Magufuli na ndege, siri nyuma ya pazia?

Magufuli na ndege, siri nyuma ya pazia?

Kwa hiyo ulikua unataka kama taifa tusiwe na ndege kisa kuna emirates na kwanza hatuna ndege tatu na pili hivi unataka mtalii akitoka marekani apitie kwanza doha au dubai ndio aje hapa kwa nini asipande ndege ya air tanzania moja kwa moja toka newyork mpaka JNIA au KIA kwanza alikipitia dubai anakua kapoteza muda wake tu hapo tunacho kizungumza ni kua na direct flight kutoka europe na americas au asia(china),kwa hiyo ndege za ndani nazo tuogope quatar?
Hao Watalii wazitapanda lini sasa maana ndege hazifanyi Safari za nje ya nchi,zinarura tu kwenda Chato- Chamwino na Dar

Na Midege yenyewe Inadaiwa kila Kona hadi wanaogopa kusema ni mali ya ATCL
 
Utasubiri sana miradi itakamilika na utaona aibu sana na isitoshe mpaka umeme utautumia na kuufurahia

Uwezo wako wa kujibu maswali ni mdogo kuliko kawaida, usijichoshe please pita kama hujaona.

Ni wapi nimesema haitakamilika? Nimesema haikamiliki katika awamu yake.
 
Hao Watalii wazitapanda lini sasa maana ndege hazifanyi Safari za nje ya nchi,zinarura tu kwenda Chato- Chamwino na Dar

Na Midege yenyewe Inadaiwa kila Kona hadi wanaogopa kusema ni mali ya ATCL

Hii corona tu ndio imeharibu ila baada ya IATA kuturudisha ilibidi safari za china zianze na india na newyork

Una swali lingine?
 
Uwezo wako wa kujibu maswali ni mdogo kuliko kawaida, usijichoshe please pita kama hujaona.

Ni wapi nimesema haitakamilika? Nimesema haikamiliki katika awamu yake.

Kwa hiyo sasa point yako iko wapi hata isipokamilika atakamilisha mwingine na mradi utakua wa watanzania wote

Niambie wewe mwenye uwezo mkubwa kuliko wale wakandarasi wanaojenga na time frame zao

Tukutane 2025 mungu akijaalia tuone mradi umeisha au laaah sheikh yahya
 
Hii corona tu ndio imeharibu ila baada ya IATA kuturudisha ilibidi safari za china zianze na india na newyork

Una swali lingine?
Eti CORONA, hujasikia Mashirika ya Ndege Kote duniani kwa Sasa yanaendelea na biashara/Safari kama kawaida? Na Kwani nyinyi TZ kuna Corona?
 
Uwezo wako wa kujibu maswali ni mdogo kuliko kawaida, usijichoshe please pita kama hujaona.

Ni wapi nimesema haitakamilika? Nimesema haikamiliki katika awamu yake.

Nipite kwa sijaona kwa baba yako hapa
 
Nipite kwa sijaona kwa baba yako hapa

Punguza kupaniki, haujui niliyereply post yake alisema nini umedandia treni kwa mbele, siku nyingine uache kiherehere na usome post za watu kwa makini ili ujue cha kujibu.
 
Punguza kupaniki, haujui niliyereply post yake alisema nini umedandia treni kwa mbele, siku nyingine uache kiherehere na usome post za watu kwa makini ili ujue cha kujibu.

Hainihusu hiyo nimekujibu kama ulivyo ni quote
 
Eti CORONA, hujasikia Mashirika ya Ndege Kote duniani kwa Sasa yanaendelea na biashara/Safari kama kawaida? Na Kwani nyinyi TZ kuna Corona?

IMG_2037.png
 
Heri hizo hela anazonunulia ndege angezielekeza kukamilisha Ujenzi wa SGR, hiyo reli ina multiplier effect kubwa kwenye Uchumi kuliko midege anayopanda yeye tu peke yake kwenda kula Krismas kijijini kwake

Kwani hivi utalii hauna multiplier effects kubwa?
 
Punguza kupaniki, haujui niliyereply post yake alisema nini umedandia treni kwa mbele, siku nyingine uache kiherehere na usome post za watu kwa makini ili ujue cha kujibu.

Hapa mtandaoni wewe haupangiwi mtu wa kumjibu wala kum quote wa wapi wewe au kuna sehemu pame andikwa mjibu huyu na usimjibu ukiona jibu halikufai tembea mbele
 
Hapa mtandaoni wewe haupangiwi mtu wa kumjibu wala kum quote wa wapi wewe au kuna sehemu pame andikwa mjibu huyu na usimjibu ukiona jibu halikufai tembea mbele

Kweli umepanick,comment yangu moja unaijibu mara mbili mbili. Ile ya mwanzo umejibu mara mbili na hii ya sasa umeijibu mara mbili.

Nimekushauri uwe unasoma watu unawaelewa ndipo ujibu, unajua nilimqoute alisema nini iliyopelekea mimi kumwambia mradi hautakamilika kwa miaka mitano ijayo labda magu apewe mingine 15?

Nimejipa kazi ya kukufafanulia mtirirko wa comments zetu ulivyokuwa, ila jinsi ulivyo poyoyo unazidi kushupaza hilo likichwa chako kama koroshow!
 
Siwezi kuchagua mawakala wa wakoloni.
Kwa watu walio soma vileee vitabu vya literature kuna mambo Yana reflect kabxaa mfano kwenye “An Enemy Of The People” Tundu Lissu anasimama kama Dr. Stockman pia kuna “His Excellency the Head of The State” Humu unamkuta Makonda na Magufuli By the way Literature is real
 
Kwanini unahisi anatufaa?? Maana mie sijasikia sera yoyote zaidi ya kulalamika kuonewa na kumkosoa tu Magufuli.. Sasa je yeye atafanya nini na ikiwa hata ilani tu hatuioni??
Yani ulichoandika Umenikumbusha kuhusu Mafarisayo waliokua hawamwelewi kabisa bwana Yesu wkt anahubiri Haki upendo na uzima wa milele🤣🤣
Km hujasikia sera za Lissu basi kuna tatizo mahali hasa utindio wa ubongo.

Sera za kuwaambia mama zetu wazae sana ndo umeyasikia vizuri au kumpa Lisu kazi ndogo ndogo😀😀
 
Kweli umepanick,comment yangu moja unaijibu mara mbili mbili. Ile ya mwanzo umejibu mara mbili na hii ya sasa umeijibu mara mbili.

Nimekushauri uwe unasoma watu unawaelewa ndipo ujibu, unajua nilimqoute alisema nini iliyopelekea mimi kumwambia mradi hautakamilika kwa miaka mitano ijayo labda magu apewe mingine 15? Nimejipa kazi ya kukufafanulia mtirirko wa comments zetu ulivyokuwa, ila jinsi ulivyo poyoyo unazidi kushupaza hilo likichwa chako kama koroshow!

Kwa comment zimepangiwa idadi ya majibu?
 
Back
Top Bottom