Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

Nisera ya Chama au yake tu na je hata waliomweka atawapanda? Je utakumbuka Habari za kuvua gamba? Lilishuka? Naitaji gia nyingine kuniaminisha kekundu kuwa keupe
 
Yupo tayari kumuwajibisha RIDHIWANI?CHENGE? TIBAIJUKA? NGEREJA? MAOFISA WA IKULU WALIOCHUKUA FEDHA KUPITIA STANBIC BANK? Bila kusahau na yeye mwenyewe anayetumia fedha za ESCROW Billion 25 walizopewa kwenye hizo kampeni zake.

Una ushahidi wa hizo billion 25
Au ndo mbowe amekukaririsha ivo
 
Jamani kuna utawala wa sheria, ciyo rahisi kama anavyodani, labda atuambie atanzisha mfumo wa kuanisha mapato ya kila mtanzania ili kuweza kuwa na uwezo wa kufuatilia mapato yasiyo halali, Siku hizi kuna sheria labda aanzishe ile opereshi ya kukamata malanguzi kama ya sokoine ya mwaka 1984? Je inawezekana sasa, aangalie wenzie wanavyoongoza asije kimbia nchi
 
Mgombea wa urais CCM DR MAGUFULI,ametangaza hali ya hatari kwa wale wote wanaohusika na wizi wa mali ya umma kuanzia wadogo hadi wakubwa.

Aidha wapo pia walioficha fedha hizo nje ya nchi,amewapa muda wa kuzirudisha kabla ya yeye kula kiapo,na amesisitiza kuwachukulia hatua stahiki watakaoshindwa kufanya hivo.

Amesema raslmali za nchi zinapaswa kitumika vizuri ili kila mwanainchi aweze kufaidi na sio watu wachache.

HIzo raslimali ni pamoja na vnyumba za serikali ambazo alishiriki kuzigawa. Tunataka zirudi, bila kujali kama zimebomolewa au la. Viwanja ni mali ya serikali.

Hatutaki usanii wake!
 
HIzo raslimali ni pamoja na vnyumba za serikali ambazo alishiriki kuzigawa. Tunataka zirudi, bila kujali kama zimebomolewa au la. Viwanja ni mali ya serikali.

Hatutaki usanii wake!

Acha kuita wanasayansi wasanii
Wakati wengine wameusomea huo usanii kwa miaka mitatu
 
CCM ni zaidi ya Majangili,chagua UKAWA kuokoa twiga na rasilimali zetu nyingine kama vile tembo!
 
Acha kuita wanasayansi wasanii
Wakati wengine wameusomea huo usanii kwa miaka mitatu

Nani?? Magufuli ni mwanasayansi? NO! Au alisoma sayansi?
Kusoma sayansi si kuwa mwanasayansi, kusoma sheria si kuwa mwanasheria na si kila aliyesomea udaktari ni daktari. wengine wanafanya biashara tu na tunawatambua kuwa ni wafanya biashara!
 
kama kweli kayasema hayo itabidi kwenye jukwaa awe peke yake maana atakosa hata dereva labda ahame chama
 
VP hajaziona zile ndege zilizobeba TWIGA wetu jana toka Kule Roliondo? Hana jipya huyu amesahau rasimu ya Katiba aliyoipitisha Pale DODOMA kwamba imekataa kuwashughulikia hao anaowataja? Ugonjwa wa Kusahau ni mbaya sana na umewakumba CCM kiasi cha kuyasahau haya.
 
Mgombea wa urais CCM DR MAGUFULI, ametangaza hali ya hatari kwa wale wote wanaohusika na wizi wa mali ya umma kuanzia wadogo hadi wakubwa.

Aidha wapo pia walioficha fedha hizo nje ya nchi,amewapa muda wa kuzirudisha kabla ya yeye kula kiapo,na amesisitiza kuwachukulia hatua stahiki watakaoshindwa kufanya hivyo.

Amesema rasilimali za nchi zinapaswa kitumika vizuri ili kila mwanainchi aweze kufaidi na sio watu wachache.

Nothing new. Tubadilishiwe wimbo
 
Mgombea wa urais CCM DR MAGUFULI, ametangaza hali ya hatari kwa wale wote wanaohusika na wizi wa mali ya umma kuanzia wadogo hadi wakubwa.

Aidha wapo pia walioficha fedha hizo nje ya nchi,amewapa muda wa kuzirudisha kabla ya yeye kula kiapo,na amesisitiza kuwachukulia hatua stahiki watakaoshindwa kufanya hivyo.

Amesema rasilimali za nchi zinapaswa kitumika vizuri ili kila mwanainchi aweze kufaidi na sio watu wachache.

Mafisadi wataisoma namba Magufuri akiingia ikulu
 
Sitawachagua wagombea viti mbalimbali wa ccm maana hakuna la maana watakalo lifanya tofauti na kuwapa wachina gesi kwa sababu ya fidia ya dogo Riz1 ya kukamatwa na madawa na kukwepa kunyongwa.
 
pesa ya Escrow ndo inatumika kufanya kampeni alafu mnakuja na mashairi yasiyo na vina hapa!
 
Very interesting in deed. Hivi magufuli anvyoongea hivyo hajui kwamba yeye ni mmoja wapo wa mafisadi? Au hajitambui?
Hebu ona yeye ndiye msimamizi mkuu wa kupunguza upana wa barabara zetu baada ya kandarasi kuanza kazi. Kwa kilomita tano amelamba bilion tano. Source Mwanahalisi.
hebu ona yeye kasimamia ununuzi wa meli feki wakati waziri wa uchukuzi yupo. Mbona hajibu swala la huu ununuzi hewa?
hebu ona alivyouza nyumba za serikali kibabe na kuliingizia Taifa hasara.

Kweli magufli kaiharibia sana CCM. Ahsante aliyekata majembe Lowasa na Sumaye
 
Safii sana mzee anza na Lowassa na genge lake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom