Atoki leo Wala kesho atafia madarakani kwa msaada wa wanufaikaNdege zina makando kando mengi kuna ufisadi mwingi akiingia Rais mpya ndipo uchunguzi utafanyika vizuri
Atoki leo Wala kesho atafia madarakani kwa msaada wa wanufaikaNdege zina makando kando mengi kuna ufisadi mwingi akiingia Rais mpya ndipo uchunguzi utafanyika vizuri
Ukarimu wetu watz ndo utuponzaga,watu wanavuka mipaka wanafata malisho ya mifugo nchini kwetu Kisha wanajichomeka cccm ili kuficha uraia wao then wanashiriki kukatakata mapanga watz wenzetu nyakati za uchaguzi baada ya mda upewa vyeo wakipata nafasi ndo uanza kutuumizaUpo ufisadi wa kutisha humo
Hamshangai mkiandamana mnapita kwenye rami? Juzi tu nimesafirisha mazao yangu kutoka maswenkeni kijiji cha Udongo Ipole Sikonge! Ilikuwa kwenda mjini gari Mara mbili kwa week, na ukiikosa saa 10 usiku mpaka week ingine! Sasa hivi nadunda na kistareti change shunting hata Mara kumi! Tatizo mnataka eti "Uhuru" wa kutukana na kuandamana! Hebu acheni ujinga mfanye kazi! Mkibwatuka bila kufanya kazi mfe tu kwa hizo njaaa!Katika vipaumbele vyote vya taifa, je, ndege ndicho hasa watanzania wanachohitaji?
Hizi ndege za magufuli zina malengo ya dhati ya kuinua maisha ya watanzania ama kuna ajenda nyingine isiyojulikana?
Watu wetu wanalia na umasikini, ajira, mifuko ya hifadhi ya jamii, mikopo, afya, maji, umeme, makazi duni, elimu duni, kilimo duni, mishahara kiduchu na mengine mengi, hayo yote hayana umuhimu kwake isipokuwa ndege tu?
Tunahitaji sera za magufuli ziguse watu. Miaka sita sasa ajira hakuna vijana wanahangaika tu mitaani kama yatima lakini yeye hana habari. Ati nendeni mkajiajiri!
Hizo ndege zina msaada gani kama haziweza kuinua maisha ya watu?? au ni kutafuta ujiko tu na kulimbuka?
View attachment 1553604
Economic of scale haijaangaliwa hapaThink twice,,,,,
Hizo ndege hazitoi ajira?
Mwenye chuki ni chuki tu hata jema halioni.
Juzi tu tuliwafurumusha operations sangara, mlivyovimbisha mishipa bungeni hadi Kagasheki kajiuzuru, wapinzani sijui mnataka nini, walahi ikulu mtaisikia tu! Labda muendelee kuwa na raisi wa twita na mabeberu, sio TanzaniaUkarimu wetu watz ndo utuponzaga,watu wanavuka mipaka wanafata malisho ya mifugo nchini kwetu Kisha wanajichomeka cccm ili kuficha uraia wao then wanashiriki kukatakata mapanga watz wenzetu nyakati za uchaguzi baada ya mda upewa vyeo wakipata nafasi ndo uanza kutuumiza
Hakuna mtu asiyetaka kufanya kazi ataishije SasaHamshangai mkiandamana mnapita kwenye rami? Juzi tu nimesafirisha mazao yangu kutoka maswenkeni kijiji cha Udongo Ipole Sikonge! Ilikuwa kwenda mjini gari Mara mbili kwa week, na ukiikosa saa 10 usiku mpaka week ingine! Sasa hivi nadunda na kistareti change shunting hata Mara kumi! Tatizo mnataka eti "Uhuru" wa kutukana na kuandamana! Hebu acheni ujinga mfanye kazi! Mkibwatuka bila kufanya kazi mfe tu kwa hizo njaaa!
Shukuruni mnaongoza maiti.Juzi tu tuliwafurumusha operations sangara, mlivyovimbisha mishipa bungeni hadi Kagasheki kajiuzuru, wapinzani sijui mnataka nini, walahi ikulu mtaisikia tu! Labda muendelee kuwa na raisi wa twita na mabeberu, sio Tanzania
Nenda uliza wale wa chama Cha kiliberali Cha uingereza misingi Yao ni ipi then lete majibuNadhani wewe ndio umepanick .. tena umekurupuka kunijibu? Why?
Sababu kwanza nimestate mimi sio mwanasiasa. Sina chama.. wala sifungani na siasa za upande wowote.
Nichouliza ni simple question . Mna accuse yes... je mna evidence inayo support allegation zenu.
Kama mnazo wekeni hapa.
Endelea na upofu,,,, mkachangie 500 chama chenu,,,, sasa sijui Nani ana nafuu,,
we unadhani watalii wataongezeka kwa kupitia KQ, au emirates?
Emigine mtu anayetoka USA kuja kutalii bongo anatumia 35hrs kufika KIA, hii inamaanisha ni wale die hard fans wa TZ tu ndo wanaokuja, ila kukiwa na direct route ya 17hrs wataokuja wataongezeka saana.
Acha Magu aongeze ndege watalii waongezeka, ili wenye mahoteli wapige pesa walipe kodi, wenye tour companies wapige pesa walipe kodi, na hizi ndo fursa lengwa ila sio ndege.
Yaani fikra sahihi ya ndege ni kama kujenga barabara au kusambaza umeme, expectations ni kuwa uwekezaji huo uoongeze mzunguko wa hela ili serikali ikusanye kodi maradufu
Tulikua na fast jet ambalo ni shirika binafsi lenye makao yake makuu Tanzania ,nauli zilikua rafiki na pia walikua wanatua karibia miji yote mikubwa ya nchi za kusini mwa Africa. Serikali imefanya figisu mpaka wakafunga biashara na kuibeba atcl ambayo inaendeshwa kwa matamko.Kwa bei ya kawaida kabisa kwa mashirika mengi ya ndege ni Masaa 17 hadi 20 hadi bongo. Hayo masaa 35 ujue huyo atakuwa ametafuta ya bei ndogo sana.
Ingekuwa vema kama ungesema hayo mabilion ya kununua ndege tungewekeza kwenye kujenga mabwawa na miundo mbinu ya umwagiliaji, kuimarisha soko zuri la mazao na bidhaa na mataifa ya nje wakiwamo majirani, kujenga viwanda kwa ajili ya usindikaji wa mazao na kuongezea thamani bidhaa zetu, kuongeza thamani kwenye ubunifu wa kijasiriamali kwa wajasiriamali, na kutoa mikopo nafuu kwa vijana, na ikiwezekana kufufua vyama vya ushirika kwa kuweka utaratibu wa uawajibikaji na uwazi kuhahakisha ushirika wenye tija na endelevu....na lingine tumia sehemu ya hiyo pesa kufanya marekebisho ya sera za uwekezaji kwa kuhakikisha mvuto na urahisi katika sekta ya uwekezaji hasa kwa kutatua utata na utitiri wa taasisi na tozo zenye kufanana zinazokandamiza spirit ya uwekezaji.
Sasa kama tunaanzisha shirika kwa kunyonga sekta binafsi...itachukua muda sana kupiga hatua. Tuheshimu sekta binfsi, ina mchango mkubwa sana kwenye maendeleo ya nchi.
Wewe unatutafuna tu sidhani umewahi hata kuchungulia, wacha kusafiria, ndani ya hizo ndege za Magufuli zikiwa zimepark hapo Dar wala siyo Chato kwenu maana uwanja bado kukamilika maana ungeweza kugundua zinasafiri tupu na hostages tu. Kama zinasafiri tupu ina maana hakuna abiria kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na usafiri mbadala wa nauli nafuu ikiwa na maana kuwa madege yalinunuliwa kwa makosa. Musukuma Bus Service ingetosha.Sisi tunaotumia ndege mara kwa mara ndani na nje ya nchi ndo tunajua umuhimu wake.
Wasukuma wanajiita "Chapa Ng'ombe" kwa kuwa na ng'ombe wengi lakini nyumba zao ni kama hiyo Msukuma mwenzao anabisha hodi kuomba kura na kulalia ngozi ya ng'ombe wao au swala toka Burigi. CCM ilaaniwe kwa kutuletea kwenye mbeleko viongozi kama hao licha ya Nyerere kututahadhirisha kuwa hawafai. Good riddance!Ndege inatoa ajira kiasi gani kutokana na uwekezaji wake? Kwa faida ipi kwanza? Unajua jinsi biashara ya ndege ilivyo na ushindani?
Anakula 10% tu na kujenga mbuga na uwanja wa ndege chato
Wewe ndo mjinga kuliko wote toka kwenu, ndege siyo kama Daladala itaokoteza abiria njiani kujazia. Dreamliner ya abiria 262 ikiondoka Dar na abiria 10 na hostages 10 itafika New York na wasafiri haohao na kurudi na wachache zaidi kwa sababu gharama za kulaza ndege na wafanyakazi kwa siku zisizojulikana kungoja abiria ni kubwa sana. Watalii wanaokuja Tanzania wengi wanatoka USA, Ulaya kama Uingereza, Ujerumani, Ufaransa na Asia kama Japan, China, India nk. Ebu mshauri Rais Wetu mpendwa atakavyowapata hao watalii na kuwaleta na kuwarudisha ukitilia maanani kuwa kila mtalii ana mipango yake. Hata wakija pamoja wote toka nchi moja, huyu atakaa Tanzania siku 5, yule wiki, mwingine siku 10, pamoja na madege yake mengi mshauri atawarudishaje kila mmoja akawahi shughuli zake. Madege yanakwenda kuleta watalii yanapeleka watu gani toka Tanzania watakaokuwa wamejaza madege na wanakwenda kufanya nini. Mwaka Jana au huu ndege aina ya Airbus 380, kubwa ya abiria kuliko zote ilitua Dar kwa dharura na wakazi wengi sana walikwenda uwanjani kuiona na kumsifu Rais wetu mpendwa kwa kuwezesha dege kubwa kama hilo kutua hapo ingawa Terminal III ilikuwa haijakamilika. Dege hilo lenye uwezo wa kuchukua abiria mpaka 800 likuwa limechukua watalii kwenda Mauritius, kisiwa kidogo sana hakina hata Big 5. Vilevile Shirika la Ndege la Ia Air Mauritius lina ndege zake nyingi zikisafiri Ulaya na kwingineko kuleta na kurudisha watalii. Dege lilikuwa la Shirika la EMIRATES ambalo linafanya safari zake Tanzania pia wakitumia ndege ndogo kuliko Dreamliner za Magufuli. Watanzania walivyo wajinga wakamsifu Magufuli kwa ujio wa dege hilo badala ya kujiuliza kuna nini huko kisiwa kidogo kuliko Wilaya yetu ndogo yoyote? Au nchi yetu kubwa sana yenye vivutio vingi vya kitalii, kwanini EMIRATES inaleta videge vidogo labda hata havijai? Tanzania hakuna biashara ya usafiri wa Anga.we unadhani watalii wataongezeka kwa kupitia KQ, au emirates?
Emigine mtu anayetoka USA kuja kutalii bongo anatumia 35hrs kufika KIA, hii inamaanisha ni wale die hard fans wa TZ tu ndo wanaokuja, ila kukiwa na direct route ya 17hrs wataokuja wataongezeka saana.
Acha Magu aongeze ndege watalii waongezeka, ili wenye mahoteli wapige pesa walipe kodi, wenye tour companies wapige pesa walipe kodi, na hizi ndo fursa lengwa ila sio ndege.
Yaani fikra sahihi ya ndege ni kama kujenga barabara au kusambaza umeme, expectations ni kuwa uwekezaji huo uoongeze mzunguko wa hela ili serikali ikusanye kodi maradufu
Ukikariri unachokisikia bila ya kutafuta ukweli ni lazima uwe na mawazo kama ya kwako.Ndege zina 10% nyingi kuna ufisadi mwingi mno