Magufuli na ndege, siri nyuma ya pazia?

Magufuli na ndege, siri nyuma ya pazia?

Katika vipaumbele vyote vya taifa, je, ndege ndicho hasa watanzania wanachohitaji?

Hizi ndege za magufuli zina malengo ya dhati ya kuinua maisha ya watanzania ama kuna ajenda nyingine isiyojulikana?

Watu wetu wanalia na umasikini, ajira, mifuko ya hifadhi ya jamii, mikopo, afya, maji, umeme, makazi duni, elimu duni, kilimo duni, mishahara kiduchu na mengine mengi, hayo yote hayana umuhimu kwake isipokuwa ndege tu?

Tunahitaji sera za magufuli ziguse watu. Miaka sita sasa ajira hakuna vijana wanahangaika tu mitaani kama yatima lakini yeye hana habari. Ati nendeni mkajiajiri!

Hizo ndege zina msaada gani kama haziweza kuinua maisha ya watu?? au ni kutafuta ujiko tu na kulimbuka?
Na kwa nini malimbikizo ya mshahara yetu hatulipi?
 
Hapo kuna 10℅ ya wakubwa, inauliza jibu?
 
Nani kakutaza kuchagua wengine wenye hizo sera unazotaka wewe?
Ujambazi wa CCM ni kikwazo!
Tume ya uchaguzi ni wana CCM;
Polisi inamilikiwa na CCM;
Mahakama inamilikiwa na CCM, sasa haki itapatikanaje?
 
Katika vipaumbele vyote vya taifa, je, ndege ndicho hasa watanzania wanachohitaji?

Hizi ndege za magufuli zina malengo ya dhati ya kuinua maisha ya watanzania ama kuna ajenda nyingine isiyojulikana?

Watu wetu wanalia na umasikini, ajira, mifuko ya hifadhi ya jamii, mikopo, afya, maji, umeme, makazi duni, elimu duni, kilimo duni, mishahara kiduchu na mengine mengi, hayo yote hayana umuhimu kwake isipokuwa ndege tu?

Tunahitaji sera za magufuli ziguse watu. Miaka sita sasa ajira hakuna vijana wanahangaika tu mitaani kama yatima lakini yeye hana habari. Ati nendeni mkajiajiri!

Hizo ndege zina msaada gani kama haziweza kuinua maisha ya watu?? au ni kutafuta ujiko tu na kulimbuka?
Kwani lazima mmchague Magufuli? It is up to you either kuchagua maisha yenu au kuchagua ndege.Kama mnadhani bila ccm iliyoanza mwaka 1977 hakutakuwa na Tanzania bila kujiuliza kuwa nchi hii iliyokuwepo tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu,kabla ya TANU na CCM basi chagueni ccm na mkubali kipaumbele Chao Cha kununua ndege
 
Ujambazi wa CCM ni kikwazo!
Tume ya uchaguzi ni wana CCM;
Polisi inamilikiwa na CCM;
Mahakama inamilikiwa na CCM, sasa haki itapatikanaje?

Kwa hiyo msaidiwaje sasa, labda?
 
Wacha rais ajenge nchi nyie jibidisheni na kusambaza ushoga tu
Mkuu uko sawa kabisa,they have all the power ya kumuondoa Magu either kwa kura au kwa nguvu,Sasa Kama hawataki ndege si wamtoe tu na Kama wanamuongopa basi watulie msukuma anunue madege
 
Wacha rais ajenge nchi nyie jibidisheni na kusambaza ushoga tu
Basi sawa
tapatalk_jpeg_1574667193731.jpg
 
Ajira ipi!?

Za marubani wawili na "air hostages" sita?
Unachopinga nn hasa?? Kwamba hizo sio ajira?? Kwan aviation industry ni pilots tu na air hostages??, alfu muelewe kuwa kila awamu au serikali ina vipaumbele vyake, kwahyo Kama vipaumbele hivyo havikugusi moja kwa moja haimanishi kwamba hakuna anayenufaika navyo.
 
we unadhani watalii wataongezeka kwa kupitia KQ, au emirates?
Emigine mtu anayetoka USA kuja kutalii bongo anatumia 35hrs kufika KIA, hii inamaanisha ni wale die hard fans wa TZ tu ndo wanaokuja, ila kukiwa na direct route ya 17hrs wataokuja wataongezeka saana.

Acha Magu aongeze ndege watalii waongezeka, ili wenye mahoteli wapige pesa walipe kodi, wenye tour companies wapige pesa walipe kodi, na hizi ndo fursa lengwa ila sio ndege.

Yaani fikra sahihi ya ndege ni kama kujenga barabara au kusambaza umeme, expectations ni kuwa uwekezaji huo uoongeze mzunguko wa hela ili serikali ikusanye kodi maradufu
 
Acha Magu aongeze ndege ili wenye mahoteli wapige pesa

Kwahiyo uchumi wa nchi utakuwa ni wa mahoteli tu?

Na hayo mahotel yanajengwa na nani kama purchasing power ya watu iko chini? Unafikiri mahotel yanashuka kutoka mbinguni?
 
Unachopinga nn hasa?? Kwamba hizo sio ajira??.

Tunazungumza kuhusu maelfu ya wahitimu wanaotaabika mtaani toka miaka sita iliyopita!

Hao marubani wawili ni kitu gani??

Unaweza ukatoka kama afisa wa serikali na kujitamba kwamba umeajiri watu wawili nchi nzima!?

Una akili timamu wewe?
 
Katika vipaumbele vyote vya taifa, je, ndege ndicho hasa watanzania wanachohitaji?

Hizi ndege za magufuli zina malengo ya dhati ya kuinua maisha ya watanzania ama kuna ajenda nyingine isiyojulikana?

Watu wetu wanalia na umasikini, ajira, mifuko ya hifadhi ya jamii, mikopo, afya, maji, umeme, makazi duni, elimu duni, kilimo duni, mishahara kiduchu na mengine mengi, hayo yote hayana umuhimu kwake isipokuwa ndege tu?

Tunahitaji sera za magufuli ziguse watu. Miaka sita sasa ajira hakuna vijana wanahangaika tu mitaani kama yatima lakini yeye hana habari. Ati nendeni mkajiajiri!

Hizo ndege zina msaada gani kama haziweza kuinua maisha ya watu?? au ni kutafuta ujiko tu na kulimbuka?
Huku wanapigia sana 20%
 
ili hta ww binafsi ukitaka maendeleo lazima ujinyime na uendane na usasa...sasa suala la ndege mkuu ni usasa wa dunia kaitika kupiga hatua ya maendeleo na maendeleo sio kuhakikisha mtu mmoja mmoja ananufaika hata wakinufaika 40% ya permanent populatoion ya nchi . Bado itapanda tu kwakuwa hao walionifaika nao mzunguko wao utawafikia na wale ambao hawakunufaika direct hvo tutajikuta kwa mda flan 60% itaweza kunufaika on which nisera nzuri sana
 
Back
Top Bottom