Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

tunaamini sana katika utendaji wako Magufuli hivyo kura atapata tausaidie katika hili
Yupo tayari kumuwajibisha RIDHIWANI?CHENGE? TIBAIJUKA? NGEREJA? MAOFISA WA IKULU WALIOCHUKUA FEDHA KUPITIA STANBIC BANK? Bila kusahau na yeye mwenyewe anayetumia fedha za ESCROW Billion 25 walizopewa kwenye hizo kampeni zake.
 
Anaanza na papa, mzee lowasa na wenzake.
 
Mgombea wa urais CCM DR MAGUFULI,ametangaza hali ya hatari kwa wale wote wanaohusika na wizi wa mali ya umma kuanzia wadogo hadi wakubwa.

Aidha wapo pia walioficha fedha hizo nje ya nchi,amewapa muda wa kuzirudisha kabla ya yeye kula kiapo,na amesisitiza kuwachukulia hatua stahiki watakaoshindwa kufanya hivo.

Amesema raslmali za nchi zinapaswa kitumika vizuri ili kila mwanainchi aweze kufaidi na sio watu wachache.

Maskin lowasaaa
Lazima wamfilisi
Pamoja na huyo jangili aliekamatwa na meno ya tembo huko ulanga sumaye
 
Vipi kuhusu MAJANGILI mbona yuko kimya au kwa vile kwa sasa msomali ni mwenyekiti wa kampeni zake.

Au unasemea yule jangili aitwaye sumaye aliekamatwa na meno ya tembo huko ulanga akiwa ameyatia kwenye gari la serikali?
 
Danganya toto, anakula nao na kucheka nao. Wapo mulemule
 
Mgombea wa urais CCM DR MAGUFULI,ametangaza hali ya hatari kwa wale wote wanaohusika na wizi wa mali ya umma kuanzia wadogo hadi wakubwa.

Aidha wapo pia walioficha fedha hizo nje ya nchi,amewapa muda wa kuzirudisha kabla ya yeye kula kiapo,na amesisitiza kuwachukulia hatua stahiki watakaoshindwa kufanya hivo.

Amesema raslmali za nchi zinapaswa kitumika vizuri ili kila mwanainchi aweze kufaidi na sio watu wachache.

Nitafurahi sana kama ataanza na Lowasa na kundi lake
 
Ukiondoka ccm ndipo unakuwa fisadi lakini ukibaki ndani ya ccm hatutakwita fisadi na hata kama hukuwahi kuiba wewe ni fisadi kwanini unatukimbia kwenye chama
 
Porojo Za Ccm. hana Lolote Kikwete Alianza Na Kelele Za Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania Vipi Alitimiza? Ccm Bwana!!!!
 
Aanze na ripoti ya cag wizara ya ujenzi, boti ya bagamoyo na mapitio ya mauzo ya nyumba za serikali. Nchi imepata hasara kiasi gani na madhumuni ya kuziuza na hali halisi ilivyo.
 
mbona anaongozana nao kwenye kampeni halafu ndo anasema atawakamata inamaana siye watanzania anatufanya watoto wadogo
 
Ukiondoka ccm ndipo unakuwa fisadi lakini ukibaki ndani ya ccm hatutakwita fisadi na hata kama hukuwahi kuiba wewe ni fisadi kwanini unatukimbia kwenye chama

Ndivyo ilivyo kwa cdm pia ukiwa ccm ni fisadi tena unaandikwa daily na kutangazwa ila ukijiunga nao we unakuwa msafi kabisa
 
na ndo maana tunaikataa sisiem kutuzoesha umaskini wakati sisi ni matajiri

We acha kufuru fanya kazi. Usikubali uvivu. Chapa kazi na achana na slogan za wanasiasa kwamba watakuletea utajiri bila wewe kushughulika. # hapa ni kazi tu.
 
Aanze na hao anaowapigia kampeni ,wale wa senti za mboga za ESCROW.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom