Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

Hao mafisadi ni akina nani? Yeye afanye kampeni zake ila asigusie hapo maana kila mwananchi haitajj kuambiwa fisadi ni nani, alifisidi nini na yupo wapi?
 
Yeye mwenyew amewekwa pale na mafisadi mbona hawachukulii hatua
 
Hiyo ndio sababu yangu ya Msingi. Na naamini anaweza kufanya anachoiwazia nchi hii kupitia ahadi hiyo.

Naamini akifanikiwa hilo, Tanzania itakua sehemu salama ya kuishi binadamu.

Huwezi kuchoshwa na umaskini kama huna mikakati ya kupambana na ufisadi.... Tusidanganyane.. Tanzania inamwitaji Magufuli kuliko Magufuli anavyooiitaji Tanzania.!

Muhimu ni kuwa na mahakama huru tu ili wale waliotajwa kwenye ripoti ya CAG kufanya ufisadi wa kuuza nyumba za serikali, ESCROW, EPA, RICHMOND, IPTL, UJANGIRI nk. wahukumiwe kwenye mahakama hiyo, hapo ndipo tutakopoondoa u-DOUBLE STANDARD kwenye suala la ufisadi
 
Namshauri aanze na waliomuweka alipo kma akishinda akishindwa kufanya hvo bora akae kimya tu mana waliomuweka hapo alipo ndo mafisadi wakubwa wa hii nchi
 
Tambua hizo mahakama unazosema zinasheria zilizopitwa na wakati, anaposema atafungua Mahakama ya Mafisadi ina maana ataanza na mchakato wa sheria zake,adhabu zitakazoendana na makosa husika.

Haiwezekani mtu aibe bilioni kadhaa, halafu unakua na sheria ya kumfunga miezi mitatu.

chief, kutokana na ulichokiandika hapo juu ni dhahiri kuwa hitaji letu ni ku-streamline sharia zetu, kitu ambacho hakihitaji uanzishwaji wa mahakama nyingine za kihalifu.

but yet...this is still naivety from you. huko CCM kuna jopo la mafisadi ambao ndiwo unaowategemea kupitisha hizo sheria - are you serious?

kumbuka JK alishinikizwa na opposition kuanzisha mchakato wa katiba mpya - the rest is history!

kinachotia moyo kwa sasa ni kuwa over 65% ya registered voters wanataka kuuondoa mfumo chovu wa kijani...na this time utaondoka tu.
 
sinta mpigia kura yangu magufuli kwa sababu anaonekana ni mtu wa visasi. Anaapa mungu akisema ' haki ya mungu ngoja niwe rais "

mumeanza kunywea. Hamtaki tena mafisadi washughulikiwe. Tuwaeleweje. Nahisi ww ni mojawapo. Tunakushuku. Wafungwe tu tupumue. Maamuzi makini.
 
the rest is history!
kinachotia moyo kwa sasa ni kuwa over 65% ya registered voters wanataka kuuondoa mfumo chovu wa kijani...na this time utaondoka tu.
ULISHAONA CHAMA CHA KUITOA CCM MADARAKANI? KWELI UNAOTA MCHANA. SUBIRI 48hrs utapata jibu.
 
Mafisadi wametoka wapi unamjua fisadi no 1 TZ tumieni akili acha ushabiki ccm imesababisha ufisad mkubwa fuatilia hotuba za kinana na cag wewe unaishi wapi hakika watanzania mmelogwa na mwenge nasikitika sana.ngoja niendelee kuiombea nchi yangu Mungu tuondoe ujinga huu
 
10361377_130331393989552_8215556907095336337_n.jpg
 
Hataweza Kupambana na Ufisadi katika katiba ya Zamani pia amezungukwa na mafisadi wengi mno akiwa CCM hajawahi kukemea bora hata James Lembel kuliko Magufuli.
Mjumbe ni wewe?

Hakika siku hazigandi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom