AbsolutelyHe doesnt pull a punch,a straight hitter
Sasa mbona HAKUMTUMBUA kama Kabwe na yule Mama wa TIC?Feleshi hapa anasemwa,Feleshi jitokeze kaka ,ni kweli uliichezea ile kesi ya samaki?
Sasa mbona HAKUMTUMBUA kama Kabwe na yule Mama wa TIC?
Feleshi siyo DPP tena,wewe haujui kwani?tokea awamu ya pili ya JKSasa mbona HAKUMTUMBUA kama Kabwe na yule Mama wa TIC?
DPP wa Sasa NI NANI? Ukweli SIJUI. Naomba kufahamishwa!Feleshi siyo DPP tena,wewe haujui kwani?tokea awamu ya pili ya JK
Kumbe hata Rais Magufuli alishailalamikia ofisi ya DPP.
Kumbe tulishindwa kesi kwa sababu ya DDP alitaka serikali ishindwe kesi.
Kuna uwezekano alivuta au alishinikizwa ili serikali ishindwe kesi.DPP Feleshi alivuta au?
Biswalo Mganga,Feleshi siku hizi ni judgeDPP wa Sasa NI NANI? Ukweli SIJUI. Naomba kufahamishwa!
Una maana gani?Tufukue kaburi?
Rais Magufuli amesema, message send kwa mtu aliyekuwa DPP kwa wakati huo.Feleshi hapa anasemwa,Feleshi jitokeze kaka ,ni kweli uliichezea ile kesi ya samaki?
Kwa sasa ni Jaji Eliezer Feleshi wa Mahakama Kuu Tanzania.Amtumbue