DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,975
Ifikapo November 2015, Head of State Dr Magufulu lazima afilisi kampuni ya Vibaka Ltd na kurudisha mali zilizoibiwa kwa watanzania

Najua mafisadi wakiona uzi kama huu mioyo inawapasuka na wanafuta kwenye simu zao haponhapo kabla ya kusoma
Ukweli usio pingingika jitu lenye kusimamia sheria na taratibu za uendeshaji wa serikali halina mchezo. Leo anawachekea ngoja kesho muone atakavyowageuka. Mnajifanya ooh tatizo ni mfumo mfumo mfumo , ngojeni aingie ikulu ndio mtajua mfumi ni nini.
Najua wapinzani tumeendelea kutumia kisingizio vha mfumo mfumo mfumo mfumo tukijifanya lengo kuitoa ccm , lakini ukweli wwnyewe ni kukwepa ajenda ya ufisadi ili tuwakumbatie watuletee mahela mabilioni nasisi tuneeemeke. Tumemfilisi mzee wa watu buree kwa manufaa binafsi.
Tafakari chukua hatua
Wasisahau na nyumba alizouza Sumaye na nyingine wakajipa wenyewe wakawa wanufaika Lowasa na Sumaye na mafisadi wenginekwa arudishe nyumba za serikali alizowapa vimada wake na mdogo wake baada Ya kughushi nyaraka za serikali na kuwafanya kama watumishi wa serikali wakati siyo kweli !!!
Najua mafisadi wakiona uzi kama huu mioyo inawapasuka na wanafuta kwenye simu zao haponhapo kabla ya kusoma
Ukweli usio pingingika jitu lenye kusimamia sheria na taratibu za uendeshaji wa serikali halina mchezo. Leo anawachekea ngoja kesho muone atakavyowageuka. Mnajifanya ooh tatizo ni mfumo mfumo mfumo , ngojeni aingie ikulu ndio mtajua mfumi ni nini.
Najua wapinzani tumeendelea kutumia kisingizio vha mfumo mfumo mfumo mfumo tukijifanya lengo kuitoa ccm , lakini ukweli wwnyewe ni kukwepa ajenda ya ufisadi ili tuwakumbatie watuletee mahela mabilioni nasisi tuneeemeke. Tumemfilisi mzee wa watu buree kwa manufaa binafsi.
Tafakari chukua hatua
Hapo ndio tutajua Richond ni Lowasa au Lowasa ni Richmond......
Mafisadi woyeeeeee
Mbowe woyeeeeeee
Kubenea woyeeeeee
Najua mafisadi wakiona uzi kama huu mioyo inawapasuka na wanafuta kwenye simu zao haponhapo kabla ya kusoma.Ukweli usio pingingika jitu lenye kusimamia sheria na taratibu za uendeshaji wa serikali halina mchezo. Leo anawachekea ngoja kesho muone atakavyowageuka.
Mnajifanya ooh tatizo ni mfumo mfumo mfumo, ngojeni aingie ikulu ndio mtajua mfumi ni nini. Najua wapinzani tumeendelea kutumia kisingizio vha mfumo mfumo mfumo mfumo tukijifanya lengo kuitoa CCM, lakini ukweli wwnyewe ni kukwepa ajenda ya ufisadi ili tuwakumbatie watuletee mahela mabilioni nasisi tuneeemeke. Tumemfilisi mzee wa watu bure kwa manufaa binafsi.

Yote ni kheri after all wote either the case atakuwa rais mtanzania. Tunalopigia kelele hapa Lowasa hafai kwenda ikulu. Nchi yetu itakwisha hii. Ukizingatia group linalomzunguka ambalo linasubiri fursa na dili. Na mbaya zaidi Lowasa hawezi kemea mafisadi kwa sababu na yeye si anakuwa na 10 percent yake.?Magufuli hana meno! Angepewa madaraka mijoka yenye makengeza ingemtengeneza tu! Bahati nzuri ni kwamba mechi imeshachezwa, kwa mara ya kwanza CCM imekuwa chama cha upinzani!!
Mimi sijui tuombe mdahalo uwekwe tupate fursa ya kuwauliza maswali magumu kama hayaNini ni msimamo wa Dr Magufuli kuhusu Katiba Mpya? Anaipigia CHAPUO ipi? Ile ya CCM ILIYOPENDEKEZWA au ile RASIMU II ya Mabadiliko ya Katiba?
Akituambia anasimamia ipi, nitakuja kuComment!
Yote ni kheri after all wote either the case atakuwa rais mtanzania. Tunalopigia kelele hapa Lowasa hafai kwenda ikulu. Nchi yetu itakwisha hii. Ukizingatia group linalomzunguka ambalo linasubiri fursa na dili. Na mbaya zaidi Lowasa hawezi kemea mafisadi kwa sababu na yeye si anakuwa na 10 percent yake.?
Nadhani ni wakati muafaka tutakapokwenda kutenganisha siasa na biashara sasa