Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

Tehe! Tehe! Tehe!! Mbona Aliweza KWENDA Kuwapigia Kampeni Akina Anna Tibaijuka, Andrew Chenge Na Muhongo!! Akaawambia Watanzania Wawachague WAJE KUMSAIDIA Kazi BUNGENI! Je, HIYO Mahakama Yake Atawapeleka WEZI Wa Loptop Na Simu!!! Haya YEYE NDIYE Waziri Wa Miundombinu, Je Amewachukulia Hatua Zipi Wale WALIOHUSIKA NA KUNUNUA MELI MCHAKAVU Kwa Billion 8!! Na YEYE Akaizindua Kwa MBWEMBWE Kubwa!! Lkn Leo Iko WAPI!!!!?? KAMA Kweli Ni Mpambanaji Angetuonyesha Mf. Ktk. Ufisadi Huo Uliyofanywa Na Wizara Yake Na Pia Kukataa KWENDA Kuwanadi Mafisadi Hao Majimboni Kwao!!! MENGINE HAYO Maneno Tu!! HEBU Jiulizeni Magufuli Atakavyoweza Kumkamata Andrew Chenge Na Kumshitaki!!!!! Watanzania Wameshatambua MFUMO Wa CCM Ni Wa Kulindana Tu!! Hadi Wagombane Au Watoke Ndani Ya CCM Na SERIKALI Yao!! NDIO Kila Mtu Anaanza Kusema Yule MWIZI, FISADI, MUUZAJI PEMBE ZA TEMBO, DAWA ZA KULEVYA, ANA ACCOUNT USWISS N.k. Ndio Watanzania TUMEAMUA KUUBOMOA Na KUUONDOA MFUMO MZIMA!!!! Kwanzaa Mwambieni M/KITI Wenu CCM Taifa!! Ile ORODHA YA WAAGIZAJI, WASAFIRISHAJI NA WAUUZAJI WA DAWA ZA KULEVYA ALIONAYO KABATINI, ATUPATIE WATANZANIA KABLA AJAENDA MSOGA!! Maana Muda UMEISHA Kabisa, Na Watanzania Tumeisubiria Mno!!! PLEASE MZEE USIONDOKE NAYO!!!
 
Au unasemea yule jangili aitwaye sumaye aliekamatwa na meno ya tembo huko ulanga akiwa ameyatia kwenye gari la serikali?

Hapana namzungumzia JANGILI MKUU ambaye ni msomali anayeishi nchini kinyume cha sheria.
 
Magufur namuonea uluma wamempa gunia la mavi wamemkimbia , lowasa is the master of propaganda anashindwa kwenda na kasi yake ,
 
Mfano ameongozana na nan na kaiba nn

Kikwete na Mkapa Fisadi number moja na tatu kulingana na Taarifa ya List of shame ya Mwembeyanga, yeye mwenyewe kama fisadi wa kuuza nyumba za serikali, kuiba Billion 262 kwenye wizara ya ujenzi pamoja na kulitia hasara Taifa kwa kukamata meri ya samaki bila kutafakari.
 
Kikwete na Mkapa Fisadi number moja na tatu kulingana na Taarifa ya List of shame ya Mwembeyanga, yeye mwenyewe kama fisadi wa kuuza nyumba za serikali, kuiba Billion 262 kwenye wizara ya ujenzi pamoja na kulitia hasara Taifa kwa kukamata meri ya samaki bila kutafakari.

Hizo n porojo tu

certified fisadi n lowasa na sumaye
hzo nyingine n story tu
 
huyu kaletwa kwa kazi maalum,kazi ya kulinda mafisadi na mfumo mzima wa kifisadi kisha aripoti kwa bos kubwa
 
Vipi kuhusu MAJANGILI mbona yuko kimya au kwa vile kwa sasa msomali ni mwenyekiti wa kampeni zake.

Hiyo ya Majangili sijamsikia kabisa Lowassa anaitaja. Sijui anaigopa?
Na ufisadi sijasikia kabisa.
Keshabip rushwa kwa sekunde kadhaa.
Akasepa
 
Hiyo ya Majangili sijamsikia kabisa Lowassa anaitaja. Sijui anaigopa?
Na ufisadi sijasikia kabisa.
Keshabip rushwa kwa sekunde kadhaa.
Akasepa

Hilo la ufisadi lowasa hawez kulikemea
n sawa na hayati nyerere kukemea uhuru na siasa za ujamaa na kujitegemea

Au mkuu wa ujangili Tanzania mh sumaye akemee ujangili
haiwezekan
 
Labda kama ATAANZA NA MZEE WA ESCROW,KIWIRA,EPA,SIMBA TRUST N.K

-Aje kwa yule Aliyeuza MENO YA TEMBO WETU

-Na aliyepandisha TWIGA KWENYE NDEGE KUPELEKA ULAYA

-Kisha akiyesema MILLION 10 ni ya mboga tu. wakati watanzania ni masikini haswa.
 
Nani?? Magufuli ni mwanasayansi? NO! Au alisoma sayansi?
Kusoma sayansi si kuwa mwanasayansi, kusoma sheria si kuwa mwanasheria na si kila aliyesomea udaktari ni daktari. wengine wanafanya biashara tu na tunawatambua kuwa ni wafanya biashara!

Yule sijui alisomea uanamieleka nafikiri kwasababu ndio anayopractice.
 
Kikwete na Mkapa Fisadi number moja na tatu kulingana na Taarifa ya List of shame ya Mwembeyanga, yeye mwenyewe kama fisadi wa kuuza nyumba za serikali, kuiba Billion 262 kwenye wizara ya ujenzi pamoja na kulitia hasara Taifa kwa kukamata meri ya samaki bila kutafakari.

Lowassa ni fisadi namba 9
Hiyo ya Magufuli alishasema Sumaye ni cabinet decision siyo yake binafsi. Poleni kwa kumkumbatia fisadi!
 
Magufuli mbona Naye fisadi? Nyumba alizogawa mpaka kwa hawala zake.MV.Dar kanunua meli chakavu bil 9. Meli ya uvuvi serikali kuwalipa wachina mabilioni kwa upumbavu wake mkuu Watanzania tuna DATA zake
 
Aendelee kutangaza hatari,taarifa ya habari,vifo,mpira na mengeneyo.sababu tunajaua hawezi hatumpi ridhaa.
 
Najua mafisadi wakiona uzi kama huu mioyo inawapasuka na wanafuta kwenye simu zao haponhapo kabla ya kusoma.Ukweli usio pingingika jitu lenye kusimamia sheria na taratibu za uendeshaji wa serikali halina mchezo. Leo anawachekea ngoja kesho muone atakavyowageuka.

Mnajifanya ooh tatizo ni mfumo mfumo mfumo, ngojeni aingie ikulu ndio mtajua mfumi ni nini. Najua wapinzani tumeendelea kutumia kisingizio vha mfumo mfumo mfumo mfumo tukijifanya lengo kuitoa CCM, lakini ukweli wwnyewe ni kukwepa ajenda ya ufisadi ili tuwakumbatie watuletee mahela mabilioni nasisi tuneeemeke. Tumemfilisi mzee wa watu bure kwa manufaa binafsi.

Tafakari chukua hatua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom