Magufuli alivyo wa ajabu zaidi jana anatuahid sisi wakazi wa Dodoma kutujengea uwanja mkubwa zaidi utafkiri tumemwambia hitaji letu ni uwanja mkubwa, hajui kwamba wananchi wengi hawana uhakika wa upatikanaji wa huduma za maji safi ma salamaKatika vipaumbele vyote vya taifa, je, ndege ndicho hasa watanzania wanachohitaji?
Hizi ndege za magufuli zina malengo ya dhati ya kuinua maisha ya watanzania ama kuna ajenda nyingine isiyojulikana?
Watu wetu wanalia na umasikini, ajira, mifuko ya hifadhi ya jamii, mikopo, afya, maji, umeme, makazi duni, elimu duni, kilimo duni, mishahara kiduchu na mengine mengi, hayo yote hayana umuhimu kwake isipokuwa ndege tu?
Tunahitaji sera za magufuli ziguse watu. Miaka sita sasa ajira hakuna vijana wanahangaika tu mitaani kama yatima lakini yeye hana habari. Ati nendeni mkajiajiri!
Hizo ndege zina msaada gani kama haziweza kuinua maisha ya watu?? au ni kutafuta ujiko tu na kulimbuka?
Tunaijenga huku chatoHiyo nchi inajengwa wapi?
Ila Magufuli sio msukumaWasukuma washamba sana.
Narrow mind,
Vipi kuhusu Tax driver, AIR TICKET, HOTELS, wabeba mizigo etc?
Wasukuma washamba eti eeh!! Bola wachaga wanaogawana majimbo ya uchaguzi.Wasukuma washamba sana.
Jamaa wa ajabu sana ana mizuka na mihemko.Magufuli alivyo wa ajabu zaidi jana anatuahid sisi wakazi wa Dodoma kutujengea uwanja mkubwa zaidi utafkiri tumemwambia hitaji letu ni uwanja mkubwa, hajui kwamba wananchi wengi hawana uhakika wa upatikanaji wa huduma za maji safi ma salama
Ushawahi Jiuliza Umeifanyia nini Tanzania Au Unataka Tanzania Ikufanyie Kila kitu KAJIAJILI WACHA KUTAKA SERIKALI IKUFANYIE KILA KITU USAFIRI WA ANGA NI MUHIMU HASA KATIKA SECTOR YA UTALII AMBAKO NAKO KUNA AJIRA ZA WATANZANIA TENA WA HALI YA CHINIKatika vipaumbele vyote vya taifa, je, ndege ndicho hasa watanzania wanachohitaji?
Hizi ndege za magufuli zina malengo ya dhati ya kuinua maisha ya watanzania ama kuna ajenda nyingine isiyojulikana?
Watu wetu wanalia na umasikini, ajira, mifuko ya hifadhi ya jamii, mikopo, afya, maji, umeme, makazi duni, elimu duni, kilimo duni, mishahara kiduchu na mengine mengi, hayo yote hayana umuhimu kwake isipokuwa ndege tu?
Tunahitaji sera za magufuli ziguse watu. Miaka sita sasa ajira hakuna vijana wanahangaika tu mitaani kama yatima lakini yeye hana habari. Ati nendeni mkajiajiri!
Hizo ndege zina msaada gani kama haziweza kuinua maisha ya watu?? au ni kutafuta ujiko tu na kulimbuka?
Ushawahi kuona tender au hesabu za manunuzi ya hizo ndege?Katika vipaumbele vyote vya taifa, je, ndege ndicho hasa watanzania wanachohitaji?
Hizi ndege za magufuli zina malengo ya dhati ya kuinua maisha ya watanzania ama kuna ajenda nyingine isiyojulikana?
Watu wetu wanalia na umasikini, ajira, mifuko ya hifadhi ya jamii, mikopo, afya, maji, umeme, makazi duni, elimu duni, kilimo duni, mishahara kiduchu na mengine mengi, hayo yote hayana umuhimu kwake isipokuwa ndege tu?
Tunahitaji sera za magufuli ziguse watu. Miaka sita sasa ajira hakuna vijana wanahangaika tu mitaani kama yatima lakini yeye hana habari. Ati nendeni mkajiajiri!
Hizo ndege zina msaada gani kama haziweza kuinua maisha ya watu?? au ni kutafuta ujiko tu na kulimbuka?
Hahaha HII NDIO AKILI YA BAVICHA HATA ADABU TU HAMNA ASEE KWELI NYIE NI WAHUNII KAMA ALIVYOSEMA HALIMA MDEE VIJANA WA KITAAAANaona jamaa kutokana na ushamba na ulimbukeni kila siku anaota ndege.....
Nyuma yake kuna upigaji ambao haijawahi kutokea tangia Tupate Uhuru wa bendera....
Tundu Lissu anatufaa sana...
Tanzania sio nchi ya miaka 10 tu ya magufuli au 10 ya tundu lisu.Hizo sera zenu mmezichambua kinaga ubaga au mmezitaja tu? Labda mngetusaidia uchambuzi wa hili, Magufuli ana miradi miwili ya 15t+ yaani SGR & SG, miradi yote hiyo miwili haijafikia hata robo ya ujenzi. Kama ni kuweka hela kwenye hiyo miradi ni chini ya 7t, nazo ni za mkopo. Ili akamilishe hiyo miradi miwili kwa 100% anapaswa kupata 7-10t ndani ya hii miaka mitano, iwapo tume isiyo huru ya uchaguzi itamtangaza. Ni wapi atapata hizo hela, kisha wakati huo huo atekeleze mlolongo wa hayo uliyoorodhesha hapo? Hebu tuchanganulie kinaga ubaga maana bado tuna akili zetu.
Harufu ya ufisadi wa kufa mtu!Ushawahi kuona tender au hesabu za manunuzi ya hizo ndege?
Ushaona ukaguzi wa CAG kuhusu manunuzi hayo?
Kwenye ununuzi wa Ndege kuna ufisadi wa kutisha endapo chadema wataingia ikulu utashangaa vilivyojificha nyuma ya paziaKatika vipaumbele vyote vya taifa, je, ndege ndicho hasa watanzania wanachohitaji?
Hizi ndege za magufuli zina malengo ya dhati ya kuinua maisha ya watanzania ama kuna ajenda nyingine isiyojulikana?
Watu wetu wanalia na umasikini, ajira, mifuko ya hifadhi ya jamii, mikopo, afya, maji, umeme, makazi duni, elimu duni, kilimo duni, mishahara kiduchu na mengine mengi, hayo yote hayana umuhimu kwake isipokuwa ndege tu?
Tunahitaji sera za magufuli ziguse watu. Miaka sita sasa ajira hakuna vijana wanahangaika tu mitaani kama yatima lakini yeye hana habari. Ati nendeni mkajiajiri!
Hizo ndege zina msaada gani kama haziweza kuinua maisha ya watu?? au ni kutafuta ujiko tu na kulimbuka?
Ndege zina 10% nyingi kuna ufisadi mwingi mnoSisi tunaotumia ndege mara kwa mara ndani na nje ya nchi ndo tunajua umuhimu wake.
Upo ufisadi wa kutisha humoHarufu ya ufisadi wa kufa mtu!
Ndege zinanunuliwa uchochoroni unashangaa tu wako airport wanaiosha na madodoki!
Tumepatikana! Watu wanajipigia tu halafu wanakwambia tunajenga nchi!
Tanzania sio nchi ya miaka 10 tu ya magufuli au 10 ya tundu lisu.
2: Kukopa sio dhambi,wala kuomba sio nongwa( M4C imewahi kuomba kuchangiwa,na chama kimewahi kusaidiwa na wabunge kuendesha chaguzi)
Manufaa yataonekana baadae