Magufuli: Lowassa siyo saizi yangu

Magufuli: Lowassa siyo saizi yangu

Kiukweli ni zamu ya wapinzani wa Tanzania kuchukua nchi, Lowasa na Magufuli hawaendani. Magufuli ni mtendaji na sio kiongozi na Lowasa ni kiongozi na mtendaji. Any creaTIVITY ALIYOITOA MAGUFULI KWENYE KAZI YAKE UTAKUTA ZIRO HE IS AFTER QUANTITY AND NOT QUALITY. Lowasa ni creative na anapendwa.

Lowasa alicreate nini na ukiongozi wapi ni upi?
 
Angalieni utendaji kazi, siasa inaisha baada ya uchaguzi. kinachofuata ni utendaji tu! no more kupendwa wala bulldozer ila kazi tuuuuu.
 
Citizen-cartoon-1307151.jpg

Hiki ndicho alichosema Dk.Magufuli baada ya Lowassa kutangaza rasmi kuihama CCM,Asema CCM haitatikisika na itashinda kwa mshindo mkuu zaidi ya 2005,amtakia maisha mema ila kasema sio saizi yake atampwelepweta.

Tulia sindano iingie vizuri, acha kutoa Mapovu! Tingotingo huko aliko tumbo moto na Magamba wamemtelekeza baada Ya kumbe be shared gunia la misumari! Habari ya mini kwa sasa ni Lowasa wala siyo Tingotingo!
 
kiukweli ni zamu ya wapinzani wa tanzania kuchukua nchi, lowasa na magufuli hawaendani. Magufuli ni mtendaji na sio kiongozi na lowasa ni kiongozi na mtendaji. Any creativity aliyoitoa magufuli kwenye kazi yake utakuta ziro he is after quantity and not quality. Lowasa ni creative na anapendwa.

hao wote ni ccm , magufuli na lowassa , ni janja ya kuwala wa:ji:nga tu

poleni watz

wa.ji.nga ndio waliwao

mtakuja kuniambia

kipi cha maana wamekifanya ndani ya ccm ???
 
Hata mimi ningekua cc ya CCM , nisingempitisha Lowassa.Inaweza kuwa ni mapenzi tu na Magufuli lakini ukitaka kujua Tabia za mtu angalia anaoambatana nao.

Ndio maana amewaacha na CCM yao! Alikuwa anachafuliwa na chama kwa kulazimishwa maelekezo yaliyopita toka ngazi ya juu!
 
team ya kampeni CCM
1. JK
2. mzee Mkapa
3. Dr Salim
4.Dr Shain
5. Mzee mwinyi
6. Kinana
7.nchemba
8.TOT

kazi ipo
 
Lowasa alicreate nini na ukiongozi wapi ni upi?

Mkuu hayo maswali sio ya kuwauliza misukule itakutukana bure.....!! Kama mtu unaongozwa na ubongo wenye mizunguko iliyotimia huwezi kusema lowassa ni mtendaji kuliko magufuli kivyovyote vile,labda hela zake na popularity ikuongezee mizunguko ujione timamu.
 
Kuukumbatia umaskini ni ugonjwa wa akili, natamani kuwa na marafiki kama Rostam, Mengi, Bakhresa and likes.

Tena mimi ningetaka marafiki zangu wakubwaaaaaa wawe Bill Gates, Warren Buffet, Wallmart Family, Mark Zuckerberg, Dangote, Bahressa, Rostam, Mo Dewji...

Ur very brilliant, like Lowassa, like me...!!!

Ni ujinga tu ETI KUFIKIRIA KUWA MASKINI NI SIFA.. ni upuuzi kabisa kujisifia mtu kuwa maskini...!!! Tuwaze kama MAREKANI... na tutakuwa na akili za kitajiri, na utajiri unaanzia kichwani, kisha ukatae umaskini kwa nguvu zako zote kama U.S.A... then tutakuwa na hali bora za maisha...

Ktk maadui 3 wakubwa ktk taifa letu ni UJINGA, MARADHI NA UMASKINI....

So mtu anayejisifia yeye maskini, ni upuuzi kabisa.. tunataka kiongozi kama Lowassa ambaye HATAKI KUONA WATANZANIA NI MASKINI, NA ANATAKA KUPAMBANA NAO....KWA VITENDO...

Bravo Matola...!!!
 
Kwa taarifa yako Magufuli anatamani kujitoa kwenye kinyang'anyiro akijua fika kuwa ushindi kwa UKAWA ni hakika 100%.

Magufuli anajua ni aheri asingekuwa mgombea urais ili akagombee ubunge kwao, lakini sasa hatima yake kisiasa ni Oktoba 25. Baada ya hapo siasa ataisikia kwenye Radio kijijini kwao.

Masikini Magufuli yumo ndani ya CCM ambapo wengine hata fomu tu walishikishwa kama vile kwa mtutu wa bunduki, ''kachukue fomu!'' Magufuli hana uhuru wa kukiri yaliyo moyoni mwake kuwa endapo Lowassa atagombea kupitia UKAWA basi shamra shamra za Dodoma ni sawa na furaha ya kuokota pesa kwenye ndoto.

Narudia tena, ni hivi!!! Magufuli anajua kwamba;

ENDAPO EDWARD NGOYAI LOWASSA ATAPITISHWA NA UKAWA KUGOMBEA URAIS NA TUME YA UCHAGUZI ISIWEKE MIZENGWE BASI SHAMRA SHAMRA ZA CCM DODOMA BAADA YA KUPATA MGOMBEA WAO HUYO TINGA TINGA NI SAWA NA SHANGWE NA FURAHA UNAZOPATA UNAPOOTA NDOTO UNAOKOTA BULUNGUTU LA MANOTI,

NGOJA UAMKE SASA! utatamani kulala moja kwa zote.

CCM endeleeni kuota, mtaamka tu Oktoba!
 
Kweli wewe ni kionambali
 
magufuli hamkaribii lowasa hata kidogo. mwaka huu ccm wasubirie kubebwa na vyombo vya dola
 
magufuli pole umepewa kiberiti kina njiti mmoja nayo imebaki kichwa kuiwasha lazima uungue vidole na moto usiwake.
 
Kesho lowasa anakabidhiwa form ya uraisi pitia chadema....ngoma inogile
 
Back
Top Bottom