Ilongailunga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 1,388
- 895
Mgombea wa urais kupitia CCM, Dr Magufuli amezidi kupigilia msumali kwa mafisadi wote akisema ni lazima wachukuliwe hatua za kisheria.Hali hiyo imekuja mara baada ya tetesi kuwa fisadi waliokimbia CCM wako mbioni kurudi,hivo Magufuli kasema chama chake hakitakuwa tayari kupokea mafisadi bali kitawashughulikia vikali.
Raid wangu Magufuri usisahau na walanguzi wa Mali za umma.