Magufuli na ndege, siri nyuma ya pazia?

Magufuli na ndege, siri nyuma ya pazia?

Siulizi misingi. Naulizia ushahidi? Kama mnao weka hapa. Simple as that
Heheheh usitumie nguvu saana..ukiona vipi potezea tu jomba. Unadhani haya yametokea hewani. Achana nayo fanya kazi nyingine
 
Wewe ndo mjinga kuliko wote toka kwenu, ndege siyo kama Daladala itaokoteza abiria njiani kujazia. Dreamliner ya abiria 262 ikiondoka Dar na abiria 10 na hostages 10 itafika New York na wasafiri haohao na kurudi na wachache zaidi kwa sababu gharama za kulaza ndege na wafanyakazi kwa siku zisizojulikana kungoja abiria ni kubwa sana. Watalii wanaokuja Tanzania wengi wanatoka USA, Ulaya kama Uingereza, Ujerumani, Ufaransa na Asia kama Japan, China, India nk. Ebu mshauri Rais Wetu mpendwa atakavyowapata hao watalii na kuwaleta na kuwarudisha ukitilia maanani kuwa kila mtalii ana mipango yake. Hata wakija pamoja wote toka nchi moja, huyu atakaa Tanzania siku 5, yule wiki, mwingine siku 10, pamoja na madege yake mengi mshauri atawarudishaje kila mmoja akawahi shughuli zake. Madege yanakwenda kuleta watalii yanapeleka watu gani toka Tanzania watakaokuwa wamejaza madege na wanakwenda kufanya nini. Mwaka Jana au huu ndege aina ya Airbus 380, kubwa ya abiria kuliko zote ilitua Dar kwa dharura na wakazi wengi sana walikwenda uwanjani kuiona na kumsifu Rais wetu mpendwa kwa kuwezesha dege kubwa kama hilo kutua hapo ingawa Terminal III ilikuwa haijakamilika. Dege hilo lenye uwezo wa kuchukua abiria mpaka 800 likuwa limechukua watalii kwenda Mauritius, kisiwa kidogo sana hakina hata Big 5. Vilevile Shirika la Ndege la Ia Air Mauritius lina ndege zake nyingi zikisafiri Ulaya na kwingineko kuleta na kurudisha watalii. Dege lilikuwa la Shirika la EMIRATES ambalo linafanya safari zake Tanzania pia wakitumia ndege ndogo kuliko Dreamliner za Magufuli. Watanzania walivyo wajinga wakamsifu Magufuli kwa ujio wa dege hilo badala ya kujiuliza kuna nini huko kisiwa kidogo kuliko Wilaya yetu ndogo yoyote? Au nchi yetu kubwa sana yenye vivutio vingi vya kitalii, kwanini EMIRATES inaleta videge vidogo labda hata havijai? Tanzania hakuna biashara ya usafiri wa Anga.
Nenda zako kule..hivi utamdanganya mtanzania gani wa leo nauongo wako..kwanza unazungumzia issue za ndege wakati hata wewe mwenyewe hujawahi kupanda hiyo ndege. Achana na biashara hii jomba tafuta kazi ufanye..hapo ulipo huna hata elimu ya marketing..hujui hata operational cost za ndege. No skill no right to speak
 
Wewe ndo mjinga kuliko wote toka kwenu, ndege siyo kama Daladala itaokoteza abiria njiani kujazia. Dreamliner ya abiria 262 ikiondoka Dar na abiria 10 na hostages 10 itafika New York na wasafiri haohao na kurudi na wachache zaidi kwa sababu gharama za kulaza ndege na wafanyakazi kwa siku zisizojulikana kungoja abiria ni kubwa sana. Watalii wanaokuja Tanzania wengi wanatoka USA, Ulaya kama Uingereza, Ujerumani, Ufaransa na Asia kama Japan, China, India nk. Ebu mshauri Rais Wetu mpendwa atakavyowapata hao watalii na kuwaleta na kuwarudisha ukitilia maanani kuwa kila mtalii ana mipango yake. Hata wakija pamoja wote toka nchi moja, huyu atakaa Tanzania siku 5, yule wiki, mwingine siku 10, pamoja na madege yake mengi mshauri atawarudishaje kila mmoja akawahi shughuli zake. Madege yanakwenda kuleta watalii yanapeleka watu gani toka Tanzania watakaokuwa wamejaza madege na wanakwenda kufanya nini. Mwaka Jana au huu ndege aina ya Airbus 380, kubwa ya abiria kuliko zote ilitua Dar kwa dharura na wakazi wengi sana walikwenda uwanjani kuiona na kumsifu Rais wetu mpendwa kwa kuwezesha dege kubwa kama hilo kutua hapo ingawa Terminal III ilikuwa haijakamilika. Dege hilo lenye uwezo wa kuchukua abiria mpaka 800 likuwa limechukua watalii kwenda Mauritius, kisiwa kidogo sana hakina hata Big 5. Vilevile Shirika la Ndege la Ia Air Mauritius lina ndege zake nyingi zikisafiri Ulaya na kwingineko kuleta na kurudisha watalii. Dege lilikuwa la Shirika la EMIRATES ambalo linafanya safari zake Tanzania pia wakitumia ndege ndogo kuliko Dreamliner za Magufuli. Watanzania walivyo wajinga wakamsifu Magufuli kwa ujio wa dege hilo badala ya kujiuliza kuna nini huko kisiwa kidogo kuliko Wilaya yetu ndogo yoyote? Au nchi yetu kubwa sana yenye vivutio vingi vya kitalii, kwanini EMIRATES inaleta videge vidogo labda hata havijai? Tanzania hakuna biashara ya usafiri wa Anga.

Umeandika riwaya lakini hitimisho lako ndio limetia doa maoni yako yote.

Kama sio uwepo wa corona hivi sasa biashara ya ndege ingekuwa imechanganya sana.

Cha muhimu ni kuwa na fikra chanya (positive mindset), mengineyo ni changamoto za muda mfupi tu.
 
Hakuna mbogamboga mwenye uwezo wa kusimama na Lissu kwa hoja kwa huu utumbo uliofanywa kwa miaka 5 ya awamu hii iliyoisha..
 
Umeanza kusafiri baada kuletwa ndege za Magufuli? Pole sana Bwana Limbukeni. Watu tumeanza kusafiri enzi za Mkapa. Hata hivyo, private air lines ni nyingi tu. Hata akikwapua mafao yote wa wastaafu kuongeza hizo ndege tatu, hazitafika destination zote kwa wakati wote. Private airlines zitaendelea kutumika. Kilangila.
Kwahiyo wewe mnyanyembe Tanzania kumiliki flag carrier inakuuma sana eti?
Kama unaona hazina maana basi acha usipande,tutapanda wengine,baki kulalamiki sisi tunasonga.
 
Mko wangapi? Na ni asilimia ngapi ya watz wote!?

Kabla ya mindege hii, nauri ya fastjet dar mwz ilikuwa bei gani? Na sasa wakati huu wa mindege nauri ni sh ngapi wataalamu?
Kama huna uwezo wa kuafford sio lazima upande ndege,panda malori ya bei rahisi uwende unapokwenda.
 
Wewe unatutafuna tu sidhani umewahi hata kuchungulia, wacha kusafiria, ndani ya hizo ndege za Magufuli zikiwa zimepark hapo Dar wala siyo Chato kwenu maana uwanja bado kukamilika maana ungeweza kugundua zinasafiri tupu na hostages tu. Kama zinasafiri tupu ina maana hakuna abiria kwa sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na usafiri mbadala wa nauli nafuu ikiwa na maana kuwa madege yalinunuliwa kwa makosa. Musukuma Bus Service ingetosha.
Umekwama vibaya sana,baki kulalama na roho yako nyeusi.
wewe ni limbukeni wa kutupa,usafiri wa anga kwako sio rahisi kutumia kwanza utapanda uende wapi wewe mnyanyembe?
 
Kuna haja gani ya kuongoza chama kisichokubalika na wananchi?
Chama ambacho hakishindi bila kuiba kura.
Chama ambacho viongozi wake wanakiri hadharani kuwa ushindi wait unatokana na kuwatumia polisi na TISS.
Chama ambacho kinaitumia NEC kuwaengua wapinzani wake.
Hiki chama hakika Ni CHAMA CHA MASHETANI
 
Wacha rais ajenge nchi nyie jibidisheni na kusambaza ushoga tu
Hawa nao wamesambazwa na chadema?
download.jpg
download (1).jpg
download (2).jpg
download (3).jpg
download (4).jpg
download (5).jpg
 
Back
Top Bottom