Magufuli na ndege, siri nyuma ya pazia?

Magufuli na ndege, siri nyuma ya pazia?

Hahaha HII NDIO AKILI YA BAVICHA HATA ADABU TU HAMNA ASEE KWELI NYIE NI WAHUNII KAMA ALIVYOSEMA HALIMA MDEE VIJANA WA KITAAAA
Usijitoe ufahamu mkuu.... Hii kauli aliasisi na kuitoa Nape kwenye zile clip zenu pendwa.... Hahaaa.......

Pole sn msukule wa lumumba....

Naona jamaa kutokana na ushamba na ulimbukeni kila siku anaota ndege.....
Nyuma yake kuna upigaji ambao haijawahi kutokea tangia Tupate Uhuru wa bendera....

Tundu Lissu anatufaa sana...Lkn mwa nn mnaogopa uchaguzi?
 
Harufu ya ufisadi wa kufa mtu!

Ndege zinanunuliwa uchochoroni unashangaa tu wako airport wanaiosha kwa madodoki!

Watu wanajipigia tu halafu wanakwambia tunajenga nchi!
Hapo hapo unaambiwa Magufuli ni rais wa wanyonge.

Nilikuwa nasoma sehemu watu wanalalamika, wanasema kabla ya hizi ndege nauli za ndege zilikuwa nafuu.

Sasa ndege hizi za Magufuli zimekuja na kuua biashara ya makampuni binafsi, tiketi za ndege bei imepanda.
 
Think twice,,,,,

Hizo ndege hazitoi ajira?

Mwenye chuki ni chuki tu hata jema halioni.
Approximation:
Ndege moja ni bilioni 250 tsh.
Ndege tatu ni bilioni 750 tsh.
Ndege moja ajira za moja kwa moja ni 100.
Ndege tatu ajira za moja kwa moja ni 300.
Trekta moja (John Deere 5050D 4WD) ni milioni 30.
Tanzania kuna vijiji 12319.
Mil 30 X Vijiji 12,319 = bilioni 369.5
Tuseme 60 % ni Wakulima.
60% ya 60,000,000 = 36 milioni
Raia milioni 36 wanatumia matrekta.
Pembejeo nyingine ndio inatumia kwenye ile bilioni 400 iliyobaki.
Hapo kuna mbolea,mbegu,maghala,viuatilifu.
Hapo sasa ni bilioni 750.
Kati ya ajira 300 na ajira milioni 36 za moja kwa moja,unachagua ipi??
 
Huyu jini mahaba akikujibu vizuri naacha kazi kesho Jumatatu.
 
Sisi tunaotumia ndege mara kwa mara ndani na nje ya nchi ndo tunajua umuhimu wake.
Umeanza kusafiri baada kuletwa ndege za Magufuli? Pole sana Bwana Limbukeni. Watu tumeanza kusafiri enzi za Mkapa. Hata hivyo, private air lines ni nyingi tu. Hata akikwapua mafao yote wa wastaafu kuongeza hizo ndege tatu, hazitafika destination zote kwa wakati wote. Private airlines zitaendelea kutumika. Kilangila.
 
Sisi tunaotumia ndege mara kwa mara ndani na nje ya nchi ndo tunajua umuhimu wake.
Mko wangapi? Na ni asilimia ngapi ya watz wote!?

Kabla ya mindege hii, nauri ya fastjet dar mwz ilikuwa bei gani? Na sasa wakati huu wa mindege nauri ni sh ngapi wataalamu?
 
Unachopinga nn hasa?? Kwamba hizo sio ajira?? Kwan aviation industry ni pilots tu na air hostages??, alfu muelewe kuwa kila awamu au serikali ina vipaumbele vyake, kwahyo Kama vipaumbele hivyo havikugusi moja kwa moja haimanishi kwamba hakuna anayenufaika navyo.
Kwa uelewa wao mdogo wanadhani kwamba sekta ya anga ni ndege tu.

Hawajui kuwa kuna charges za ndege kukatiza juu ya anga letu ni hiyo ni pesa ya maana.

Kuna drowns zinazolipiwa kodi kila mwaka hiyo ni pesa nyingi inakwenda serikalini.

Akili zao zinawaza ajira za marubani na wahudumu wa ndani wakisahau upana wa sekta nzima ya anga.

Halafu Mungu atupendelee kwa kutupa mamilioni ya wanyama na sisi tusiwe na ndege za kutosha za kuleta watalii!, huyo Mungu atatushangaa.
 
Katika vipaumbele vyote vya taifa, je, ndege ndicho hasa watanzania wanachohitaji?

Hizi ndege za magufuli zina malengo ya dhati ya kuinua maisha ya watanzania ama kuna ajenda nyingine isiyojulikana?

Watu wetu wanalia na umasikini, ajira, mifuko ya hifadhi ya jamii, mikopo, afya, maji, umeme, makazi duni, elimu duni, kilimo duni, mishahara kiduchu na mengine mengi, hayo yote hayana umuhimu kwake isipokuwa ndege tu?

Tunahitaji sera za magufuli ziguse watu. Miaka sita sasa ajira hakuna vijana wanahangaika tu mitaani kama yatima lakini yeye hana habari. Ati nendeni mkajiajiri!

Hizo ndege zina msaada gani kama haziweza kuinua maisha ya watu?? au ni kutafuta ujiko tu na kulimbuka?
Hivi wewe kapuku katika yale aliyoongea jana Magufuli ulisikia ndege tu?,mbona alieleza kifasaha sana kuhusu mipango yake ndani ya miaka mitano ijayo.
Shuleni huwa mnaenda kusomea ujinga ?

Rudia kusikiliza full alichoongea kishe uje kujamba tena hapa jukwaani?
 
Unachopinga nn hasa?? Kwamba hizo sio ajira?? Kwan aviation industry ni pilots tu na air hostages??, alfu muelewe kuwa kila awamu au serikali ina vipaumbele vyake, kwahyo Kama vipaumbele hivyo havikugusi moja kwa moja haimanishi kwamba hakuna anayenufaika navyo.
Tunataka vpaumbele vya nchi vyenye tija na si mtu binafsi
 
Tunazungumza kuhusu maelfu ya wahitimu wanaotaabika mtaani toka miaka sita iliyopita!

Hao marubani wawili ni kitu gani??

Unaweza ukatoka kama afisa wa serikali na kujitamba kwamba umeajiri watu wawili nchi nzima!?

Una akili timamu wewe?
mm akili yangu iko timamu Kabisa, hivi unataka kuniambia kwamba hata Kama kusoma hujui na kusikia pia husikii au hata kuona pia umeshindwa, nimekuambia kwamba kila awamu ina vipaumbele vyake, huko ambako serikali inawekeza nguvu zake basi huko lazima tu ajira nyingi zitazalishwa either directly or indirectly, kumbuka Kipindi cha kikwete mfano sekta ya elimu shule nyingi zilijengwa hasa za sekondari, maarufu Kama shule za Kata, pia kikwete alitoa ruzuku kwa walisomea fani ya udaktari, hivyo vilikuwa ni baadhi ya vipaumbele vyake na wapo walionufaika na hayo mambo.
 
Kwahiyo uchumi wa nchi utakuwa ni wa mahoteli tu?

Na hayo mahotel yanajengwa na nani kama purchasing power ya watu iko chini? Unafikiri mahotel yanashuka kutoka mbinguni?
wenzio wanajenga mahoteli ww endelea kulalama tu,
 
Sio mwanasiasa. But naomba ushahid with supportive evidence kuwa wanasambaza ushoga
Hehehe jomba usipanic..Yani hujui hata misingi ya chama chako unachekesha kweli...umedandia gari kwa mbele Nini...
 
Katika vipaumbele vyote vya taifa, je, ndege ndicho hasa watanzania wanachohitaji?

Hizi ndege za magufuli zina malengo ya dhati ya kuinua maisha ya watanzania ama kuna ajenda nyingine isiyojulikana?

Watu wetu wanalia na umasikini, ajira, mifuko ya hifadhi ya jamii, mikopo, afya, maji, umeme, makazi duni, elimu duni, kilimo duni, mishahara kiduchu na mengine mengi, hayo yote hayana umuhimu kwake isipokuwa ndege tu?

Tunahitaji sera za magufuli ziguse watu. Miaka sita sasa ajira hakuna vijana wanahangaika tu mitaani kama yatima lakini yeye hana habari. Ati nendeni mkajiajiri!

Hizo ndege zina msaada gani kama haziweza kuinua maisha ya watu?? au ni kutafuta ujiko tu na kulimbuka?

Sahau kuhusu maendeleo ya watu madikteta wote vitu Ni muhimu kwao
 
Back
Top Bottom