Magufuli: Lowassa siyo saizi yangu

Magufuli: Lowassa siyo saizi yangu

Nyani ni yule anakuwa kwenye mti mmoja akiona bunduki tu anarukia kwenye mti mwingne na we unaanza kuhisi anapenda ule mti kumbe Yuki after maslahi yake mwenyewe.


UKAWA baada ya mda itaitwa UKIWA

So what?
 
Kweli lowassa si saizi yake maana yeye bado mchanga sana kwenye siasa za bongo na wala hana ubavu wa kuovertake zaidi yakupelekeshwa tu na kina nape

Amsikilize Prof Mwandosya, akimuelewa ndio aone kama wanaweza kuwa wanafanana na Edo!!
 
Citizen-cartoon-1307151.jpg


Hiki ndicho alichosema Dk.Magufuli baada ya Lowassa kutangaza rasmi kuihama CCM,Asema CCM haitatikisika na itashinda kwa mshindo mkuu zaidi ya 2005,amtakia maisha mema ila kasema sio saizi yake atampwelepweta.


Bulldozer kazama mtoni sherehe za kwenda ikulu zaishia dodoma..
 
Watu wanafikia kusingizia atalipiza kisasi, Kwani mmefanya nini?

Mkatubu kwa Mungu wenu, lkn hii nchi mtuachie Watanzania na Lowasa wetu
 
kwa hali hii kuna hatari ya kuingia ktk.migogoro ya kisiasa hatimae ya kitaifa.kama.hakutakuwa na uungwani na kubali kushindwa. hivi kama lowasa atakapochaguliwa kugombea urais halafu ashindwe siku ya uchaguzi je atakubali matokeo,?; au ndo atasema anaingia msituni kupinga matokea na kuipigania nchi. kama hii tu ya xxm amekataa matokeo na kuamua kwenda cdm.
 
Yuko sahihi kabisa magufuli. Hata kura za maoni mbalimbali zilionesha kuwa Lowassa si saiz ya magufuli maana ni Mlima Kilimanjaro na kichuguu ndo tofauti yao. Magufuli ni saiz ya January Makamba, si Lowassa. Ni wa levo za akina Samia Suluhu na Asha.
 
Ha Ha Ha!!! wacha ajipe moyo!
Citizen-cartoon-1307151.jpg


Hiki ndicho alichosema Dk.Magufuli baada ya Lowassa kutangaza rasmi kuihama CCM,Asema CCM haitatikisika na itashinda kwa mshindo mkuu zaidi ya 2005,amtakia maisha mema ila kasema sio saizi yake atampwelepweta.

 
Nampla hoyeeee,Goko hoyeeee!!!!!!!Magufuli ndani ya whitehouse ni nani huyo anaebisha?
 
Back
Top Bottom