viatu soski. Mkapa akarekebisha Sana. Kikwete akazila bila utaratibi, akaachia goli Kama Mzee mwenyi.......Kikwete ni mpumbavu sana, Mwalimu Nyerere aliona mbali sana, alijua kabisa kuwa Kikwete hafai kuwa Rais alijua angeiacha nchi pabaya mno sasa nyote mmeona
Huwa wanaanzaga hivi hivi kujiona "Saviours"
Kisha wanajiaminisha kuwa bila wao "Taifa halipo"
Kaondoka Nyerere na bado tunadunda itakuwa nani tena mwingine?