MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,920
- 6,858
kweli sio saizi yake lowasa bora hata kidogo mbatia kwemba tukiweka midahalo kutasikiliza hoja za maana,
CCM kwenye mdahalo nani kakwambia?! waje wavuliwe Nape, sooorry nepi!?!! teh teh!!
kweli sio saizi yake lowasa bora hata kidogo mbatia kwemba tukiweka midahalo kutasikiliza hoja za maana,
Toka lini ccm wakaenda kwenye midahalo na upinzani na kushinda?,inaonyesha umeanza kufuatilia siasa juzi.unachekesha kwa kushidwa hata kusoma robo gp jana ni aibu tupu,subili midahalo,
Yule mgonjwa ndo anafaa?
![]()
Hiki ndicho alichosema Dk.Magufuli baada ya Lowassa kutangaza rasmi kuihama CCM,Asema CCM haitatikisika na itashinda kwa mshindo mkuu zaidi ya 2005,amtakia maisha mema ila kasema sio saizi yake atampwelepweta.
Magufuli, shut up and keep quite...!!!!
Bila Lowassa wala asingepitishwa kuwania urais CCM, kweli this guy is too low, hv alifikiria JK alikuwa anamtaka yeye..????
Omg...this is really bulldozer, hata hajui kitu... nilifikiri angemshukuru Lowassa, sbb bila wafuasi wa Lowassa kuhamishia hasira za Membe kwa Magufuli, this bulldozer asingepita hata kwa dawa...
Nilijua tu litaropoka...kweli nyani ni nyani...
mwenzio kiarusi kilimpanda jana wakati anasoma kisa wazee wa pesa kwanza wamemuingiza choo cha kike na tamaa zake za madaraka,anajua kitakahojiri kwenye midahalo,
Hata mimi ningekua cc ya CCM , nisingempitisha Lowassa.Inaweza kuwa ni mapenzi tu na Magufuli lakini ukitaka kujua Tabia za mtu angalia anaoambatana nao.
Toka lini ccm wakaenda kwenye midahalo na upinzani na kushinda?,inaonyesha umeanza kufuatilia siasa juzi.