Magufuli: Nikiondoka watakaokuja wataweza?

Kila zama na zama zake na sera zake na vipaumbele vyake...

Kama walioyopita walifanya yao, na atakayekuja nae atafanya yake...

Cc: mahondaw
 
Kuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo.

Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 1, alipokuwa akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Tanzania sasa imekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine.

“Mara nyingi tumeambiwa kuwa Tanzania ni masikini, ninaomba neno hilo tulifute kwani nchi yetu ni tajiri lakini tulitaka kuaminishwa na watu waliotaka kututumia, kuna miradi imetumia matrilioni ya fedha saa nyingine ninajiuliza kweli hili limewezekana, tumeweza maana yake kila palipo na nia Mungu yupo pamoja na sisi,” amesema.

“Siwezi nikasimama mbele za watu nikasema haya ni kwasababu yangu kwani mimi ni dereva tu lakini pia huwa ninajiuliza ikitokea siku Mungu akanichukua hao watakaokuja watayamaliza kweli kwasababu panahitaji moyo, unafanya hivi huku unatukanwa lakini inabidi ufanye kwaajili ya Watanzania, inahitaji kujitoa sadaka ya kweli,” amesema.

“Ninamshukuru Mungu kwa kuendelea kulisimamia taifa hili na ninawashukuru Watanzania wenzangu kwa kuendelea kuniombea na kunipa moyo, nchi yetu sasa imekuwa ya mfano watu wanatuogopa sasa, wapo wanaouliza mnapata wapi fedha mimi ninasema zilikuwa kwa mafisadi sasa zinaenda kwa Watanzania,” amesema.
Jana ilikuwa mwisho wa mwezi hivyo simlaumu
 
mwemwemweee uraisi mtamu nyiee! jiwe hang`oki kwa mabox ya kura
 
  1. Kwani ataishi milele? Kama sivyo hakuna haja ya Kuhofia watakaotawala baada yake. Afanye sehemu yake, muda wake ukiisha atawale mwingine. Ndiyo asili ya maisha ya mwanadamu. Hakuna 'super man'. Tumetoka mavumbini na mavumbini tutarudi. Kila mtu anapitia hatua za maisha: Utoto(analelewa), utu uzima (anafanya mambo mengi kwa utashi wake. Ana nguvu na uwezo) halafu anahitimisha na uzee( analelewa/anasaidiwa. Anafurahia juhudi zake. Anaheshimiwa. Au anajutia uzembe wake. Anadhalilika). Hizi mbwembwe za mimi ndio naweza wengine hawataweza hazitusaidii. Wapo wanaoweza ambao hawajakaa kwenye nafasi. Wakichelewa hawatakaa kwenye nafasi kabisa. Hawatuumizi vichwa. Kila siku wapo wanaozaliwa, wanaokua, wanaopevuka, wanaozeeka hadi wanaoifariki dunia. Ndio mzunguko wa maisha ya kila mtu. Mwalimu J. K. Nyerere aliwahi kusema kuwa wasaidizi wake walikuwa wakimuambia kuwa akiondoka nchi itaharibika. Alipoona siku zinaenda nae uwezo wake hauongezeki akatoka. Baadae ndipo alipogundua wale waliokuwa wakimshawishi kuwa yeye tu ndiye anayeweza, walikuwa wanajitahidi kulinda nyadhifa zao wakihofia kuwa akiondoka hatakuwa kwenye nyadhifa hizo tena. Tumshukuru Mungu kwa mema tunayoyapata katika utawala wake. Na yeye pia ana udhaifu wake ambao watakaotawala baada yake watakuwa na kazi ya kurekebisha na kufanya yao kama anavyofanya / kwa jinsi hiyo hiyo anayofanya. Hatuna haja ya kuumiza vichwa kwa hilo.
 
Hii ni kweli kabisa. Kama ikitokea huyu bwana Mkubwa akaondoka basi hii miradi yote itakufa au itachukua decades kumalizika. Kiuhalisia anatakiwa apewe muda amalizie mambo yake .... Ila chonde chonde, Mheshimiwa ahakikishe anamaliza miradi yake kwenye kipindi chake ili asije kutuachia maWhite Elephants kila kona kama vile mwenzake alivyotuachia Hewa kina hawali..........!!
Kumbe jana mmezindua hewa? maana ila terminal three ni made by Jakaya Kikwete
 
Kauli ya JPM inaelezea mengi sana:
1. Kwamba anawadharau watanzania wengine wote!
2. Kwamba ana ndoto za kutawala hadi "Mungu atakapomchukua"
3. Kwamba kumbe wanaomkosoa anahisi kama wanamtukana
4. Kwamba bila shaka hawapendi wale "wanaomtukana"
5. Kwamba yupo nyuma ya udhalimu unaotendeka dhidi ya wote "wanaomtukana"

Ongezeni mengine jamani..!
Anajiona ni Mungu wa Tanzania, Kuna siku atataka watanzania wamshujudie
 
Kuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo.

Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 1, alipokuwa akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Tanzania sasa imekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine.

“Mara nyingi tumeambiwa kuwa Tanzania ni masikini, ninaomba neno hilo tulifute kwani nchi yetu ni tajiri lakini tulitaka kuaminishwa na watu waliotaka kututumia, kuna miradi imetumia matrilioni ya fedha saa nyingine ninajiuliza kweli hili limewezekana, tumeweza maana yake kila palipo na nia Mungu yupo pamoja na sisi,” amesema.

“Siwezi nikasimama mbele za watu nikasema haya ni kwasababu yangu kwani mimi ni dereva tu lakini pia huwa ninajiuliza ikitokea siku Mungu akanichukua hao watakaokuja watayamaliza kweli kwasababu panahitaji moyo, unafanya hivi huku unatukanwa lakini inabidi ufanye kwaajili ya Watanzania, inahitaji kujitoa sadaka ya kweli,” amesema.

“Ninamshukuru Mungu kwa kuendelea kulisimamia taifa hili na ninawashukuru Watanzania wenzangu kwa kuendelea kuniombea na kunipa moyo, nchi yetu sasa imekuwa ya mfano watu wanatuogopa sasa, wapo wanaouliza mnapata wapi fedha mimi ninasema zilikuwa kwa mafisadi sasa zinaenda kwa Watanzania,” amesema.
,Huyu jamaa bana, a few flyovers here and there ashajiona indispensable
 
Kabla hajaondoka abadilishe katiba vinginevyo hiyo miradi watauziwa wawekezaji serikali haina helaaa
 
Back
Top Bottom