Umekuwa mzalendo kwa vitendo mkuu, ubarikiwe sana
Hiyo ndio sababu yangu ya Msingi. Na naamini anaweza kufanya anachoiwazia nchi hii kupitia ahadi hiyo.
Naamini akifanikiwa hilo, Tanzania itakua sehemu salama ya kuishi binadamu.
Huwezi kuchoshwa na umaskini kama huna mikakati ya kupambana na ufisadi.... Tusidanganyane.. Tanzania inamwitaji Magufuli kuliko Magufuli anavyooiitaji Tanzania.!

Wenye upeo huangalia hoja ila vilaza kama wewe huzingatia viroja.!Maguli nayeye pia fisadi nyangumi. Ref report ya GAG
Pia Ikulu siyo mirembe kumpeleka mtambo
eti rais wa libya Sadam,
eti Sadam alikuwa rais wa Kuweit,
eti jakaya kikwete alazwe mahali pema peponi,
Magufi kweli mtambo, tena wa gongo
Mimi nitampa Magufuli kura yangu kwasababu atajenga VIWANDA nchi nzima na kuifanya Tanzania kuwa industrialized country like USA, Japan, Germany etc
Wajinga ni MTAJI wa CCM!
Kama unaipenda Tanzania kwa faida ya vizazi vijavyo chagua Magufuli.ajifunge kwanza yeye mwenyewe kwa ufisadi wake wa kugawa nyumba za serikali kwa vimada na ndugu zake
Hiyo ndio sababu yangu ya Msingi. Na naamini anaweza kufanya anachoiwazia nchi hii kupitia ahadi hiyo.
Naamini akifanikiwa hilo, Tanzania itakua sehemu salama ya kuishi binadamu.
Huwezi kuchoshwa na umaskini kama huna mikakati ya kupambana na ufisadi.... Tusidanganyane.. Tanzania inamwitaji Magufuli kuliko Magufuli anavyooiitaji Tanzania.!
Nakushauri jiandae kisaikolojia.!Yaani si swala wala jambo la kushangaa. Ccm lazima mtachagua mgombea wa ccm ila kumbuka kura hupigi pekee yako!q
Maguli nayeye pia fisadi nyangumi. Ref report ya GAG