MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,119
Wanalinda matumbo yaoLakini wana CCM kama Makonda, Hapi, Muro na wengine wa aina hiyo hawakubaliani na hiyo kauli ya "mshamba" na wako radhi kumtenda mabaya anayefikiri hivyo
Wanalinda matumbo yaoLakini wana CCM kama Makonda, Hapi, Muro na wengine wa aina hiyo hawakubaliani na hiyo kauli ya "mshamba" na wako radhi kumtenda mabaya anayefikiri hivyo
Nikweli Dubai inakua yenyewe baada ya kukaribisha wawekezaji na kupunguza kodi imekua kimbilio kwa mitaji toka nje .na hakuna utekaji na mauaji kama anavyofanya huyu mhutu mshambaTunaishi ili tu enjoy maisha na ndio makusudio ya Mungu.
Hata maendeleo ni hatua kwa hatua, hivyo huwezi lazimisha Tanzania kuwa kama Dubai kwa mwaka mmoja ila malengo yaweza kuwa hayo. Huwezi lazimisha jambo kwa kuteka, kushambulia na kuua ili kutimiza malengo ya haraka
Kwahiyo hataki kuondoka?
Kwamba akichukuliwa na Mungu hajui kama atapatikana mwingine wa kuweza kuendeleza nchi? Ndio hawezi kupatikana ndani ya chama chake CCM lakini nchi kama Tanzania bado inao watu wengi wa kuweza kuongoza kuleta maendeleo na kubwa zaidi FURAHA YA KUISHI ULIMWENGUNI KAMA WATANZANIA.
Aondoke 2020 kisha Mungu ampe maisha marefu ili ajionee Tanzania yenye maisha ya neema na vicheko badala ya Hofu, vilio, utekaji na mauaji ya siri dhidi ya raia wema.View attachment 1170063
Kwamba akichukuliwa na Mungu hajui kama atapatikana mwingine wa kuweza kuendeleza nchi? Ndio hawezi kupatikana ndani ya chama chake CCM lakini nchi kama Tanzania bado inao watu wengi wa kuweza kuongoza kuleta maendeleo na kubwa zaidi FURAHA YA KUISHI ULIMWENGUNI KAMA WATANZANIA.
Aondoke 2020 kisha Mungu ampe maisha marefu ili ajionee Tanzania yenye maisha ya neema na vicheko badala ya Hofu, vilio, utekaji na mauaji ya siri dhidi ya raia wema.View attachment 1170063
Of course tunaweza kujenga miradi hiyo bila kuuwana wala kutekana. Huyu jamaa ni failure kwa kudhani vitu ni muhimu kuliko uhai.Aiseee,pamoja na miradi ya maendeleo,mimi nikisikia mambo ya kutekana na kuuana huwa naukatia tamaa kabisa uongozi uliopo!
Unaongelea idara ya intelijensia ya chadema?Huwezi lazimisha jambo kwa kuteka, kushambulia na kuua ili kutimiza malengo ya haraka
Mkuu GENTAMYCINE hivi Rais anachaguliwa ili afanye nini zaidi ya kuleta maendeleo? Kujenga umoja na kuhakikisha Uhuru wa RAIA unazingatiwa? Mfariji mkuu kwa kila mtu na sio chama chake, ukoo wake na wanao muhusu tuu?Mkuu ina maana Wewe hakuna Jambo lolote Jema ambalo labda unaona Rais Dkt Magufuli amefanya kwa Tanzania zaidi tu ya Wewe kila Uchao unakuwa tu ' Negative ' Kwake? Huyu Baba wa Watu amekukosea nini hadi umeshindwa hata tu Kuficha ' Chuki ' zako Kwake? Duniani kote hakuna Mwanadamu ambaye ni mbaya tu 100% bali kuna maeneo mengine anafanya vyema na mema na hata kama Rais wetu kama Mwanadamu mwingine ana Kasoro zake za Kimsingi ila sitaki Kuamini kwamba hana Mazuri yake Kwetu Watanzania bila kujali tofauti zetu za Kisiasa.
Mbona Mimi ni mwana CCM ( japo ni Shabiki wake tu sijawa bado Mwanachama Kamili ila nakaribia Kuanza Mchakato wa kuwa Mwanachama ) lakini nimekuwa nikipenda sana Mawazo ' Chanya ' ya Wapinzani hasa wa kutoka CHADEMA, ACT na CUF na nimeshawahi hata Kuanzisha Mada hapa za Kuwasifia ila sijawahi hata Siku moja eti kwakuwa Mimi ni mwana CCM basi muda wote ( kila mara ) niwe nawachukia tu Wapinzani wa Tanzania.
Nakukubali sana kwa Michango yako ila punguza kuwa ' biased ' Mkuu na jifunze Kufanya ' Critique ' na siyo ' Criticize ' pekee kwani hiyo haijengi na wala haina Afya katika Ustawi wetu mzima wa Kisiasa na Kidemokrasia. Hata Mimi pamoja na kwamba ni mwana CCM ila kuna baadhi ya mambo ambayo Mheshimiwa Rais anakuwa anayafanya na Sipendezwi nayo ila sijamchukia kama unavyomchukia hivi Wewe hasa nikiamini kwamba Sisi Wanadamu hatujakamilika hivyo yatupasa Kutiana Moyo na Kusameheana pale Mmoja wetu anapokengeuka ( anapokosea ) na tunavumilia.
Tumsaidie Mheshimiwa Rais wetu wa Kumsema kwa Kumjenga na siyo Kumsema kwa Kumdhihaki na Kumuonyesha wazi wazi kabisa kuwa ' tunamchukia ' na kwamba hana hata Jambo moja jema alilolifanya tokea awe Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tupunguze kuwa Wanafiki na Watu tunaongozwa na ' Chuki ' zilizopitiliza huku tukijua fika kuwa hata Sisi tuliopo nyuma ya hizi ' Keyboards ' nasi yawezekana tukawa na ' Mapungufu ' makubwa kuliko hata aliyonayo Rais wetu JPM.
Yangu ni haya tu Mkuu na naomba Radhi kama Uwasilishaji wangu huu utakuwa umekukwaza kwa namna moja au nyingine ila binafsi kama GENTAMYCINE nakukubali mno ( na nadhani hata Wewe unalijua ) hili ila nakuomba punguza kuwa ' negative ' na ' biased ' kila mara juu ya Rais JPM na pale ambapo amepatia basi uwe pia unamkongole ( unamsifia )
Usipomsifia hupati uteuzi ukimkosoa unaliwa kichwa Mungu hayuko hivyoMkuu GENTAMYCINE hivi Rais anachaguliwa ili afanye nini zaidi ya kuleta maendeleo? Kujenga umoja na kuhakikisha Uhuru wa RAIA unazingatiwa? Mfariji mkuu kwa kila mtu na sio chama chake, ukoo wake na wanao muhusu tuu?
Kiongozi akikosa hayo hafai hata kidogo. Rais ni mtumishi na. 1 katika nchi na tunamlipa na kumtunza vizuri hata kumlinda kuliko kiumbe yeyote katika nchi.
Pamoja na washauri wataalamu katika kila fani kumzunguka, ukiona makosa yanakuwa mengi neno "ni binadamu naye anakosea" linaondolewa na anakuwa ni mtu ambaye HAFAI apewe mwingine ASAP.
Huyu wa kwetu amekwama kusimamia maisha ya raia hayo mengine yanaweza kufanywa na yeyote ikiwa kuna nia.
Kwa hiyo sisi hatumchukii bali tunampenda sana hivyo kumshauri 2020 apumzike maana hayo ya kusema eti Mungu akimchukua hajui nani atafanya baada yake ni kauli mbaya sana
Kuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo.
Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 1, alipokuwa akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Tanzania sasa imekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine.
“Mara nyingi tumeambiwa kuwa Tanzania ni masikini, ninaomba neno hilo tulifute kwani nchi yetu ni tajiri lakini tulitaka kuaminishwa na watu waliotaka kututumia, kuna miradi imetumia matrilioni ya fedha saa nyingine ninajiuliza kweli hili limewezekana, tumeweza maana yake kila palipo na nia Mungu yupo pamoja na sisi,” amesema.
“Siwezi nikasimama mbele za watu nikasema haya ni kwasababu yangu kwani mimi ni dereva tu lakini pia huwa ninajiuliza ikitokea siku Mungu akanichukua hao watakaokuja watayamaliza kweli kwasababu panahitaji moyo, unafanya hivi huku unatukanwa lakini inabidi ufanye kwaajili ya Watanzania, inahitaji kujitoa sadaka ya kweli,” amesema.
“Ninamshukuru Mungu kwa kuendelea kulisimamia taifa hili na ninawashukuru Watanzania wenzangu kwa kuendelea kuniombea na kunipa moyo, nchi yetu sasa imekuwa ya mfano watu wanatuogopa sasa, wapo wanaouliza mnapata wapi fedha mimi ninasema zilikuwa kwa mafisadi sasa zinaenda kwa Watanzania,” amesema.
Hivi nyie fisi wa Lumumba ubongo wenu huwa mnatumia kujisaidia tu? Ni kua deni la USA pamoja na kua kubwa lina uwiano na ukubwa wa uchumi wake!Bora deni likue tu lakini tunaona miradi kama hiyo, kwani hakuna nchi isiyodaiwa waulize USA wana deni kiasi gani kwa wachina.
Mungu hawezi kumchukua mtu mwovu, atachukuliwa na baba yake ibilisi (joka)!Na kuondoka kwenyewe amesema "Mungu akinichukua" , so read between the lines.