"Na kama kweli amedhamiria kula nao sahani moja basi nashauri pia ajiimarishie ulinzi kwani na wao pia watakula naye sahani moja, hawa Karimjee Jivanjee family ni noma, wazungu walivyoondoka ndiyo waliowakabidhi nchi (kiuchumi) wako Afrika Mashariki yote!"
Mwisho Wa kunukuu..
Watanzania tunajiita wasomi lkn baadhi yetu elimu zetu hazitusaidii. Mleta Uzi ameandika maneno hayo hapo juu. Ni ujuha na ujinga ndiyo vinamsumbua au amedhamiria makusudi kumdhalilisha Rais wetu.
Ubavu Wa kusema raia ATAKULA SAHANI MOJA na Muh. Rais Magufuli ameutoa wapi?
Mpumbavu sana wewe. Ili kuweka nidhamu mleta Uzi huu anafaa kufuatiliwa akamatwe na vyombo vya dola ili aeleze vizuri magabachori watakvyo kula sahani moja na rais. Anafaa kuswekwa ndani ili atambue mamlaka ya Rais ni yapi.
Umemdhalilisha Rais wetu
Huyu kijana hana adabu na sidhani kama nj Mtanzania..anatoa kauli za vitisho au ndio yeye mwenyewe karimjee mwenyewe au kuwadi wake? Safi mkuu kwa kumpa za uso. Watz wengine ovyo sana