Kwa taarifa yako Magufuli anatamani kujitoa kwenye kinyang'anyiro akijua fika kuwa ushindi kwa UKAWA ni hakika 100%.
Magufuli anajua ni aheri asingekuwa mgombea urais ili akagombee ubunge kwao, lakini sasa hatima yake kisiasa ni Oktoba 25. Baada ya hapo siasa ataisikia kwenye Radio kijijini kwao.
Masikini Magufuli yumo ndani ya CCM ambapo wengine hata fomu tu walishikishwa kama vile kwa mtutu wa bunduki, ''kachukue fomu!'' Magufuli hana uhuru wa kukiri yaliyo moyoni mwake kuwa endapo Lowassa atagombea kupitia UKAWA basi shamra shamra za Dodoma ni sawa na furaha ya kuokota pesa kwenye ndoto.
Narudia tena, ni hivi!!! Magufuli anajua kwamba;
ENDAPO EDWARD NGOYAI LOWASSA ATAPITISHWA NA UKAWA KUGOMBEA URAIS NA TUME YA UCHAGUZI ISIWEKE MIZENGWE BASI SHAMRA SHAMRA ZA CCM DODOMA BAADA YA KUPATA MGOMBEA WAO HUYO TINGA TINGA NI SAWA NA SHANGWE NA FURAHA UNAZOPATA UNAPOOTA NDOTO UNAOKOTA BULUNGUTU LA MANOTI,
NGOJA UAMKE SASA! utatamani kulala moja kwa zote.
CCM endeleeni kuota, mtaamka tu Oktoba!